GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,078
- 16,399
Wewe ni mwanachama wa CCM?
Mtafaruku gani acheni mambo ya ajabu tendeni HAKI.mimi nilivyoielewa nu kuwa
Kuna kikundi cha watu waliokuwa wakitekeleza mpango wa siri wa kuvuruga au kuleta mtafaruku nchini (huenda kisiasa, kiusalama, au kiitikadi).
Watu hawa wanajifanya watu wa kiroho, wahubiri au viongozi wa jamii, lakini kwa ndani ni mawakala wa ajenda ya kigeni au isiyo rasmi.
Walitumia lugha ya dini au maono ya kiroho kuficha mawasiliano yao ya siri (intel drops).
Mpango wao uliitwa "Dark Days na ulikuwa na lengo la kudestabilize taifa au sehemu ya mfumo rasmi
Licha ya juhudi zao, mtu waliyemlenga (likely a leader or high-value individual) alijikinga kwa wakati kabla ya mtego kutimia.
Serikali au mfumo wa ulinzi wa taifa umeshatambua wahusika, hata wale waliokuwa wakijificha kwenye majina ya mitandaoni.
Taarifa zao zimewekwa kwenye mfumo wa utambuzi wa sura na uangalizi wa wazi [face recognition na live monitoring].
Sasa taifa limeanza hatua ya pili ya operesheni, yaani:
Kuzuia propaganda,
Kufuta ushahidi na metadata ya njama,
Kufunga njia za kupenya kwenye maeneo nyeti ("red zone").
Huu ni ujumbe wa onyo unaosema kuwa kuna kikundi kilichojificha ndani ya jamii, wakitumia taswira ya uongozi wa kiroho, lakini kwa kweli wakitekeleza ajenda ya kuvuruga taifa. Mpango wao umevunjwa, wahusika wametambuliwa, na sasa hatua za kuzuia na kusafisha athari zao zinaendelea.
Niupuuzi kama sio uoga kuzunga mibuyu.Si ulikimbia fashion simulizi wewe!😄😄😄 sasa hapa ndo inatumika
Sasa jambo kama hili nalo ni lakuzunguka mbuyu?mimi nilivyoielewa nu kuwa
Kuna kikundi cha watu waliokuwa wakitekeleza mpango wa siri wa kuvuruga au kuleta mtafaruku nchini (huenda kisiasa, kiusalama, au kiitikadi).
Watu hawa wanajifanya watu wa kiroho, wahubiri au viongozi wa jamii, lakini kwa ndani ni mawakala wa ajenda ya kigeni au isiyo rasmi.
Walitumia lugha ya dini au maono ya kiroho kuficha mawasiliano yao ya siri (intel drops).
Mpango wao uliitwa "Dark Days na ulikuwa na lengo la kudestabilize taifa au sehemu ya mfumo rasmi
Licha ya juhudi zao, mtu waliyemlenga (likely a leader or high-value individual) alijikinga kwa wakati kabla ya mtego kutimia.
Serikali au mfumo wa ulinzi wa taifa umeshatambua wahusika, hata wale waliokuwa wakijificha kwenye majina ya mitandaoni.
Taarifa zao zimewekwa kwenye mfumo wa utambuzi wa sura na uangalizi wa wazi [face recognition na live monitoring].
Sasa taifa limeanza hatua ya pili ya operesheni, yaani:
Kuzuia propaganda,
Kufuta ushahidi na metadata ya njama,
Kufunga njia za kupenya kwenye maeneo nyeti ("red zone").
Huu ni ujumbe wa onyo unaosema kuwa kuna kikundi kilichojificha ndani ya jamii, wakitumia taswira ya uongozi wa kiroho, lakini kwa kweli wakitekeleza ajenda ya kuvuruga taifa. Mpango wao umevunjwa, wahusika wametambuliwa, na sasa hatua za kuzuia na kusafisha athari zao zinaendelea.
Usiumize kichwa, hamna jipya.Inebaki miezi 5..ngoja tuone
Mama IKULU yake teeeeeenaUsiumize kichwa, hamna jipya.
mbona una ni attack kama ndo nimesema mimi nilikuwa najaribu kufafanua kwa aliyesema kuwa code ngumu nikasema mimi nilichokielewa ni hicho kulingana na mwandishiMtafaruku gani acheni mambo ya ajabu tendeni HAKI.
Watu wana Demand haki na Usawa.
mimi ni msomaji na mchangiaji kama wewe tu hakuna mbuyu niliozungukaSasa jambo kama hili nalo ni lakuzunguka mbuyu?
Huoni hapo mpaka mlevi wa chimpumu amekuelewa.
HahahaMpaka octoba tutajua nani fundi nani kibarua
Ukweli ni kama kisiki, akijaribu kuupiga teke utamvunja dole gumba.mbona una ni attack kama ndo nimesema mimi nilikuwa najaribu kufafanua kwa aliyesema kuwa code ngumu nikasema mimi nilichokielewa ni hicho kulingana na mwandishi
Soma username yako halafu malizia hivi " yeye ndo mhanga wa haya yote yanayoendelea nchini"Watu wanakufa hovyo wewe unaleta ngonjera.
Too much propaganda😀
Mkuu jikite kwenye maswala mtambuka yanayoikumba Taifa na usalama wake achana na udini hautakusaidia.Katika mazingira ya Tanzania ya sasa, wapo watu wanaotumia jukwaa la dini kuendesha siasa za kivuli, kwa nia ya kupunguza uhalali wa mamlaka ya nchi. Mfumo wa usalama umeshatambua njia hizi — hata pale zinapokuja kwa sura ya uongozi wa kiroho.
Hakuna udiniMkuu jikite kwenye maswala mtambuka yanayoikumba Taifa na usalama wake achana na udini hautakusaidia.