Operation Kata Funua: Lowassa asilete pua yake Simiyu

Operation Kata Funua: Lowassa asilete pua yake Simiyu

"ni marufuku wapinzani kutia mguu kwenye serikali yangu"

"ukatae mkono wangu nikusainie haki zako? heeee ?"

"kila alieshinda akaongee kwao"

kila mtu apande basi la k.... lake..... tusubiri hili sasa,chini ya mfumo wa kibaguzi.. kuna sheikh nae katoa takwimu..
 
Kata funua mpaka kieleweke. Ukiona unaanzisha operesheni ya kisiasa na watawala wanaipokea kwa mikono miwili ujue haina madhara kwao na ni bora uachane nayo unapoteza muda.
Ila wakiweweseka ujue wanaogopa
 
264abc2c78275454bffe3c74d1fcc00b.jpg

Kila siku operation mpya ase
 
Ukiwa mwanaUKAWA raha bhana , maana unawezachaza na hawa Mungu watu wa kibongo vile upendavo
 
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.

Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA

Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema

Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji

Mkuu mbona una jazba hivi hadi unakosea kuandika?!! hebu angalia sentensi yako mwanzoni hapo...na hii itaanza kuwachanganya na muda si mrefu mtazuia mikutano ya ndani ya vyama maana mshaanza kuweweseka tayari.
 
Nakala ya utafiti uliyofanya?
Kata funua ni neno la kihuni linatumika sana na panya road na scorpion
Maana yake unamkata raia mwema mtama akianguka unamfunua na teke la uso,halafu ndio vinaanza visu na bisibisi
Sasa nadhani kamati kuu imeamua kuja na style hii ya kijambazi baada ya kuona hawana mashiko kwenye siasa
 
Huku Songea Wangoni tumeikataa KATA FUNUA
Njala Matata.Litola,Mitoronji,Namtumbo,Peramiho,Tingi,
Hizo Sehemu Nilizokutajia Wamelala Sana Hapa Songea Ccm Waliikataa Sema Mbunge wa Chadema Alishinda Akauza Matokeo Kwa Mbunge wa Ccm.
 
Mh!hii KATA FUNUA mbona nawaza tofauti,TCRA hebu angalieni maudhui ya hii kitu yaani waje watukate na kutufunua
 
Hiyo pia itaahirishwa jumla.
Alisema hajaribiwi nyie mkasema hamtishiki, lakini mkatishika sana!!
Tanzania inajua na dunia inajua...
 
Njala Matata.Litola,Mitoronji,Namtumbo,Peramiho,Tingi,
Hizo Sehemu Nilizokutajia Wamelala Sana Hapa Songea Ccm Waliikataa Sema Mbunge wa Chadema Alishinda Akauza Matokeo Kwa Mbunge wa Ccm.

Alitoa risiti?
 
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.

Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA

Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema

Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
Ni nani aliyewashikia akili zenu nyie wafuasi wa chadema? hizi kampeni mnapata majina kwenye vilabu vya pombe?
 
Back
Top Bottom