Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya



Wewe XP, acha manenoyako yasiiyo kuwa na kichwa wala miguu. CHRISTIANITY IS NOT A CULT.

ISLAM IS A CULT, hivi unajuwa maana ya submission kwenye cult yenu ya Waarabu? Stop writing nonsense hapa. Naona wewe na Mwaipopo akili moja.
 

Mkandala,
Maneno yako mengi nakubaliana na wewe. Ila nakataa vipengele viwili vitatu. Hakuna aliyesema WAISLAM WOTE hamna elimu. Ndiyo maana napata wasiwasi kama ulisoma ujumbe wangu wote. Tafadhali hebu soma tena. Nimeandika waziwazi kuwa hapa ubishi ni ASILIMIA na kwa vyovyote vile si 100% na hata siyo 90%.

Tukija kwenye SIMU. Hii ilikuwa LUGHA YA PICHA. Ila kama ulifikiri utanipata kwa hili basi ngoja nikushangaze kuwa kuna simu WATER PROOF.

LG CanU 502 waterproof cellphone - Engadget

au NOKIA 5140
 
- Mkulu wangu Bob, duh sasa mbona unamwaga lazi ndugu yangu chonde chonde! Duh! yaani hii sasa inazidi hata kumkoma nyani, walalhi sitaki mie akha!

Bob, noma maneno makali sana maana mwenye macho haambiwi ona!

FMes,
Bob anamwaga LAZI siyo? Unafahamu lakini LAZI inavyomwagwa?? teteeee.
Ila heri uisikie, kuliko na ikutokee LIVE. Tuwaheshimu Wazazi/Walezi na wazee wetu ili wasije wakatuinamia wanapotoka mtoni KUOGA.
 
Bob anamwaga LAZI siyo? Unafahamu lakini LAZI inavyomwagwa?? teteeee.
Ila heri uisikie, kuliko na ikutokee LIVE. Tuwaheshimu Wazazi/Walezi na wazee wetu ili wasije wakatuinamia wanapotoka mtoni KUOGA.

- Mkuu vipi hapa unaongea na mimi au? Maana I have no clue unachosema ni nini hasa?
 
- Mkuu vipi hapa unaongea na mimi au? Maana I have no clue unachosema ni nini hasa?

Ni Mazungumzo baada ya HABARI. Wala usijali. Sanasana ujumbe wa chini ndiyo muhimu kuwa TUHESHIMU WAZEE/WAZAZI/WALEZI wetu.
 
- Mkulu wangu naona umechanganya kidogo maana ya maneno, kuna tofauti kubwa sana kati ya neno radhi unalolisema wewe, na neno lazi kama nilivyolisema,

- Mjini huwa tunatumia neno lazi kwa maana nyingine kabisaaa mkuu maana sasa nimekuelewa.

Thanxs!
 
Apologies, this thread will close up in 15 minutes for all posting. Thank you !
 
Apologies, this thread will close up in 15 minutes for all posting. Thank you !


Why are you apologizing then if you have decided to close this thread in 15 minutes?

You have made your decisions and set the time limits, so why are you announcing?

You are doing no justice for members who wish to post useful ideas! To be fair you should make it clearly open and sound the reasons for closing it!
 
...To be fair you should make it clearly open and sound the reasons for closing it!

Halafu cha ajabu ni kwamba Painkiller is one of the most eloquent communicators of all here, na akiandika yuko exquisitely on-point and forceful, lakini inapokuja kwenye kuelezea sababu za actions zao/zake anageuka bubu!
 

Mama,

Apologies - To anyone who might be in the process of posting only to find this thread has been closed.

Apologies - As one way of being polite, an attempt even though the decision has been made.

Apologies - This is not the first instance of moderation on this thread. If everything posted here so far would be allowed, someone else with similar although opposing sentiments could easily question why are we allowing such comments to flourish.

You might not be grateful with my announcement but I believe someone else may. Apologies if I didn't negotiate the timescale with you.

Thread is closing for moderation. As a moderator I have no other intentions of closing a thread but for moderation. It is very unfortunate that there are times this cannot be communicated nor be negotiated. Thread will remain open to read. Have a nice day !


 
Last edited:
10 more minutes added in response to Mama. Thank you !
 


Thank you.

The thread will be closed for moderation purposes. You can even close it up now. The problem was not the time limits but the purpose of closure.

My point was, if you decided to close up the thread for any reason whatsoever, you do it whenever you wish. Only give the reasons. Do not apologize. Do not announce.

You know better your responsibilities and I don't intend to make a lecture.
 

Asante kwa shule Mkuu wangu. Ndiyo uzuri wa JF. Wengine sisi Wanyamwezi basi kila kwenye R tunaweka L na hapo hatuoni tofauti. Muha angelisoma LAZI ama RAZI.
 

1. Sijawahi kusema kuwa mimi ni muislamu au kuwa ni expert wa uislamu. Siwezi kusema hivyo kwa sababu hata u/expert wa dini yangu sina.

2.Ninavyojua mimi, tafsiri zote za Quran ni unofficial. Sijawahi kusikia swala ikiongozwa kwa lugha nyingine isipokuwa kiarabu. Au katika Madrassa watoto wakajifunza Quran kwa lugha ya kiswahili. Hii ni tofauti na dini yangu ambapo kuna Biblia hata katika baadhi ya lugha zetu na inatumika hivyo kanisani. Biblia ya kiswahili inakubalika kumfundisha Mkristu na katika kuendesha ibada. Biblia imetafsiriwa vilevile katika lugha nyingine kibao ili kuifanya we accessible kwa muumini. Hii haimaanishi kuwa hakuna controversies katika hili maana kuna wengine wanaamini katika kutafsiri kutoka kiyunani kuna maana zimabadilika. Isitoshe hata katika kiingereza kuna tafsiri za Biblia katika kila kinachoitwa lugha rahisi. Hizi ni fact na si ushabiki wa dini yeyote.

