Operation Kata Funua: Lowassa asilete pua yake Simiyu

Operation Kata Funua: Lowassa asilete pua yake Simiyu

Umeandika nini sasa? Ndio maana unaishi simiyu kumbe
 
upload_2016-12-4_12-7-45.png


HAKUNA KULALA,HAPA KAZI TU
 
Ukisoma hivyo vichwa vya habari tu! unajua hili gazeti ndo wale waliolalamika kwa mtukufu kuwa wanamuda mrefu hawajapokea mshahara!
 
Zilongwa Mbali Zitendwa Mbali

Lowassa Yupo Daily Ama Hilo Gazeti Ndiyo Litakalo Mkamata Sema Hata Mhariri Wa Gazeti Naye Ni
"Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani" Akirudi Wenzake Watamjua Kuwa Hana Mkia

Wakiitwa Wahariri Naye Atatoka Kweli
 
Siku Trump anakula kiapo ndio iwe mikutano ya simiyu.
 
CCM ni kama kansa bila ya operesheni haitoki katika jamii yetu ya watanzania.
 
Dangote kasimamisha uzalishaji kwa sababu ya hofu ya oparesheni kata funua?
 
Inasikitisha, kuzunisha na kutia hasira kana kwamba hii nchi ni ya kikundi fulani kidogo hivi.

Serikali ya mkoa wa Simiyu ametoa kalipio kali kuwa katika Operation Kata Funua hawataki kuona Lowasa wala kiongozi wa kuleta pua yake Simiyu.Magazeti ya leo yameandika. Mwenyekiti wa Chadema amezindua operation kabambe kuelekea kuchukua nchi 2020 hususani kwa ajili ya kuwaanda wanachama wake na viongozi kujiandaa na serikali awamu ya sita itakayokuwa chini ya UKAWA

Aidha ikumbukwe kuwa pamoja na serikali kupiga marufuku mikutano ya siasa iliruhusu mikutano ya ndani ambayo ndiyo aina ya vikao vitakavyotumiwa na Chadema

Tahadhari:
Tunaona wimbi la wawekezaji wakijawa hofu kubwa juu uwekezaji wao kutokana na kutokuwa na uhakika wa kesho kutokana na matamko yasiyo na kichwa wala miguu,hali ya kisiasa isiyofuata katiba wala sheria inawaongezea wasiwasi sana wawekezaji.Msiwatishe wawekezaji
Hii nchi imejaa wanafiki sana wewe ndiyo ulikuwa mtu wa kwanza Chadema kumkataa Lowassa.
Screenshot_2016-10-14-14-41-03-1.png
Leo hii Lowassa kupigwa unajifanya kusikitika.
 
Hatimaye chadema yaendesha nchi kisiasa kama inavyotaka .
 
Back
Top Bottom