Operation Kata Funua: Lowassa asilete pua yake Simiyu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,048
Reaction score
134,340
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.

Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA

Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema

Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
 
Mbona kama una haraka sana Lunyasi?
 
hayo ndio wanayoweza! Yaani katika uongozi ulioshindwa mapema ni huu wa jpm

kwanini anadeal na issue za kijinga kiasi hicho
 
Huku Songea Wangoni tumeikataa KATA FUNUA
 
Porojo za kihuni kabisa wamekosa hoja wamekalia ujinga na hoja za kipuuzi tu.
 
Kuifahamu vyema CHADOMOOO haihitaji uwe na akili zaidi ya Elimu ya msingi ya darasa la 7 kufahamu kuwa ni kikundi cha walevi wa Madawa ya kulevya.

Cha ajabu inaungwa mkono na wasomi wanaoitwa maprofesa. Dr. SLAA aliifaham akajitenga nao hao wahuni mapema kabla ya kupata madhara kama yanayomkuta Lema sasa.
 
Kata funua imeshindwa kabla ya kuanza,imekosa muitikio hata humu jamvini
Bavicha wamechoka kulishwa matango pori?
 
Jina tu lenyewe linashiria uvunjifu wa amani. Nani huyo akatwe na nani afunuliwe? Hata kama uhamasishaji huo wa kukatana (mapanga) na kufumua watu utafanyika kwa mikutano ya ndani, hakika hautaruhusiwa na utakumbana na nguvu ya dola.

Mbowe siasa zake ni za choko choko tu. Zamu hii ndiyo mwisho wake. Upinzani maana yake si kufanya choko choko na kuvuruga amani. Sidhani kama Lowasa angekuwa rais angeruhusu kufanyiwa upuuzi huu na ccm. Ajiandae kwenda kujiunga na Lema huko gerezani. Watu wamechoka.
 
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.

Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA

Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema

Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji

Wanapenda kuleta fujo zao kanda ya ziwa kwa nini asiandamanie monduli?
 
Jina tu lenyewe linashiria uvunjifu wa amani. Nani huyo akatwe na nani afunuliwe? Hata kama uhamasishaji huo wa kukatana (mapanga) na kufumua watu utafanyika kwa mikutano ya ndani, hakika hautaruhusiwa na utakumbana na nguvu ya dola.

Mbowe siasa zake ni za choko choko tu. Zamu hii ndiyo mwisho wake. Upinzani maana yake si kufanya choko choko na kuvuruga amani. Sidhani kama Lowasa angekuwa rais angeruhusu kufanyiwa upuuzi huu na ccm. Ajiandae kwenda kujiunga na Lema huko gerezani. Watu wamechoka.
Maana hakuna namna!!
 
Kuna kila dalili walioanzisha hii kampeni wanauzoefu kufanya fujo na utumiaji wa majambia.
Inatia shaka sana hiki ni chama cha siasa au kundi la panya road
 
Back
Top Bottom