Ooooh mwanamke chura..chura my foot

Ooooh mwanamke chura..chura my foot

hahahahahahahahahahahah!!
sijui nimekuelewa mwenyewe!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeelewa mkuu
Kwani mtu ukachukuE mzaz,wakati zenye uangalau bado zipo........
 
Si wanassema sie mpaka tuwezeshwe au,,wa kuniwezesha si wewe sasa huoni jack Mengi
Kuwezeshwa wamemanisha mtaji na pia kauli hiyo ukiiweka kichwani inweza kukulemaza na ukajiona kama kile kisa tu we ni mwamke naomba nichukue muda huu kukuibia siri ya wanaume wa kibongo "WENGI WA WANAUME WA SIKU HIZI ILI WAKUWEKE KENYE RAMANI YAO YA MAISHA NI LAZIMA NA WEWE UWE MSAADA KWAO I MEAN UWE NA KA KITU KA KUCHANGIA MENDELEO KWAKE ILA UKIWA TOO DEMAND NAO WANARESPOND KWA KUPLAN KUKUTUMIA OVYO SO
 
Huo sasa ubahili banaa,,
Kwa hiyo umenitosa?
 
Flat screen naona mnajifariji.
Ruge alikua under influence of alcohol, angekua sober kisha akalia hapo ningeelewa. Lake zoners hua hatulilii mbunye.

Labda nikusaidie ujue, wanaume tunaweza kufake love au kilio ili tuendelee kukuweka kwenye waiting list hata kama mtu anajua hakuoi, ila anapenda akuhold tu uwepo uwepo.

Hivyo kufanya hayo hakumaanishi tunapenda au unapendwa ila hua hatupendi ku realese mali zetu hata kama hatuzitumii.
Lake zoners ni Malimbukeni na Washamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwakweli mie mwanaume anayeimba daily makalio makalio namuogopa ! 100%huwa sio wazuri wanafanya usodoma mno !hapana aisee
Usodoma kama umehalalishwa siku hizi kwani hata wanawake nao wanalengesha bila kuombwa tena macho makavu! !
 
Flat screen hawanaga usingizi wa hovyo hovyo kama hayo wenye makalio ya kupulizwa kama puto.ukiona unapenda maputo jua wewe mwanaume ni "shake well before use"
 
Back
Top Bottom