Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Not neccessarily,irregularity doesn't render a contract void ab initio.

The keyword here is "potentially". At any rate, the courts may have to make a decision based on the merits of the evidence vis-a-vis relevant laws. By the way, irregularity could mean anything depending on particular law statutes: and runs the whole gamut from fraud, misrepresentation etc
 
Okay!...so how does that play in "who should take over kiwira" Saga?
 
Okay!...so how does that play in "who should take over kiwira" Saga?

Couldn't care less: whole point was to point out inherent logical fallacies in dude's contributions: not least of which, his penchant for taking cheap shots on whoever he's debating with by way of absurd and constant accusations of religious bigotry whenever he feels he's overwhelmed by their arguments.
 
yeah man!........give dem "true substance of life".......otherwise "tak......." mussy unto him/her
 
Wewe na wenzako ndio wadini kazi yenu kuchonoa NSSF huku mkiiacha PPF mnajidai eti PPF aanze mwengine. Aanzishe mwengine my foot kazi kuzungumza siasa zisizo na maana yeyote wala faida ya msingi. Msijidai kutudanganya bure hapa hoja yenu ni udini tu kumuandama Dr Dau wakati ndugu zenu kule PPF na CRDB wanavurunda lakini mnayaona ya NSSF upuuzi mtupu humu kwenye hii thread....
Acheni ubaguzi wenu wa kidini!!!

Mdondoaji,
Kwa mwendo huo hutaweza kujifunza au kuelewa hata siku moja. Ungefuatilia majadiliano hapa utagundua kuwa watu wote wamejikita katika hoja za maana tena za kufikirisha. Nitakupa mfano: Kuna mmoja wetu kauliza, je wanachama wa NSSF wanajulishwa kuhusu uwekezaji kwa vile wao ndio wadau? Hili huoni kama ni kitu cha kukusaidia hata wewe binafsi kama mchangiaji wa NSSF.

Kuna bw. kauliza, je fedha za NSSF ni za nani? Tukaambiwa ni za private, ikaletwa article ya kuoyesha ni za umma. Je wewe ulijua hilo au ulikuwa confused kama aliyesema ni za watu binafsi. n.k

Hakuna mahali ametajwa Dau ila wewe ndiye unapandikiza hizo chuki. Ukiwa na mbegu za udini usitake watu waamini hivyo, hapa wapo watu wa dini tofauti lakini wenye uweledi yakinifu. Ninakuhakikishia kuwa kama ungekuwa unaijua structure ya NSSF from top to bottom ungeona aibu kwa haya unayosema.

JF inajadiliwa mada ya aina yoyote, kama unalo juu ya CRDB au PPF weka jamvini, nakuhahakikishia itajadiliwa na kupewa heshima yake kikamilifu. Lakini hatuwezi kuwa wapungufu wa fikra kwa kuzusha tu kuwa PPF wamewekeza kiwira ili tupate cha kujadili, wala hatuwezi kuisema CRDB kwa uzushi tu bila ya kuwa na mada. Hii haikuzui wewe au mwingine kuleta hoja, weka hoja jamvini.
Tumeshawahi kujadili ATC, TRC, STAMICO n.k sasa huko nako unasemaje.

Mwisho, kama huna cha kuchangia unaweza kusoma tu, wengi tu tunafungua majukwaa humu ndani na tukiona mambo ni mazito au hatuna ujuzi nayo tunakaa kimya. Hili la kutaka kutafuta kinga kwa mgongo wa dini tunalikemea vikali, ni ujinga unaoanza kuzoeleka na kutaka kuwatisha watu wasiseme. Dau anaweza kuwepo leo na kesho akaondoka, lakini NSSF ni yetu. Sijui kama umeshawahi kufikiri kuwa aliyemteu Dau ni Mkapa, na hakumteua kwa dini bali kwa uwezo wake, sasa udini unatoka wapi.
Tafadhali waache wenye hoja wasemezane jamvini.
 
................Mwisho, kama huna cha kuchangia unaweza kusoma tu, wengi tu tunafungua majukwaa humu ndani na tukiona mambo ni mazito au hatuna ujuzi nayo tunakaa kimya. Hili la kutaka kutafuta kinga kwa mgongo wa dini tunalikemea vikali, ni ujinga unaoanza kuzoeleka na kutaka kuwatisha watu wasiseme. Dau anaweza kuwepo leo na kesho akaondoka, lakini NSSF ni yetu. Sijui kama umeshawahi kufikiri kuwa aliyemteu Dau ni MKATOLIKI Mkapa, na hakumteua kwa dini bali kwa uwezo wake, sasa udini unatoka wapi.
Tafadhali waache wenye hoja wasemezane jamvini.

