Nataka operation moja ifanyike nchi nzima baada ya 5 January 2017 ili Magufuli at ambu kuwa hii ni nchi sio ya kikundi cha mafisadi na ccmJina tu lenyewe linashiria uvunjifu wa amani. Nani huyo akatwe na nani afunuliwe? Hata kama uhamasishaji huo wa kukatana (mapanga) na kufumua watu utafanyika kwa mikutano ya ndani, hakika hautaruhusiwa na utakumbana na nguvu ya dola.
Mbowe siasa zake ni za choko choko tu. Zamu hii ndiyo mwisho wake. Upinzani maana yake si kufanya choko choko na kuvuruga amani. Sidhani kama Lowasa angekuwa rais angeruhusu kufanyiwa upuuzi huu na ccm. Ajiandae kwenda kujiunga na Lema huko gerezani. Watu wamechoka.
Mbona Magufuli hataki mpaka atakapoonyeshwa wananchi hawamfagilii kwa kukubaliana mafisadiMbowe ajichanganye na wananchi ajue mitizamo yao. Ameanza kuwa Mgeni hapa bongo