3. Pamoja na kupenda kuchangia katika kumbi tofauti humu lakini si kila mahali ninapoweza kufanya hivyo au ninapotaka kufanya hivyo. Wewe na wengine kama wewe kipimo chako ni utetezi wa dini ya kiislamu au uislamu. Hauoni pale ambapo wenzako wanaanzsha thread za kukashifu upande mwingine. Anapokosolewa na kutukanwa matusi ya nguoni Ben unaona ni haki yake lakini anapoguswa Ramadhani inakuwa tatizo. Humu ndani kuna thread inazungumzia Askofu shoga wa kianglikana. Sijachangia maana najua bila shaka watu kama wewe na wenzako wakina Mtindio mtaigeuza kuwa uwanja wa matusi. Kama ambavyo mnafanya inapotokea mada inayowapa mwanya wa kuonyesha makucha yenu na kuwaruhusu kujibalaghua ati ni watetezi wa imani zetu. Ni nyinyi mnaoiingiza matusi na lugha za kebehi kwa kisingizio cha kutetea. Sasa unadhani kutukanana na wakina Mtindio ndiyo kunakufanya bora kuliko wao?

4. Pamoja na kuwa sina haja ya kujitetea kwako, angalia nani alikuwa wa kwanza kumpinga mwaandishi wa hii habari kwa kuwakashifu waislamu. Angalia posting namba 4.

Ni hayo tu.

Amandla........
 
Last edited:
Thank you.

The thread will be closed for moderation purpose.

You don't have to apologize.

I am sorry Mama but I was born apologetic. So unfortunate of me !
 

I am sorry Mama but I was born apologetic. So unfortunate of me !

The softer side of the dreadful, the iron-fisted, Painkiller!

Nice to see that aspect of him.

Gender bias ??? haha aaaaaaaa
 
Thread is now open, thank you !


[media]http://www.bbc.co.uk/radio1/chrismoyles[/media]
 
Last edited:


Naam! Siko fair maana siamini kuwa kuna sababu yeyote ya msingi kumtukana mtu yeyote, period. Watu kama wewe mnachanganya uislamu na muislamu. Tunapomkosoa Ramadhani basi haraka haraka mnabeba bango la udini. Lakini tunapomkosoa Laurent nyinyi mnaona ruksa!

Hiyo thread unayoizungumzia wala sikuisoma na sioni inaingiaje humu. Kama ni kawaida ya hao unaowatuhumu kwa kuwalaani waislamu wote kwa makosa ya wachache basi ungetoa mifano halisi walipofanya hivyo. Au, better still, Fundi Mchundo alipofanya hivyo. Kusema kuwa ningekaa kimya kama hao wabaya wako wangefanya hivyo ni kuspeculate. Kuongeza kuwa nitafanya hivyo na kuenjoy ni worse speculation, maana haunioni na haunijui!
 
Ipo siku watu watakuja kukatana mapanga kwa ajili ya hizi dini! Vibes ninazozipata kulingana na sentiments walizonazo baadhi ya watu sio nzuri kabisa. Fingerpointing left, right, and center.

For once, I sure hope I'm dead wrong on this...
 
FMES,
Mkuu unajua siku zote tunazungumza hapa kijiweni kama Watanzania na matatizo yote tunayaweka kama ni matatizo yetu sote sasa inapokuwa mtu mmoja tena Sheikh Uchwara anapoweka agenda za siasa tunakuja hukumiwa sote kwa sababu tu mfumo wetu ktk dini haufanani inanipa wasiwasi na elimu zetu..

Sikonge,
Sasa mkuu ulipokuwa ukioga na simu waterproof badala ya sabuni ilikuwa ktk kujihadhari au ndio elimu yenyewe..kwi kwi kwi!
Sikiliza mkuu wangu ikiwa unatafuta pa kutokea milango yote imefungwa jaribu madirisha, jipinde na hakikisha unatanguliza miguu..
Hizo asilimia zinahusiana vipi na mjadala huu kama hukuwa na maana ya Waislaam kwa ujumla..umesema shule zetu mbovu, sasa iweje kuwepo na wenye elimu ikiwa shule mbovu, ebu nambie msomi wewe nini msingi wa elimu..
Mkuu acha uchuro, mimi na wewe wote tuna hustle, hakuna mbora kati yetu laa sivyo usingekuwa hapa JF.. Unakereka na matatizo ya wananchi na pengine familia yako ipo juani kama Wadanganyika wengine. Kwa lugha nyingine Nyani aliyevaa suti akiwa ktk circus Ulaya hana elimu kubwa kuliko nyani wa Burombora anayeruka mitini. Elimu ya mwafrika ni sawa na kuendesha baiskeli, yeyote mwenye access ya baiskeli na muda wa kujifunza anaweza kuendesha, lakini hatuwezi kutengeneza hata kengele ya hiyo baiskeli acha baiskeli nzima..hivyo usitake kabisa kujitoa ktk kundi la wajinga!
Nimemaliza mkuu, tujenge nchi sasa kwa hoja zenye maana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…