Samahani Mkuu Nguruvi3................kwa kuongezea hilo neno hapo juu
 
Don't waste your time arguing with this Mohammedan moron "Mdondoaji". He's always the first to blame others of "udini" as you can see in his many postings, but you don't need to be an expert in Psychoanalysis to figure out that waht he's really doing is project his own "udini' feelings, and specifically his deep-seated hatred of "Wakatoliki" on otherwise very innocent people.

The other thing is, dude always tends to move the goal posts everytime he realizes he's cornered in an argument. Nobody ever stated that irregularities = illegallity/unlawfulness. On the contrary, I've read that somebody above made the connection that irregularities = "ukiukwaji utaratibu": which legally per se, could potentially lead to annulment of any legally binding agreement as null and void.

Likewise,

Do not reply post zangu wewe na wadini wenzio ambao chuki yenu dhidi ya waislamu inawapelekea kuwapofua macho yenu dhidi ya matatizo yaliyopo ndani ya vichwani mwenu. Mnakosa due diligence na kuargue based on non-sensical facts. Mfano kuna mmoja anashauri kuwa NSSF wabadilishe mfumo wa kisheria. Amejisahau Act provision anayotaka itumike ndani ya NSSF vile vile inahitajika kutumika PPF na mifuko mengine. Kwanini hawajaitumia amejiuliza kuwa mazingira labda yamechangia kuwa na mpangilio unaoweza kufanya kazi Tanzania tu.

Mfano unachokishauri kuwa mifuko sheria za uwekezaji zibadilishwe umesahau kitu kimoja Tanzania hatuna miradi mingi ya kuweza kuchagua wapi pension funds ziwekeze. Vile vile kabla hatujaenda katika uwekezaji bado ufahamu wa watanzania kuhusu umuhimu wa kuchangia in social security ni mdogo sana. Ubadhirifu katika fedha za umma ikiwamo pension funds ni mkubwa kwa kiwango cha kutisha yet mnadai tubadilishe sheria ya uwekezaji hayo ni mawazo finyu kwa mtazamo wangu. Kwanza tuanze na vitu vinavyoweza kurekebishika haraka kama ufisadi wa wafanyakazi, elimu ya social security, na utawala bora kwasababu hata kama mtarekebisha uwekezaji kitakachoendelea ndio watu wataendelea kuiba vile vile. Mfano mzuri ni PPF unafikiri sheria ya uwekezaji ikibadilishwa itasaidia vp kuondoa ufisadi wa viongozi wake?

Sasa kama hamna hoja ya msingi kuiandama NSSF Dr Dau amewakosea nini kama sio wivu wenu wa kidini? Na mie nawapatieni misumari iwaume sana tu maana ndio ukweli. Mkipenda vema msipopenda vema tunakandamizana.
 
Mdondoaji,
Kwa mwendo huo hutaweza kujifunza au kuelewa hata siku moja. Ungefuatilia majadiliano hapa utagundua kuwa watu wote wamejikita katika hoja za maana tena za kufikirisha. Nitakupa mfano: Kuna mmoja wetu kauliza, je wanachama wa NSSF wanajulishwa kuhusu uwekezaji kwa vile wao ndio wadau? Hili huoni kama ni kitu cha kukusaidia hata wewe binafsi kama mchangiaji wa NSSF.

Kuna bw. kauliza, je fedha za NSSF ni za nani? Tukaambiwa ni za private, ikaletwa article ya kuoyesha ni za umma. Je wewe ulijua hilo au ulikuwa confused kama aliyesema ni za watu binafsi. n.k

Hakuna mahali ametajwa Dau ila wewe ndiye unapandikiza hizo chuki. Ukiwa na mbegu za udini usitake watu waamini hivyo, hapa wapo watu wa dini tofauti lakini wenye uweledi yakinifu. Ninakuhakikishia kuwa kama ungekuwa unaijua structure ya NSSF from top to bottom ungeona aibu kwa haya unayosema.

