Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Hakikisheni mnasaga-saga hadi vijijini kote huko mnakopita, lengo ni kupunguza kasi "kama bado ipo" ya ccm huko vijijini...
 
Mmefanya operation kibao hazina matunda yoyote! Subir mzik wa ACT ukipita sehemu izo utajua vzuri hicho ni chama cha wachaga we kaa na ujinga wako
 
Safi sana kama mzee wa Tigitigi.

Haina kulala mpaka kieleweke.

Watakuelewa tu kamanda.

Tunaanza na Mungu Tutamaliza na Mungu
 
Mmefanya operation kibao hazina matunda yoyote! Subir mzik wa ACT ukipita sehemu izo utajua vzuri hicho ni chama cha wachaga we kaa na ujinga wako
Tunamsubiri huyo msaliti tumpopowe na mawe kenge
 
1. Sangara
2. Delete CCM
3. M4C
Saivi TIGITIGI kweli ukiwa kiongozi wa SACCOS lazima uwe mjanja na mbunifu wa kupiga hela.

Haya maneno yako hayaisaidii ccm, ni sawa imekamatwa mkono na mamba halafu unamtukana huyo mamba ukitegemea akuachie
 
Kila la heri mkuu...........TIGITIGI MaCCM kabisa.
 
Nimependa jinsi mnavyoipeleka CCM puta pale Bariadi mwezi wa tatu huu..
 
....maskini ccm ! maaskofu wameipiga teke, wakristo wamestuka, waislam wamegundua ulaghai wao, wazee wamedanganywa pensheni, vijana ndo usiseme, wakina mama wamesema kanga wanazo za kutosha, ata sijui watatokea wapi....

Na bado kaka TUTAKULA MAJANI mradi CCM waondoke kama NIGERIA vile
 
Back
Top Bottom