Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,605
- Thread starter
- #81
Kuna mmoja huyo kaacha mkewe akaoa mwenye chura aisee kaolea mji mzima ,mpaka demu huwa haendi na mmewe sehemu za starehe maana kachafua vibayaWapenda chura wengi, hawaridhiki, njiani kote anagekageka kushindanisha chura, huku akitokwa na udende[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
ndomaana wenye chura wengi hajaolewa, ni sawa na [emoji208] [emoji208] [emoji208] [emoji208] tu mbugani ni kwaajili ya kufurahisha watariiii wote wakaopenda kwenda mbugani,
Kuoa mwenye Chura kubwa ni sawa na kumfuga [emoji208], kwako panageuka zoo.....