Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Kuanzia leo tunasema hivi kitu mnato ndio kila kitu na sio kutuaminisha eti mwanamke chura na kutuponda flatscreen,,Zamaradi hana chura lakin Ruge kaliaaa na kutaka kufa kisa zamaradi kumuacha,,zamaradi kugombewa na bwana wawili na hana chura mnataka kusema nini hapa
Kina sanchoka,masogange wanazurua na chura zao hatusikii hata wakililiwa au kugombewa waolewe
Mtupumzishe tunapendwa hivyp hivyo na htuweki vigodoro
.
.
kumbuka "Tembo hafugwi anaangaliwa tu mbugani na kumuacha aende zake "