JF inajadiliwa mada ya aina yoyote, kama unalo juu ya CRDB au PPF weka jamvini, nakuhahakikishia itajadiliwa na kupewa heshima yake kikamilifu. Lakini hatuwezi kuwa wapungufu wa fikra kwa kuzusha tu kuwa PPF wamewekeza kiwira ili tupate cha kujadili, wala hatuwezi kuisema CRDB kwa uzushi tu bila ya kuwa na mada. Hii haikuzui wewe au mwingine kuleta hoja, weka hoja jamvini.
Tumeshawahi kujadili ATC, TRC, STAMICO n.k sasa huko nako unasemaje.

Mwisho, kama huna cha kuchangia unaweza kusoma tu, wengi tu tunafungua majukwaa humu ndani na tukiona mambo ni mazito au hatuna ujuzi nayo tunakaa kimya. Hili la kutaka kutafuta kinga kwa mgongo wa dini tunalikemea vikali, ni ujinga unaoanza kuzoeleka na kutaka kuwatisha watu wasiseme. Dau anaweza kuwepo leo na kesho akaondoka, lakini NSSF ni yetu. Sijui kama umeshawahi kufikiri kuwa aliyemteu Dau ni Mkapa, na hakumteua kwa dini bali kwa uwezo wake, sasa udini unatoka wapi.
Tafadhali waache wenye hoja wasemezane jamvini.

Mkuu,

Mie nafahamu vizuri sana jinsi pension funds zinavyoendeshwa in fact zaidi ya wewe unavyofikiri. Pesa za Pension funds ni public funds kwasababu zinatoka kwa individual households of the economy ndio maana Act za pension zinapitishwa na bunge. But kuna mambo mawili mnasahau mnapojadili kuhusu NSSF:-
a. Je NSSF wamekosea wapi:- Hili swali hamjalijibu tangia muanze mjadala badala yake ni speculations tu na tuhuma zisizo na msingi.
b. Pili evidences za tuhuma:- Kuna mtu hapa ameomba mpaka financial statements za NSSF kwani asitafute ofisini mwao au katika vyama vya wafanyakazi? Until now there is no evidence whatsoever about embezzlements. Badala yake again ni speculation.

Mkuu ilianzishwa thread hapa PPF hakuna mtu aliyepeleka speculations zake kule, badala yake watu walikuwa wanawaambia wafanyakazi (au sijui sio wafanyakazi) kuwa watoe vithibitisho. Dr Dau hajatajwa but who heads NSSF? why all the interest ziende kwa Dau wakati kimtazamo wangu this DG is just investing kupanua mfuko kwa kutake risks on investing? To me kinachoendelea PPF ni hatari zaidi kuliko NSSF maana pesa zetu zinaenda mifukoni mwa watu sio huyu anayewekeza.
 
Is Kikwete as good as CCM claims?

ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Email this article to a friend

Friend's Email Address Your Email Message Submit Cancel

Rating
(email the author)
Your Email Message Send Cancel

Posted Monday, March 28 2011 at 00:00

Well, let him prove it by taking up the challenge we in NEEWAT (or New Ex-EAC Workers' Alliance-Tanzania) put forth to him - that he agrees to an impartial probe to determine who is speaking the truth on the matter of the old EAC pensions.

We're all convinced that the Nyerere and Mwinyi administrations misappropriated our two pension fund bank accounts of over $25 million and £14 million ($22.6 million) with the Bank of Tanzania and Bank of England, respectively.

The Mkapa and Kikwete regimes have grossly distorted facts and resorted to deliberate manipulation in this matter.

JK's regime lacks the guts to deal squarely with this 34-year old nightmare.

Chief Mabula,
Coordinating Secretary,
NEEWAT, Dar es Salaam

Source: East Africa.

My take: Mhhhhhh
 
Wewe na wenzako ndio wadini kazi yenu kuchonoa NSSF huku mkiiacha PPF mnajidai eti PPF aanze mwengine. Aanzishe mwengine my foot kazi kuzungumza siasa zisizo na maana yeyote wala faida ya msingi.
Msijidai kutudanganya bure hapa hoja yenu ni udini tu kumuandama Dr Dau wakati ndugu zenu kule PPF na CRDB wanavurunda lakini mnayaona ya NSSF upuuzi mtupu humu
kwenye hii thread....

