Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

muulize kinana kama alikua anazunguka Tanzania nzima ........................nape alali --------------kinana alali au haujui

Hili neno TIGITIGI nikienezwa usukumani ccm watapata shida sana maana wasukuma wakishaamua kitu hutaweza kuwageuza kwa hongo ya aina yoyote maana wao wala hawajui maana ya serikali wanachojua kila mtu anajitafutia maisha yake halali kwa njia yoyote halali!

Kitu kingine wasukuma ambacho hawakipendi kukiona machoni mwao ni police ukiwaambia nipeni kura hamtaona dagi imekanyaga hapa utapata kura zote. Hawapendi kusumbuliwa maana wao ni watafutaji hawana time na vimisaada vya serikali.
Ukawa wanaweza kuteka kanda ya ziwa kwa urahisi sana kuliko ccm. Tusubiri tuone madhara ya tigitigi!
 
Nigeria wamefanyaje? we Unamjua Buhari wewe? uliza historia, huyo alishatawala akaondolewa na upinzani sasa amerudi tena, unasemaje hapo!

Itakuwa huna kumbukumbu nzuri na historia ya nigeria!! mara ya kwanza buhari hakupata urais kwa njia ya kura bali kwa kufanya mapinduzi dhidi ya shehu shagari, naye buhari akaja kupinduliwa na ibrahim babangida. Tofautisha mapinduzi ya kijeshi na uchaguzi kwa njia kura kupitia vyama vya siasa!! Hapakuwa na masuala ya chama tawala wala chama cha upinzani.
 
Mkuu kuna watu wanahistoria za kuchezea makopo barabarani!! wape wape!!
 
Hili neno TIGITIGI nikienezwa usukumani ccm watapata shida sana maana wasukuma wakishaamua kitu hutaweza kuwageuza kwa hongo ya aina yoyote maana wao wala hawajui maana ya serikali wanachojua kila mtu anajitafutia maisha yake halali kwa njia yoyote halali!

Kitu kingine wasukuma ambacho hawakipendi kukiona machoni mwao ni police ukiwaambia nipeni kura hamtaona dagi imekanyaga hapa utapata kura zote. Hawapendi kusumbuliwa maana wao ni watafutaji hawana time na vimisaada vya serikali.
Ukawa wanaweza kuteka kanda ya ziwa kwa urahisi sana kuliko ccm. Tusubiri tuone madhara ya tigitigi!
Kwa mtji huo lazima nguvuya ziada itumike japo maneohayo kw chaguzi za erikali za miaa wmeonekan meiva kweli Tigitigi ndio njia harisi
 
mtu mwenyewe utapeli ni jadi yako hata huko unakokwenda utaenda kufanya utapeli.
 
attachment.php

Leo tumezindua Operation maalumu ijulikanayo kama operation TIGITIGI.

TIGITIGI
ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.

Operation hii imeanzia Mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko Sengerema, baada ya Mwanza ni Simiyu, Mara,Tabora, Shinyanga.

Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, Naombeni dua zenu ili izae matunda.

Kamanda hii ndio kitu inatakiwa,sio watu kuja hapa sijui watu walijiunga kwa ajili yangu, mara sijui nikiondoka chama kitakufa na madoido mengi kama hayo. Tunatakiwa tupate wapiga kura wengi kwa kuwapa elimu na sio kusubiiri watu waletwe kwenye chama halafu mtu abakie anatuletea historia hapa.
 
Lazima wakaeeeeeeeee

TIGITIGI Oyeeeeeeeeee

Wera weraaaaaaaa

Watu weeeeeeeee

Peoplessssssss....Peoplessssssssss....Powerrrrrrrr
 
Chama cha maoperation, operation moja iliyobaki ni kumgoa Mbowe na Slaa kwenye chama.

Acha kuweweseka mwaka huu mtaipenda, usije ukarifikir tunazunguka na fis kama nyie hapa ni mwendo wa chopaa tu.
 
Lazima wakaeeeeeeeee

TIGITIGI Oyeeeeeeeeee

Wera weraaaaaaaa

Watu weeeeeeeee

Peoplessssssss....Peoplessssssssss....Powerrrrrrrr
Safiiiiiiiiiii sana nguvu moja na mja na maamuzi ya pamoja hakua kulala mpaka kileweke
 
attachment.php

Leo tumezindua Operation maalumu ijulikanayo kama operation TIGITIGI.

TIGITIGI
ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.

Operation hii imeanzia Mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko Sengerema, baada ya Mwanza ni Simiyu, Mara,Tabora, Shinyanga.

Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, Naombeni dua zenu ili izae matunda.

uko juu mawazo.mko sengerema sehemu gani?maana na mimi niko sengerema kwa sasa
 
attachment.php

leo tumezindua operation maalumu ijulikanayo kama operation tigitigi.

Tigitigi
ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.

Operation hii imeanzia mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko sengerema, baada ya mwanza ni simiyu, mara,tabora, shinyanga.

Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, naombeni dua zenu ili izae matunda.

selemaga-aliselema -alija

tuko pamoja kamanda--usisahau pia solwa magamba yanatamba sana jimbo hilo-tena pale iselamagazi treatment yake iwe tofauti kabisa
 
Mmefanya operation kibao hazina matunda yoyote! Subir mzik wa ACT ukipita sehemu izo utajua vzuri hicho ni chama cha wachaga we kaa na ujinga wako

Huwez jua kitu ww mfuas wa Zzt Operation zote zimezaa matunda makubwa mno sasa ww njoo na ukabila sisi tunachanja mbuga povu la nn mkuu subir sindano ikuingie taratibu nyie ni visisimiz hamuwez kitu unaongelea genge la wahun wasalit waliofukuzwa na katiba mijitu sijui ikoje kumbuka Chadema ni taasisi watu wanaiheshim sasa ww fuata mtu akikuambia fanya hk utafanya tu.
 
Lazima wakaeeeeeeeee

TIGITIGI Oyeeeeeeeeee

Wera weraaaaaaaa

Watu weeeeeeeee

Peoplessssssss....Peoplessssssssss....Powerrrrrrrr

Safiii sana tulianza pamoja tunaendeleza libeneke pamoja mammuzi ya pamoja wote tuseme CCM bye bye
 
mziki wa CCM mgumu kuitoa madarakani mtakua mnaota!!! tukutane october:smile-big:

Jipe moyo tu wala usihofu tuliza moyo wako meza na Panadol, watanzania wa leo si wa enz zile miaka 52 yote hiyo nchi ni maskin hakuna ajir mmeiba kila kitu sasa mtanzania aichagua tena ccm walah atakuwa ni chiz si bure.
 
Back
Top Bottom