Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??

1st lady pole sana mamaa kwa yaliyompata rafiki yako mpenzi. Si wanaume wote wanapiga wapenzi wao au wake zao. Wenye tabia hiyo ya kiharamia kwa maoni yangu wana tabia za kinyama kabisa kwa sababu hakuna kosa lolote linalostahili mwanamke apate kipigo kutoka kwa BF wake au mume wake. Huwa nawashangaa sana wanaume wenye tabia hizi za kiharamia ambazo hazistahili kabisa kuwepo katika dunia hii ya leo. Kama una mtu mwingine pembeni ambaye unampenda sana basi achana na huyo uliye naye kwa amani ili uendeleze mapenzi yako kipande kingine.
 
mie ctaki utishike, lakini hapo hapo ucweke kifua mbele sana, kuna raha/karaha zake humo,nasubiri mualiko tu haya ya humu yaachie humu humu mami, sawa dearest?

bihechitiii-bht harafu harusi yako wewe nataka nikusimamie usiseme ooh hatuendani wewe mnene mala skeletoni ..tuma mapema mwaliko :Dmore than serious
 
FirstLady1!!!hebu try to check out na upande wa pili wa shilingi!!usije kutoa lawama kabla hujajua mr anasemaje!!huenda ukimsikia mr. utamfukuza hata huyo friend wako,kuwa mvumilivu kidogo kabla ya kutumwagia lawama!!
 
1st lady pole sana mamaa kwa yaliyompata rafiki yako mpenzi. Si wanaume wote wanapiga wapenzi wao au wake zao. Wenye tabia hiyo ya kiharamia kwa maoni yangu wana tabia za kinyama kabisa kwa sababu hakuna kosa lolote linalostahili mwanamke apate kipigo kutoka kwa BF wake au mume wake. Huwa nawashangaa sana wanaume wenye tabia hizi za kiharamia ambazo hazistahili kabisa kuwepo katika dunia hii ya leo. Kama una mtu mwingine pembeni ambaye unampenda sana basi achana na huyo uliye naye kwa amani ili uendeleze mapenzi yako kipande kingine.

Thanks BAK nadhani huu ni ushauri mzuri sana inawezekana mwanaume anatafuta sababu za kuachana na mkewe kazikosa .so ameamuwa kuwa anamshushia kipigo mpaka aondoke mwenywe hatari kweli kweli........ i do know!!
 
FirstLady1!!!hebu try to check out na upande wa pili wa shilingi!!usije kutoa lawama kabla hujajua mr anasemaje!!huenda ukimsikia mr. utamfukuza hata huyo friend wako,kuwa mvumilivu kidogo kabla ya kutumwagia lawama!!

hata kama alifanyiwa nini lakini hakustahili kumfukuza mama na watoto ucku......hapana.
 
haina tatizo mamito ilimradi utaprovide nguo za mama/baba,mm,mdogo wetu wa mwisho,bibi/babu,za kaka yetu aliekuwa marekani na yule mwingine france zey will shop for them selves,yule dada yetu aliyeolewa dubai hana shida pesa mbongo,ngoja nichek na Twini atakwambia nani mwingine umnunulie on her weddng dei
hahahah haya Kulwa niruhusi bathi mie ila nimemwambia asiseme ooh huyu tall ,short ,skeletone ,nyambizi no....
 
FirstLady1!!!hebu try to check out na upande wa pili wa shilingi!!usije kutoa lawama kabla hujajua mr anasemaje!!huenda ukimsikia mr. utamfukuza hata huyo friend wako,kuwa mvumilivu kidogo kabla ya kutumwagia lawama!!
Je na wale watoto walikuwa na kosa lipi hata kufukuzwa usiku wa maneno ...kama jirani yao mie nisingekuwepo hao watu wangelala wapi?vitu vingine inapaswa kufikiria
 
Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??