Na kwa kujibu hoja ya hiyo taarifa ya CAG inasema na nanukuu:-

  1. • There were irregularities associated with Sale of Executive Apartments at Ada Estate
    Kinondoni, including signing of disposal contract and costs linked to delayed payments by the buyer.
    • Management sold one of NSSF's landed asset namely ‘Club Oasis' without observing
    competitive disposal procedures/method. In the circumstances, there is no proof that the
    sale price was the most attractive.
    • There were cases of irregular signing of procurement contracts contrary to section 33 (h)
    of the Public Procurement Act, 2004; which gives the Chief Executive Officer exclusive
    mandates of signing procurement contracts on behalf of the procuring entity.
    • The process of procurement of services from a security company, contravened Section 65 of the PPA, 2004 and its Regulations since
Je nikuulize irregularities ndio maana ya uvunjaji wa sheria? Kama irregularities ilitokana na kwamba wanunuzi hawakuwa na karatasi husika je tusemeje? Na hiyo inahusiana vp na uwekezaji wa NSSF nionyeshe wapi wamevunja sheria za nchi katika uwekezaji? Jisafisheni nyie kwanza ndio muende NSSF. Acheni ubaguzi wenu wa kidini!!!

Asante kwa uelewa wako.Sina haja ya kubishana na wewe na endelea kumtetea basi.
Nasi wenye uchungu kwa ufisadi unaoendelea wa rasilimali tulizopewa na mwenzie Mungu pamoja na jasho zetu tutaendelea kupambana kupaza sauti zetu bila kujalia anayetenda hivyo anaingia Kanisani au Msikitini na siku ukielimika na elimu Dunia au Mawaidha yakakufunua Akili kufahamu kuwa unaibiwa unakaribishwa kwenye kundi.
 
a. Je NSSF wamekosea wapi:- Hili swali hamjalijibu tangia muanze mjadala badala yake ni speculations tu na tuhuma zisizo na msingi.
b. Pili evidences za tuhuma:- Kuna mtu hapa ameomba mpaka financial statements za NSSF kwani asitafute ofisini mwao au katika vyama vya wafanyakazi? Until now there is no evidence whatsoever about embezzlements. Badala yake again ni speculation.

Dr Dau hajatajwa but who heads NSSF? why all the interest ziende kwa Dau wakati kimtazamo wangu this DG is just investing kupanua mfuko kwa kutake risks on investing? To me kinachoendelea PPF ni hatari zaidi kuliko NSSF maana pesa zetu zinaenda mifukoni mwa watu sio huyu anayewekeza.

Hili ni suala la 'brain storming' na si la 1+1=?.
Kama ulisoma post ya Kobello, yeye anasema mafisadi wa wall street wamemtia hasara katika kitu kinaitwa 401K. Katika mjadala tumeona kuwa NSSF ni pesa za umma wewe na mimi tukiwemo.Anguko lake ni anguko letu kama lile la 401 ya Kobello.

NSSF imejiingiza katika mradi wenye utata, ambao mmiliki hajulikani, mara Tanpower, mara serikali mara STAMICO ilimradi tu kuna vurugu fulani za kifisadi. Unakumbuka PM Pinda alivyoliepusha jambo hili na Anne Makinda hataki kulisikia Bungeni, wewe unadhani ni nini. Hawa wanajua kuwa kuna uchafu mkubwa. Sasa NSSF inapokimbilia haraka kuwekeza pesa zetu, tena tukijua kuwa kuna utata, hapo inafikirisha.

Watu wanaonyesha wasi wasi kwanini NSSF imejiingiza kwenye sekta ya nishati hasa umeme, na ni huko huko mafisadi wameua Tanesco, kama shirika la umma litasalimika vipi na wezi hao. Ndio maana watu wanasema ingekuwa rahisi kusafisha kile kilichopo na NSSF wawekeze kwa Tanesco, tena si kiwira tu hata umeme wa dharura n.k kama wadau walivyochangia. Haya ni kwa uchache tu kukufafanulia kuwa hakuna jibu la 1+1=? katika masuala yanayohitaji analysis.

