Ooooh mwanamke chura..chura my foot

Ooooh mwanamke chura..chura my foot

Kwani hao wenye chura ndio hawana mnato bi mkubwa!!!

By the way chura fahari ya macho bi mkubwa, kuna arts fulani za love making zinatendeka barabara kama mshundundu ukiwepo....

Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen...
 
Kwani hao wenye chura ndio hawana mnato bi mkubwa!!!

By the way chura fahari ya macho bi mkubwa, kuna arts fulani za love making zinatendeka barabara kama mshundundu ukiwepo....
Joto,harufu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "
ACHA KUJIFARIJI KAMA HUNA TAKO KWENDRAAA [emoji23][emoji23][emoji23] TAKO NDO HABARI YA MJINI MA FLAT YA NINI
 
Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "
pole mwanamke jikaze hivo hivo tu maana umeumbwa libaya utafanya nini mwenzangu weye?
 
flat screen usumbufu wa kutongozwa haupo ndio maana tunawaweka ndani,siwezi kuoa mwanamke halafu marafiki zangu na majirani waanze kutokwa na udenda,chura ni mchepuko kwa ajiri ya kuzima tamaa,na ndio maana wenye chura wote wanaishi kwa kutegemea wanaume au waume za watu,na wao wanajijua kuwa sio watu wa kuolewa but kutuburudisha na kutusahaulisha mawazo na kero za wake zetu flat screen...nadhani kwa huu mchanganuo utakuwa umeelewa maana...
Mkuu. Wewe peke yako hapa ndo umeongea ukweli ulio hai. Hamna cha kuongeza au kupunguza. Huo ni ukweli na nusu.
 
Mwanamke kama huna tako...kacheze kareti...huko ndiko kunakokufaaa...CIO ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom