Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,605
- Thread starter
- #321
Na ndio tunawekwa sana ndaniMwanamke kama huna tako...kacheze kareti...huko ndiko kunakokufaaa...CIO ndani ya nyumba
Na ndio tunawekwa sana ndaniMwanamke kama huna tako...kacheze kareti...huko ndiko kunakokufaaa...CIO ndani ya nyumba
Kweli, hasa ukizingatia kuna asset tuliisha wekeza.Flat screen naona mnajifariji.
Ruge alikua under influence of alcohol, angekua sober kisha akalia hapo ningeelewa. Lake zoners hua hatulilii mbunye.
Labda nikusaidie ujue, wanaume tunaweza kufake love au kilio ili tuendelee kukuweka kwenye waiting list hata kama mtu anajua hakuoi, ila anapenda akuhold tu uwepo uwepo.
Hivyo kufanya hayo hakumaanishi tunapenda au unapendwa ila hua hatupendi ku realese mali zetu hata kama hatuzitumii.
Mkuu ulimaanisha ChuraUpuuzi wa kufananisha chua na mambo ya Ajabu ajabu mmeanza lin?
Chura iko wazi kama dish juu ya bati, huo mnato mpaka nije kuujua si mpaka nikuvue.Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "
inaonesha wewe mkali sana kwa jinsi unavojiamini.acha nijichunge usije ukanipokonya buzi langu maana mimi sina mume.Hehehehehe jidanganye
Hahaha sikutegi, nakwambia of course utakuja kutna nalo huko mbeleniUmeamua kunitega au?
[emoji6]
Jamani jamaniHahaha sikutegi, nakwambia of course utakuja kutna nalo huko mbeleni
Hutaki?Jamani jamani
Nasubiri kuonaHutaki?