Ama kuhusu Dau, hapo ndio umekosea, eti kwasababu DG ni Dau na mada ni NSSF basi anashambuliwa! hii ni paranoia ya hali ya juu sana.Unachotaka kusema,kwa vile mkurugenzi wa ATC na Mwenyekiti wa bodi ni waislam basi ikisemwa ATC inaandwamwa. Huu ni ugonjwa hatari sana ndugu yangu, fikiri tunapoongelea Tanpower(Mkapa na Yona) wanashambuliwa wakristo! Tukiongelea Richmond ya Lowassa wanashambuliwa walutheri, tukiongelea PPF wanashambuliwa wakristo.
Mdondoaji, huu ni ugonjwa mbaya sana na unahitaji ushauri ndugu yangu.

Mimi ni ninapinga vikali sana mambo ya udini na nachukia sana hata kuandika tu kuhusu haya.
Inabidi ufikirie zaidi, NSSF ikiingia mkenge na miradi ikafa ni pesa yako. Dau hakujui wewe kama Mdongoaji bali mteja. Kobello kaonja joto 401 sasa huko nako yupo Dau!.
Madudu ya Dowans bili umeletewa wewe, madudu ya IPTL bili umeletewa na unalipa wewe, madudu ya Kiwira kodi yako imemlipa Yona na Mkapa. Ni wewe na mimi si dini zetu, watu wakichukua 10% familia zao zinaishi kwa raha kama ya Chenge, wewe mdondoaji unayetetea udini unamenyeka tu na bei kubwa ya umeme nyumbani , msikitini au kanisani.
Usitetee kitu kisichokusaidia katika maisha yako, sijui kama Dau anakujua wewe!! kama si pesa yako ya NSSF.

Hatuhitaji viongozi kwa majina au imani zao bali uwezo wao wa kuongoza. Mdondoaji maneno yako yanaidhalilisha jamii unayoiwakilisha na si amini kuwa jamii hiyo inafurahia au kukuunga mkono kwa hoja nyepesi kuwa NSSF ikisemwa ni DG ambaye anaitwa Ramadhani anaandamwa. Inferiority complex ni kitu kibaya sana, inaondoa confidence na kujenga paranoic society. Labda nikuulize kwa Ramadhani Dau kuwa muislam inasaidiaje?? na kama angekuwa mkristo ingeathiri vipi. Tusaidie kujibu haya, maana inaonekana DG kuwa dini fulani kuna mafao fulani, please tuambie.
Nimekushauri, angalia structure ya NSSF top to bottom halafu upime maneno yako kana uliyaandika kwa kufikiri au kusikia tu vijiweni.

Ukijikwaa angalia sababu iliyokuangusha!!. Wewe ni matunda ya chuki za mzee aliyeandika kitabu akashindwa kujibu hoja huku akitaka tuamini tu maandiko yake, kama unavyotaka tuamini kuwa DG anashambuliwa kwa imani na si NSSF.
 
You deserve two flypigs, man, well done!! :flypig: :flypig:
 
Jiulizeni kwa ninithreads za ufisadi PPF zilihamishwa na nyingine ilifungwa bila sababu yoyote baada ya watu kwenda DEEP

halafu mnataka kuzungumzia credibility ya NSSF!

maybe tungeanza na credibility ay JF na hao ambao Invisible huwa anawaachia funguo zote za Jahazi
 
Hili ni suala la 'brain storming' na si la 1+1=?.
.......................
Nimekushauri, angalia structure ya NSSF top to bottom halafu upime maneno yako kana uliyaandika kwa kufikiri au kusikia tu vijiweni.

Ukijikwaa angalia sababu iliyokuangusha!!. Wewe ni matunda ya chuki za mzee aliyeandika kitabu akashindwa kujibu hoja huku akitaka tuamini tu maandiko yake, kama unavyotaka tuamini kuwa DG anashambuliwa kwa imani na si NSSF.

Watu wanachekesha sana. watu kama hawa ndo wametulia wansubiri maybe

  • 2015 ndo waaanze kufanya na kutoa constructive critisicm kwa serikali kwa decision mbovu na mali za umma, hata kwa mambo ambayo wenyewe wanajua angekuwa mtu wa imani tofauti wangeyasema.

  • Boss wa NSFF akipelekwa BOT na hapo NSSF wakimleta "mpagani" wanaweza kuanza kuwaza na kuwazua na kuchambua mambo kwa urefu na mapana.
Inasikitisha kuwa we have many war to fight na mafisadi wanacheka.
 
Hili ni suala la 'brain storming' na si la 1+1=?.
Kama ulisoma post ya Kobello, yeye anasema mafisadi wa wall street wamemtia hasara katika kitu kinaitwa 401K. Katika mjadala tumeona kuwa NSSF ni pesa za umma wewe na mimi tukiwemo.Anguko lake ni anguko letu kama lile la 401 ya Kobello.