Duh mpe pole huyo mama...
 
haina tatizo mamito ilimradi utaprovide nguo za mama/baba,mm,mdogo wetu wa mwisho,bibi/babu,za kaka yetu aliekuwa marekani na yule mwingine france zey will shop for them selves,yule dada yetu aliyeolewa dubai hana shida pesa mbongo,ngoja nichek na Twini atakwambia nani mwingine umnunulie on her weddng dei
we binti wewe thirudii tena kujiombea gharama zote hizo mie wakati ni juu yenu kuninunulia mie best wenu
kwa eeh kwa heri
 
ahhhhhhhhh mama!tulia basi pressure ya nn!mbona hatuna gharama?vijimambo vidogo tu hivi
we binti wewe thirudii tena kujiombea gharama zote hizo mie wakati ni juu yenu kuninunulia mie best wenu
kwa eeh kwa heri
 
Je na wale watoto walikuwa na kosa lipi hata kufukuzwa usiku wa maneno ...kama jirani yao mie nisingekuwepo hao watu wangelala wapi?vitu vingine inapaswa kufikiria
kwa suala la watoto hapo hilo linaongeleka!!nadhani mtu mzima hapo hasira iliishinda busara!!naamini right now atakuwa anajutia!!!ila lile la mama nabaki kushikiria msimamo wangu wa wewe or someone else akaongee na huyo bwana!!!
 
...mid-life crisis,

Tatizo la jamii zetu za kiafrika mwanaume unatakiwa 24/7 upambane na matatizo yako mwenyewe kisaikolojia. Hakuna kulia lia, kushtaki wala kulalamika maisha yanapokukalia kooni...

Ukijumlisha hayo na manung'uniko na lawama za kila siku toka kwa mama watoto unajikuta siku unaripukwa kama hivyo.

Namlaumu huyo mheshimiwa kukosa busara kiasi cha kuwakurupusha wanafamilia wote usiku wa manane, lakini pia namlaumu mama mwenye nyumba kukosa busara ya kusubiria mzee mwenye nyumba apoe hasira ndipo aanze kuongea nae kiutu uzima.

Wakati umefika kuanzishwe vituo kwa wanandoa kwenda kupata counselling, maana kuna matatizo mengine yanachangiwa kwa kiwango kikubwa na umasikini tulionao + pressure za kazi na majukumu ya familia.
 
bihechitiii-bht harafu harusi yako wewe nataka nikusimamie usiseme ooh hatuendani wewe mnene mala skeletoni ..tuma mapema mwaliko :Dmore than serious

wewe mbona ndo chaguo langu

1st ledi omba ruhusa mm ni kulwa bht doto

jamani si tuliongelea hili ijumaa ilopita twin pie!!??

haina tatizo mamito ilimradi utaprovide nguo za mama/baba,mm,mdogo wetu wa mwisho,bibi/babu,za kaka yetu aliekuwa marekani na yule mwingine france zey will shop for them selves,yule dada yetu aliyeolewa dubai hana shida pesa mbongo,ngoja nichek na Twini atakwambia nani mwingine umnunulie on her weddng dei

senks twin lakini mbona gharama kama unamkomoa vile msimamizi wangu??
 
ahhhhhhhhh mama!tulia basi pressure ya nn!mbona hatuna gharama?vijimambo vidogo tu hivi

utamfanya hata tukipata matatizo kama haya kwenye ndoa asije kutushauri ataogopa tutamwambia yeye ndo awe host atupeleke 5 star hotel ndo tujafanyie usuluhishi huko na tutataka kukaa kwa angalau wiki moja tu huko
 
twin nilikuwa najaribu kucheki kama anaweza kuhandle matatizo ukiyapata ktk ndoa,si unajua while ww utakapokuwa unachukua kiapo cha for beta or worse yy atakuwa pembeni yako?so ukiishiwa msosi somtimes inabidi asaport au?

senks twin lakini mbona gharama kama unamkomoa vile msimamizi wangu??[/QUOTE]
 
FL1,

Hii issue ni inauma sana n a inakela mno! Ufikapo hm na kujaribu kulonga na mume wa huyo dada just kuwa makini sana maana huyo bwana akili zake ziko fyatu kimtindo, na ujaribu kuchunguza kama jamaa kaisha pata chupa zake mmoja mbili hivi just dont go asije kuharibia usingizi wako bureeeee!

Je huyo baba anafanya kazi?

kwanza topic lazi uianzishe na iwe ime base kwa watoto kwanza then issue ya yeye na mkewe ndio utaichomekea hapo kati kati ya maongezi.

Na ulisema muda flani ati rafikio huyo anataka kwenda Police? its oky lakini je ustawi wa jamii nako alisha kwendaaa kujieleza hayo matatizo? alafu kuna wakina mama wengine huenda hata kushitaki kwa mabosi wa waume zao kama wameleteana noma home.
 
Back
Top Bottom