Gwajima ana Nguvu gani CCM mpaka atumie watu? Mda always ni Mwalimu mzuri tujipe mdaKiufupi ni GWAJIMA alitumia MANABII wenzake kutengeneza TABIRI za kutisha kuelekea UCHAGUZI 2025, lakini wenye nchi yao wameshamng`amua sasa wanadili nae..
Wanasema ilikuwa colabo ya yeye na ex wake.Mtasema tu aliyemuua Magufuli
Amekata majani sasa tunaona mashimo ya nyoka yalipo.Gwajima amefanya fumigation wadudu toka kila kona wanaruka ruka ovyo. Wauaji wakubwa nyie.
Watekaji na wauaji kurjuan imeanza kuchanganya wanaropoka kama wamekunywa maji ya chooni vile.Nimefuatilia nyuzi zako kwa kina sana, kwa akili yangu ambayo nimekuja kufinalize kuwa nina akili nyingi kukuzidi hatimae nimegundua kuwa yote unayoandika ni nonesense and useless.
You probably have an important message, but you lost the audience!Kwa kifupi, kifaa cha kufukua kaburi kimefungiwa. Wale waliotumwa kwa giza sasa wamelazimika kutafuta nuru bandia ya kukimbilia. And just as it’s said in the field: He who operates at dawn will face dusk before his time.
Haya mambo yamekuzidi ukubwa huwezi kuelewa haraka.Mafumbo kibao.
Funguka.
Haya mambo yamekuzidi ukub huwezi kuelewa haraka.Mafumbo kibao.
Funguka.
Natuletea Vingereza ya Lumumba tumuone jack Bauer 😀Sasa kama tunatakiwa tusiumize kichwa, hamna jipya, huu uzi na ma conspiracy theories yote haya, na kujitutumua kote huku kujionesha Jason Bourne ni kwa nini?
Unatuletea thread ya kuumiza kichwa yenye ramli kibao, halafu watu wakiukiza maswali unasema wasiumize kichwa, hamna jipya?
Huoni contradiction hapo?
Au huu uzi ni wa riwaya za kuchangamsha ukumbi tu?
Aint no such thing as belgium projectBelgium project doomed to fail. God bless Tanzania
Hakuna cha ukubwa wala nini,.....ni uhoga wa mleta post tu.Haya mambo yamekuzidi ukub huwezi kuelewa haraka.
Katuzingua sana tu, tunataka hela zetu hata kama hatujalipia. 😂😂😂Dah kaka uishi Sana, maana nili hisi ni mimi niliye kuwa nasoma novel ya kijasusi inayo Anza mwisho kuja mwanzo 😂😂
Mkuu sisi wengi tulio na vichwa vya panzi hatukuelewi , maana hapa pa JF, lazima uwe wazi.Katika majira haya yenye kelele zisizo na ala, tunalazimika kunyoosha antenna zetu kupokea kile ambacho hakijasemwa wazi. Japo mitetemo ya chini ya ardhi haionekani kwa macho ya kawaida, waliofunzwa kusoma hewa tayari wameshaweka dots kwenye ramani ya mwelekeo.
Kwa muda mrefu, baadhi ya wahudumu wa mwanga bandia wamekuwa wakicheza michezo ya kivuli, wakijivika kanzu za rohoni huku wakitekeleza protokali za kitengo kisicho rasmi. Wanajifanya manabii, kumbe ni ma-agent wa mpango unaofadhiliwa nje ya perimeter ya Taifa.
Katika lugha ya operesheni, wamekuwa wakipiga soft codes kuhusu “mwisho wa mpango”, wakitumia maneno ya kiroho kufunika intel drops za ajenda ya kupindua msitari wa amri kuu. Kaburi halijachimbwa, lakini wao tayari wana orodha ya wasomaji wa hitma.
Operesheni yao iliitwa “Dark Days”. Ilijikita kwenye principle ya target destabilization. Malengo yakiwa ni mmoja, lakini njia walizochagua zilikuwa za kuteremka giza kwa kutumia taa za bandia. Kwa bahati mbaya kwao, mlengwa aliingia kwenye secured zone kabla ya trigger sequence kutimia.
Taarifa za deep comms kutoka kwenye mitaa ya kimya zimeshatambua walengwa na walengaji. Aliyevaa kivuli cha username sasa ana sura kamili kwenye mfumo wa face recognition. Hawa si wapambanaji wa haki, bali ni watoa taarifa bandia kwa bei ya kiapo cha hila.
Harakati za kutabiri “mabalaa ya uchaguzi mkuu” zilikuwa sehemu ya psyop campaign. Wengine waliingiza jina la mpita njia maarufu kwenye skripti ya mwelekeo wa bendera, lakini kwenye meza ya war room, script yao ilishakataliwa.
Wamesahau kuwa baadhi ya maombi ni silaha za kimya. And those who pray in encrypted tongues have already activated firewall ya taifa. Vazi lao la uaminifu sasa limechanwa, na mfumo wa kufuatilia miendo yao uko kwenye live monitoring.
Kwa sasa, watendaji wa kazi ya chini ya ardhi wameingia phase two: neutralization ya propaganda, kufuta metadata ya hila, na kuzuia access ya red zone kwa wale waliopoteza malengo.
Kwa kifupi, kifaa cha kufukua kaburi kimefungiwa. Wale waliotumwa kwa giza sasa wamelazimika kutafuta nuru bandia ya kukimbilia. And just as it’s said in the field: He who operates at dawn will face dusk before his time.
Halafu kaja na jina lenye mbwembwe, eti the infiltrator.Katuzingua sana tu, tunataka hela zetu hata kama hatujalipia. 😂😂😂
Sahihi kabisa MkuuKatika mazingira ya Tanzania ya sasa, wapo watu wanaotumia jukwaa la dini kuendesha siasa za kivuli, kwa nia ya kupunguza uhalali wa mamlaka ya nchi. Mfumo wa usalama umeshatambua njia hizi — hata pale zinapokuja kwa sura ya uongozi wa kiroho.
We jamaa una TraumaHalafu kaja na jina lenye mbwembwe, eti the infiltrator.
Huyu tuta mdai fidia na aki goma kulipa, violence lazima ihusike 😂😁
Nna mashaka na huu mgumu wa usalama wa vijana wa kijan ,nahis umekaa Uchawa na kutengeneza picha ya kugofya Kwa mkuu ili wateke nafs yake ili ahisi Kuna hatar kubwa mbele yake na Vijana waonekane wanapiga kazi ili waongezewe size ya ugali wao na kujaziwa nyama kwenye bakul zaoKatika mazingira ya Tanzania ya sasa, wapo watu wanaotumia jukwaa la dini kuendesha siasa za kivuli, kwa nia ya kupunguza uhalali wa mamlaka ya nchi. Mfumo wa usalama umeshatambua njia hizi — hata pale zinapokuja kwa sura ya uongozi wa kiroho.