NSSF imejiingiza katika mradi wenye utata, ambao mmiliki hajulikani, mara Tanpower, mara serikali mara STAMICO ilimradi tu kuna vurugu fulani za kifisadi. Unakumbuka PM Pinda alivyoliepusha jambo hili na Anne Makinda hataki kulisikia Bungeni, wewe unadhani ni nini. Hawa wanajua kuwa kuna uchafu mkubwa. Sasa NSSF inapokimbilia haraka kuwekeza pesa zetu, tena tukijua kuwa kuna utata, hapo inafikirisha.

Watu wanaonyesha wasi wasi kwanini NSSF imejiingiza kwenye sekta ya nishati hasa umeme, na ni huko huko mafisadi wameua Tanesco, kama shirika la umma litasalimika vipi na wezi hao. Ndio maana watu wanasema ingekuwa rahisi kusafisha kile kilichopo na NSSF wawekeze kwa Tanesco, tena si kiwira tu hata umeme wa dharura n.k kama wadau walivyochangia. Haya ni kwa uchache tu kukufafanulia kuwa hakuna jibu la 1+1=? katika masuala yanayohitaji analysis.

Ama kuhusu Dau, hapo ndio umekosea, eti kwasababu DG ni Dau na mada ni NSSF basi anashambuliwa! hii ni paranoia ya hali ya juu sana.Unachotaka kusema,kwa vile mkurugenzi wa ATC na Mwenyekiti wa bodi ni waislam basi ikisemwa ATC inaandwamwa. Huu ni ugonjwa hatari sana ndugu yangu, fikiri tunapoongelea Tanpower(Mkapa na Yona) wanashambuliwa wakristo! Tukiongelea Richmond ya Lowassa wanashambuliwa walutheri, tukiongelea PPF wanashambuliwa wakristo.
Mdondoaji, huu ni ugonjwa mbaya sana na unahitaji ushauri ndugu yangu.

Mimi ni ninapinga vikali sana mambo ya udini na nachukia sana hata kuandika tu kuhusu haya.
Inabidi ufikirie zaidi, NSSF ikiingia mkenge na miradi ikafa ni pesa yako. Dau hakujui wewe kama Mdongoaji bali mteja. Kobello kaonja joto 401 sasa huko nako yupo Dau!.
Madudu ya Dowans bili umeletewa wewe, madudu ya IPTL bili umeletewa na unalipa wewe, madudu ya Kiwira kodi yako imemlipa Yona na Mkapa. Ni wewe na mimi si dini zetu, watu wakichukua 10% familia zao zinaishi kwa raha kama ya Chenge, wewe mdondoaji unayetetea udini unamenyeka tu na bei kubwa ya umeme nyumbani , msikitini au kanisani.
Usitetee kitu kisichokusaidia katika maisha yako, sijui kama Dau anakujua wewe!! kama si pesa yako ya NSSF.

Hatuhitaji viongozi kwa majina au imani zao bali uwezo wao wa kuongoza. Mdondoaji maneno yako yanaidhalilisha jamii unayoiwakilisha na si amini kuwa jamii hiyo inafurahia au kukuunga mkono kwa hoja nyepesi kuwa NSSF ikisemwa ni DG ambaye anaitwa Ramadhani anaandamwa. Inferiority complex ni kitu kibaya sana, inaondoa confidence na kujenga paranoic society. Labda nikuulize kwa Ramadhani Dau kuwa muislam inasaidiaje?? na kama angekuwa mkristo ingeathiri vipi. Tusaidie kujibu haya, maana inaonekana DG kuwa dini fulani kuna mafao fulani, please tuambie.
Nimekushauri, angalia structure ya NSSF top to bottom halafu upime maneno yako kana uliyaandika kwa kufikiri au kusikia tu vijiweni.

Ukijikwaa angalia sababu iliyokuangusha!!. Wewe ni matunda ya chuki za mzee aliyeandika kitabu akashindwa kujibu hoja huku akitaka tuamini tu maandiko yake, kama unavyotaka tuamini kuwa DG anashambuliwa kwa imani na si NSSF.

