Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

Tulianza na Mungu na tumamaliza na Mungu.

swissme
 
mziki wa CCM mgumu kuitoa madarakani mtakua mnaota!!! tukutane october:smile-big:
 
Tuko pamoja kamanda.Lazima 2015 tuiondoe CCM kama Nigeria walivyofanya.

Nigeria wamefanyaje? we Unamjua Buhari wewe? uliza historia, huyo alishatawala akaondolewa na upinzani sasa amerudi tena, unasemaje hapo!
 
Hapo hakuna operation bali wajanja wanafanya biashara na chama chao. Pigeni hela kijana.
 
Wajinga Ndiyo Waliwao.

Heri ya Wajinga kuliko Wapumbavu! Mjinga yupo kwenye position nzuri ya kuelewa kuliko mpumbavu. Ni Upumbavu Kudumaa/kubaki hapa tulipo miaka 54. Changes are inevitable,asiyekubali anakimbizana na Upepo!
 
1. Sangara
2. Delete CCM
3. M4C
Saivi TIGITIGI kweli ukiwa kiongozi wa SACCOS lazima uwe mjanja na mbunifu wa kupiga hela.

chambulilo umesahau pia operation DELETE WASALITI ambayo ilipelekea Zitto na vifangara vyake vyote kutimuliwa CHADEMA.
Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa kila Operation ya CHADEMA inaleta maafa na maangamizi makubwa sana kwa CCM.
 
Last edited by a moderator:

Nimependa dhana ya Tigitigi kwamba ilitumika na wasukuma kusaga na kufyekelea mbali maadui CCM watalijua joto la wananchi , peoples Power
 
......maliza kabisa mafisi hayo
 
Mmefanya operation kibao hazina matunda yoyote! Subir mzik wa ACT ukipita sehemu izo utajua vzuri hicho ni chama cha wachaga we kaa na ujinga wako

hamna hela mkuu ya kuweza kutembea nchi nzma
 
1. Sangara
2. Delete CCM
3. M4C
Saivi TIGITIGI kweli ukiwa kiongozi wa SACCOS lazima uwe mjanja na mbunifu wa kupiga hela.
kaaga hivyohivyo mwishoe utatafuta pa kujibanza
 
Back
Top Bottom