Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Wakati analia bwana ruge hamkupata hata kafursa ka kuuza leso ya kufutia machozi
Machura mengi machafu yanasweti vibaya.flat screen usumbufu wa kutongozwa haupo ndio maana tunawaweka ndani,siwezi kuoa mwanamke halafu marafiki zangu na majirani waanze kutokwa na udenda,chura ni mchepuko kwa ajiri ya kuzima tamaa,na ndio maana wenye chura wote wanaishi kwa kutegemea wanaume au waume za watu,na wao wanajijua kuwa sio watu wa kuolewa but kutuburudisha na kutusahaulisha mawazo na kero za wake zetu flat screen...nadhani kwa huu mchanganuo utakuwa umeelewa maana...
tehe tehe tehesimpaka hata hiyo chai ajue kuiandaa
OohNimekumiss pia love, nabanwa na masomo mpnz wangu ndo maana napotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itabidi nimtafute apate kuku yenye shingo apunguze hasira [emoji41], mwambie demi aache ukorofi wa hukuhahaha na kweli aisee !tutakua pamoja !demi kaletewa kuku haina shingo wacha acharuke hahahahaha uwii mie sn ham naye jaman
cc demi nikapata kazi ya kumtuliza !
Hasa huo mnato nikinasa Nani ataninasua si hadi tutafumaniwa sasa. Ebu kuwa serious Mama SabrinaKuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "
Kwanza huo mnato ni inchi ngapi isijisifu mnato afu kwa Mwingine ni pacific..Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "
Mechoka kujibu uliza hapo jirani yakp basiKwanza huo mnato ni inchi ngapi isijisifu mnato afu kwa Mwingine ni pacific..
Kwani kila mtu anapenda kitu hicho kimoja?Flat screen naona mnajifariji.
Ruge alikua under influence of alcohol, angekua sober kisha akalia hapo ningeelewa. Lake zoners hua hatulilii mbunye.
Labda nikusaidie ujue, wanaume tunaweza kufake love au kilio ili tuendelee kukuweka kwenye waiting list hata kama mtu anajua hakuoi, ila anapenda akuhold tu uwepo uwepo.
Hivyo kufanya hayo hakumaanishi tunapenda au unapendwa ila hua hatupendi ku realese mali zetu hata kama hatuzitumii.
Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "
UlijuAjee...?? WanaKuna manzi mmoja kitaa FLAT alikuwa anajitapa kuwa wanaume wengi pale mtaani aliotembea nao wanavibamia,watu size tukasema isiwe tabu ngoja tikajaribu ..Dah! Manzi alikuwa anakibubu kikubwa kiwango cha changalawe. Zingatia hili kabla ya kuwaita wanaume vibamia jichunguze wewe unaweza kuta una extreme and infinity size ambayo haipo kwenye viwango vya umoja wa Mataifa..... Nitarudi