Unanikumbusha akina Kyoma, Kuhani, Dilunga, Mtanzania, Fundi Mchundo, Kimweri, Pundit, Bluray, Lunyungu........daah
 
break kutoka kwenye mada inatosha endeleeni na mada wasomaji tupo. This is too imporntant.
 
SOURCE: RAIA MWEMA- Thursay 31. by Paul Sarwatt, Arusha.

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanataka Bunge liingilie kati na lichunguze sababu za kupotea kwa mamilioni ya shilingi na hatimaye kufungwa kwa kiwanda cha matairi cha General Tyre East Africa Ltd cha Arusha, imefahamika.
Wabunge hao, Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini na Godbless Lema wa Arusha Mjini wanataka Bunge liunde Kamati Teule ya Bunge kufanikisha zoezi hilo.
Katika nyakati tofauti wameiambia Raia Mwema ya kuwa ni hatua ya Bunge tu inayoweza kupata ukweli wa nini kilichokisibu kiwanda hicho kilichokuwa maarufu kwa utengenezaji matairi imara katika eneo lote la Maziwa Makuu na Kusini mwa Afrika.
Zitto anasema ataitumia Kamati anayoingoza ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) na Lema anasema amepeleka hoja binafasi kwa Spika ili uchunguzi uanze.
Zitto kupitia POAC amezuia Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kupiga mnada kiwanda hicho pekee kilichowahi kujipatia sifa Afrika kwa kuzalisha matairi bora na kilichokuwa kikiajiri mamia ya wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani. Kabla ya POAC kuingilia kati, NSSF ilipanga kuuza kiwanda hicho kufidia deni la dola za Marekani milioni 10 (15bn/-) huku kukiwa na taarifa kwamba tayari Halmashauri ya Manispaa ya Arusha ilikwishakupanga kugawa viwanja na sehemu ya eneo la kiwanda hicho kujengwa majengo ya kibiashara (shopping malls).

Katika mahojiano na Raia Mwema wiki hii, Zitto alisema waliwaambia NSSF kwamba wakiamua kuuza kiwanda hicho, nchi haitakuwa na kiwanda cha matairi na hivyo kuendelea kuagiza kutoka nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na nchi jirani, na pia wananchi kupoteza ajira.
“Tuliwambia NSSF ni shirika la umma na katika General Tyre Serikali ina hisa asilimia 76, tukawapiga ‘stop’. Hakuna kuuza na wala wasithubutu! Kamati yangu itaunda kamati ndogo kuchunguza mkopo uliotolewa ulifanya shughuli gani na kuona hatua za kuchukua,” anasema Zitto akizungumzia mpango ambao pia umo katika hoja ya Lema. “Pia tunataka kiwanda kifufuke. Tunaweza kuelekeza deni la NSSF ligeuzwe kuwa ‘equity’ (mtaji), apatikane mwekezaji na kiwanda kifufuliwe upya. Wakianza kupata faida NSSF watauza hisa zao na kutoka kwenye kampuni kama hawana ‘interest’. Ila kuuza mali ili kupata fedha zao tumewapiga marufuku,”aliongeza Zitto.

Habari zaidi zinaeleza kwamba POAC jana Jumanne ilikuwa imepanga kupokea taarifa kutoka serikalini kuhusu General Tyre, huku kukiwa na taarifa kwamba msimamo wa serikali ni kutaka kuuzwa kwa kiwanda hicho.
Zitto mwenyewe amethibitisha kuwapo kwa kikao hicho na kusema: “Ndiyo, tunakutana nao na wameleta taarifa kuhusu General Tyre na leo ndiyo tunaamua kuhusu kuunda kamati ndogo ya POAC. Msimamo wa Serikali pia ni kuifilisi kampuni hiyo na hivyo kuuza mali zake na kufunga kiwanda. Tutatengua msimamo huu leo na kuunda kamati ndogo ya kamati ya Bunge kuchunguza matumizi ya mkopo wa NSSF pale na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukua.”
Uamuzi huo wa kamati ya Zitto ulikuja kufuatia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Ramadhani Dau kuwa shirika lake limedai fedha hizo kwa muda mrefu lakini hakukuwa na juhudi zilizofanyika za kuhakikisha kuwa deni hilo linalipwa.
Mkopo huo wa fedha ulitolewa kwa kiwanda hicho baada ya uzalishaji kudorora kati ya mwaka 1997-2005 na ulidhaminiwa na serikali ambayo ilikuwa na hisa nyingi katika kiwanda hicho. Serikali ilikuwa na asilimia 76 za hisa na kampuni ya Continental yenye makao makuu yake Hannover, Ujerumani ilikuwa asilimia 24 ya hisa na pamoja na wingi wa hisa zake hizo, Serikali haikuwa na madaraka yoyote katika timu ya menejimenti ya Genefral Tyre.

