Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Feb 16, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
  Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
  Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
  Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
  Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
  kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
  Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,987
  Likes Received: 37,272
  Trophy Points: 280
  Ndoa ndoano.
  Wanawake huwa wanakosea,
  wanakuwa na haraka sana ya kuolewa na kusahau kumchunguza vyema mumewe mtarajiwa.
  Hata akigundua tabia mbaya za huyo mwanamume husema moyoni mwake kuwa atamrekebisha, kitu ambacho hata wazazi wa mwanaume wameshindwa kuzirekebisha tabia mbaya hizo.
  matokeo yake ni kwamba baada ya raha za muda mfupi wa ndoa mateso na dhuluma huanza.
  Ila familia bora ni ile yenye hofu ya Mungu.
  mkiwa mnatafuta watu wa kuwaoeni, tafuteni wale ambao wanamtegemea Mungu na kufuata neno lake.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,770
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280

  Yale yaleee...sijui kama yataisha anytime soon FL1! Pole mkaribishe mwanamke mwenzio mpe chakula na mavazi ili sipungukiwe kitu kwa sasa na Mungu atakuongezea apo ulipopunguza.
   
 4. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 6,820
  Likes Received: 1,672
  Trophy Points: 280
  Yeah yeah! yaaani umelia jamani, ha pole sana na pole kwa huyo jirani pia. Hila si wote wako hivyo ni wachache tu ktk jamii.

  Uki chagua kaka mbadala hayo hayata kukuta kamwe, FL1 deserves the finest of the men breed. Na mi masai naweza kujinada ya kuwa na qualify huko, kweli vile niamini dada.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Binamu naogopa kukaa na mke wa mtu na familia yake hivi mmewe akija kunishushia kipigo namuhifadhi mkewe bila ridhaa yake ..
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  You cannot change a man's behavior. * Change comes from within.
  yani hizi story now ni too much,ss wengine tunatamani kuolewa but mambo yenyewe ndo kama haya kila cku,yanatuogopesha!y beating the person you love?at one time you couldnot fall asleep just thinking about her,at a time you fought with ur relatives,friends etc just because you wanted to proctect her?what has changed your mind now?it realy hut jamani,yani haya mambo uskie kwa mtu yakikufika!so next time ukikosea na yy akupige na kukufukuza?have you 4go10 ur frm God image?wea is the love jamani?
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  kweli inatia hasira hasa uliposema na "watoto" walifukuzwa! kwani hao wanahusikaje katika ugomvi wao. huo hasa ndio ukatili tena wa kijinga. watu kama hao ndio wanostahili kunyongwa bila huruma.

  ugomvi wa ndani ya nyumba si vizuri kuuamua nje ya nyumba husika. na hadi hapo una habari ya upande mmoja tu, bila kutetea ukatili alioufanya baba, nadhani akina mama muwe wepesi kusoma hasira za waume zenu na kila ikiwezekana muepushe shari kabla halijatokea huku jtihada za kutafuta suluhu baina yenu zikiendelea. uzoefu ynaonyesha kuwa wanaume wanakasirika zaidi na maneneo mnaowarushia mkipata sababu, unaweza kukuta mama anarusha maaeno kwa amumewe tena mbele ya watoto na majirani utadhani yko baa .............. na mwanume anaamua kumshikisha adabu ndio unakuta yote haya yanatokea......................

  pole sana mama..................... yana mwisho..................
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,770
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280
  huyo haji binamu alitaka kwanza amtoke...heheheheh ita polisi wakae standby apo

  kwani angekuwa mkewe angemfanyia alivomfanyia? mbona ni kosa la kwenda polisi kabisa...akamshtaki polisi jamaa awekwe ndani kwanza ndo atashika adabu.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Masai kiswahili yako mbofumbofu lakini ..andika kingiresa bathi masai;)
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Thanks Bujibuji je nini cha kumsaidia huyu dada kafunga ndoa halali ua Kikristo
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mzima kweli wewe hapo upstairs???????/mzee hya ya kutongozana yameingiaje humu???????
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Pearl yaani mie hapa namfikiria huyo mwanamme namchukia namchukia namchukia
  hasa nikiwaangalia hawa watoto .....hivi mwanzo si yeye alisema anampenda iweje leo umfukuze mwenzio usiku wa manane !!!:(
   
 13. Suzzie

  Suzzie Member

  #13
  Feb 16, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Sure Mrs President, kumsaidia mtu mwenye shida kama hiyo si vibaya hasa katika masaa hayo mabaya ya usiku, but mshauri akaripoti polisi au aende kwa ndugu zake otherwise huyo jamaa anaweza kukuletea shida na huruma yako ikakuponza.
   
 14. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  enyi wake watiini waume zenu, na waume wapendeni wake zenu hayo ndiyo maagizo ya mwenyezi Mungu kwa wanandoa kwa mujibu wa katiba ya Ki-Biblia, na ukiona mtu hatimizi hayo, huyo yuko nje ya hii katiba na lazima atakuwa anaongozwa na akili za kishetani au kijini, maana huwezi kumpiga mkeo. umeamuliwa kumpenda tu na hakuna maagizo ya kupiga, hapo hii inatokana nakuongozawa na Roho Mtakatifu na Siyo sheria za Kadhi, maana hizo waweza vunja tu,,,,,,,MATHATO 11 : 28 Njooni kwangu ninyi msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha, hapa kuna kuna mizigo ya kunyanyaswa, kuteswa, kurogwa, na mingine mingi tu, lakini kwa Yesu kuna pumziko
   
 15. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 6,820
  Likes Received: 1,672
  Trophy Points: 280
  si unajua tukitumia lugha lao michapio wengine inakuwa mingi. halafu wakiamka huko walipo watuambie kwani tumelazimishwa kutumia lugha. Hila kama unapenda hicho kingresa sasa inabidi niende english school haraka sana.:cool:.
   
 16. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  alafu soon atajutia makosa atamfata mkewe kwa kisingizio cha SHETANI KANIPITIAkwani shetani akikupitia lazima umfuate?ona sasa wanakuongezea un necessary majukum!I hate him,sitamani hata kumwona naweza kumwita mwizi bure kko akione ha moto!
   
 17. locust60

  locust60 Senior Member

  #17
  Feb 16, 2010
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mambo ya kupigana yana sikitisha na hayakubaliki kwa jamii zilizo staarabika la msingi la kujiuliza jamaa na mwanadamu nahisi atakuwa nafurahia kuwa n afamilia yenye amani kwanini afikie uamuzi huo.

  Kama ingewezekana kusikia upande wa mwanaume kilimsibu nini dakika chache kabla hajafikia uamuzi huo nafiri ingekuwa vizuri zaidi
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280


  Thank you Akili Kichwani lakini je ni vyema mwanaume urudi nyumbani saa saba nane mke anyamaze ? je hamjui kama huwa tunakuwa na hofu na usalama wenu kwa vile tunawapenda na kuwajali ..
  Je huoni kama ukilala nje ya nyumba yako unampa mashaka mkeo hasa pale anapokuwa hajui nini kimempata ?
  Tunawasoma sometimez hamsomeki...
   
 19. Suzzie

  Suzzie Member

  #19
  Feb 16, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mapenzi siku hizi hakuna best, mapenzi waliyafaidi wazazi wetu but wanaume wa siku hizi!!! Ukipata anaekupenda na kukujali kwa dhati shukuru Mungu. kwa wenye roho ndogo kama yangu bora kukaa kivyako tu kuliko kuumizana vichwa.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Kaizer nyie wenyewe mnadai ukimpeleka mmeo police basi ndoa hakuna tena ..unalionaje hili binamu?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...