Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,705
Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Wewe muhaya usiwatishe na usifunge watu midomo kireja reja. Wanaosema baki unajua wana maana gani??
Anza na Mwinyi na wengine wanaotaka tuvunje katiba katika kipengele cha ukomo wa madaraka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Rais ni mtu kama wewe na mimi hakuna any speciality mbali na kupewa jukumu la kuongoza kwa kadri ya matakwa ya katiba na sharia za nchi.

