....ooh ..Preta

..nitamwambia..nami nakutuma kwa Preta ..nenda kamwambie........
jinsi unavyompenda ye ahh! na kama mapenzi bado ahhh nimwambie utayaongeza we ahhh! ujumbe umefika shem wangu wa ukweeeee! Young_Master pia ukimuona mwambie ye ndiye alfa na omega! kwa babu nafuata ukaguzi tu!
 
Last edited by a moderator:
...maisha kwangu magumu bila yake yeye...
..asidanganywe na....wakishapata wana....@cacio.. Young_Master anakunywa supu na bado ana machungu ya Italy kufungwa jana
 
Last edited by a moderator:
Preta, kwa Madaraka niliyo nayo juu na chini yako, nakuamuru jitokeze haraka utuepushe na janga linalotunyemelea.
Vinginevyo nakufuata kulekule nanihiino kwako, si unanijuaga!!.
 
Preta, kwa Madaraka niliyo nayo juu na chini yako, nakuamuru jitokeze haraka utuepushe na janga linalotunyemea.
Vinginevyo nakufuata kulekule nanihiino kwako, si unanijuaga!!.
...nisaidie kaka angu....@PJ..nakufa kwa presha mie huku
 
...maisha kwangu magumu bila yake yeye...
..asidanganywe na....wakishapata wana....@cacio.. Young_Master anakunywa supu na bado ana machungu ya Italy kufungwa jana
jana nusu nimtafute babu Asprin kwa ukaguzi usiku mnene ule, Young_Master aligom akabisa kunipa haki yangu ya chakula cha usiku kisa balotelli yupo chali kha!
 
Last edited by a moderator:
Pj u ar so protective, kha! Unaitwa kule kwenye siasa ukamshauri KJ jinsi ya kutatua migogoro. Preta haji hapa ukiwepo, si unajua ww kakake mkubwa?
 
napita! Preta a a a a a a mbna huitiki waitwa huku!
 
Last edited by a moderator:
Preta, kwa Madaraka niliyo nayo juu na chini yako, nakuamuru jitokeze haraka utuepushe na janga linalotunyemelea.
Vinginevyo nakufuata kulekule nanihiino kwako, si unanijuaga!!.

uwiii.....nimekuja Koffi Anan....huko nilipokuwa nimekuja kuitwa na matarumbeta.....nini tatizo kwa bebi yangu....?
 
nnayo sugar wangu! haswa leo jioni ndio utakuwa usafiri wangu! tukutane wapi? au nije kwako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…