Ooooh mwanamke chura..chura my foot

Ooooh mwanamke chura..chura my foot

Kiukweli nikuwa kila mwanamke anamvuto wa aina yake, nani wanaume wachache tu wanaopenda makalio makubwa. Mwanamke anaweza kumvutia mwanaume kwa urefu wake, rangi, nywele, weusi, ufupi, umbo, meno, kujua kuvaa, sauti, mwendo, ukarimu, Upole/utaratibu (Hapa mimi ni mgonjwa), tabasam/bashasha, uchangamfu, utani n.k. Chura mara nyingi hupendwa na wanaume wahuni.
Futa kauli apo kwenye ufupi
 
ha ha ha... huo mnato unaanzaje mpaka kuvutiwa nao? sisi wengine tunapenda mizigo...mizigo ni balaa hata wanawake wenyewe wanakubali.. mwanamke hta kwa nyuma unajua ni mwanamke... jamaa kulia si kigezo mi nishalia kwa wanawake zaidi ya 60 na kila mmoja nlimwambia kuachana na yeye ni kama samaki kutolewa ndani ya maji nitakufa. mpaka leo nadunda. hizo ni mbwembwe tu huwa nalia hasa ikiwa nahitaji bado niwe nagongea siku nikikwama. unajua sisi wanaume huwa hatuachi moja kwa moja..kuna majira ya ukame..mtu unaweza tafuta kisima cha zamani ukanywa maji kiu yako ikapoa... so huyo jamaa kulia ni kuwa anamtengeneza mwanamke kisaikolojia kuwa kuna siku anaweza enda kugongea asinyimwe...............angekuwa anampenda angemwoa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we farrra thanaa...umetoa siri zetu(jokes tu mkuu)

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Oi oi oi oiiiiii waambie watukome ..... Kitu flat ndiyo mambo yote kila style inaenda full kubenjuka teh ... Ha ha unakuta unakibamia unalilia mwanamke mwenye chura mtukome
Wee miss chagga kumbe mkali hivi duu
 
Flat screen naona mnajifariji.
Ruge alikua under influence of alcohol, angekua sober kisha akalia hapo ningeelewa. Lake zoners hua hatulilii mbunye.

Labda nikusaidie ujue, wanaume tunaweza kufake love au kilio ili tuendelee kukuweka kwenye waiting list hata kama mtu anajua hakuoi, ila anapenda akuhold tu uwepo uwepo.

Hivyo kufanya hayo hakumaanishi tunapenda au unapendwa ila hua hatupendi ku realese mali zetu hata kama hatuzitumii.
brabo.hii ndo saikolojia ya mwanaume.
 
ddf524ead1ceb244b27dea49098bfc2c.jpg
chura ndio kila kitu.
 
Kitonga....mafindofindo...buzuki ya moto...mukadi....weezele...shundu....Hayo Yoote no majina ya makalio makubwa..

Na ukipanda kwa nyuma ad unahic umeshnda BIKO.....alaaaa
 
Back
Top Bottom