goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,154
Mama Sabrina,
Yaani mwanamke mmoja kumliza mwanaume ndiyo uje na nyuzi hapa Jf,
90% ya wanaume duniani wanapenda chura kama wewe ni flat screen subiri anayependa akufuate.
Kidole kimoja hakivunji chawa.
God damn....