Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Wewe tunaongelea leo unaleta habari ya comparison, kama Yanga kafungwa goli 5 mwaka juzi na mwaka huu kafungwa goli 1 ndiyo kashinda?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wa kwanza kwenda kusomea Ujinga basi itakuwa Wewe. Kuileta issue ya Chalinze,Kalenga,na Serikali za Mitaa leo hii na wakati ni matukio yaliyokwishapita ni dalili ya kuwa, Shule Ulienda kusomea Ujinga, au huu wako Uliusomea Madrassa?
 
Wewe tunaongelea leo unaleta habari ya comparison, kama Yanga kafungwa goli 5 mwaka juzi na mwaka huu kafungwa goli 1 ndiyo kashinda?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Bi mkubwa na usomi wako nashangaa kwa nini mkulu hajakuona hata kwenye ubalozi wa nyumba kumikumi.
 
Back
Top Bottom