Mkopo huo wa fedha uliidhinishwa na aliyekuwa Waziri wa Fedha wakati huo, Zakia Meghji, baada ya mawasiliano ya kiserikali baina yake na aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, na Waziri wa Viwanda na Biashara, Basil Mramba.
Mawaziri hao wa zamani wanadaiwa kwa wakati huo walipuuza ushauri wa wataalamu wazalendo waliotaka kwanza pafanyike ukaguzi wa mahesabu kabla ya kuidhinisha mkopo.
Raia Mwema imefanikiwa kuona sehemu ya mawasiliano ya kiserikali kati ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara za Fedha na Viwanda na Biashara, yote yakihimiza kutolewa kwa mkopo huo.
Katika sehemu ya mawasiliano hayo ofisa katika Ofisi ya Waziri Mkuu anaandika kwenda Hazina kwenye barua yenye kumbukumbu namba PM/P/1/567/40 yenye kichwa cha habari “General Tyre East Africa Ltd,” kuwa ilikwishakuamuliwa kwamba kiwanda kipewe ‘government guarantee’ ili kulinda kiwanda na ajira za Watanzania na kama Waziri wa Fedha alikuwa na maoni tofauti basi ayapeleke mbele ya vikao, au vinginevyo atekeleze agizo hilo kabla ya tarehe 15/7/2007.
Habari zinadai kuwa fedha hizo zilitolewa kutokana na kinachodaiwa kuwa “shinikizo” kubwa kutoka kwa viongozi hao ambao kwa wakati huo walikuwa wenye nguvu kimamlaka katika serikali ya awamu ya nne.
Hata hivyo, katika mazingira yasiyoeleweka fedha hizo zinadaiwa kuyeyuka baada ya manejimenti iliyokuwa chini ya uongozi wa Devendra Lohani, raia wa Nepal kuzitumia vibaya na ndani ya miezi sita tu tangu kutolewa kwa mkopo huo kiwanda kilikwishakuwa taabani kikishindwa kujiendesha na kuzalisha matairi.
Kwa upande wake hoja ya Lema imejikita zaidi juu ya madai hayo ya ufisadi, na anamtaka Spika wa Bunge Anne Makinda kuunda kamati teule kuchunguza ufisadi huo ili kuweka hadharani yaliyojiri nyuma ya pazia katika sakata hilo.
Lema katika barua yake anataka Bunge liazimie kuunda kamati teule kwa ajili ya kuchunguza mchakato wa uendeshaji, ubinafsishaji na ufilisi wa kiwanda hicho chini ya kanuni ya 54 ya kanuni za Bunge toleo la mwaka 2007.
Raia Mwema imefanikiwa kuona sehemu ya nyaraka za Lema akibainisha sababu za msingi za kuundwa kwa kamati teule kuwa ni pamoja na kupata taarifa kamili kuhusu mchakato mzima wa usimamizi na uendeshaji wa kiwanda hicho.
Anataka pia ufanywe uchunguzi wa mali za kiwanda hicho ambazo mpaka sasa mustakabali wake haufahamiki na hauko wazi, kuchuguza kampuni iliyotoa ushauri wa kitaalamu na utaratibu uliofuatwa katika kuileta na hatua ya ushauri ya kampuni husika.
Mbunge huyo pia anataka kamati teule itakayoundwa ichunguze ili kujua kampuni ya Continental ya Ujerumani ambayo ilikuwa mwanahisa mshirika wa Serikali iliwekeza mtaji wa kiasi gani tangu mwaka 1988 na pia ihakiki kama matumizi husika yalizingatia makubaliano.
Lema pia anataka Kamati ya Bunge ichunguze ni jinsi gani kiasi cha dola za Marekani milioni 10 (shilingi Bilioni 15), fedha za mkopo, zilizotolewa na NSSF zilitumika kwa ajili ya kulipa madeni ya Benki ya Citi Bank na uendeshaji wa kiwanda na wachunguze pia kampuni au wataalamu waliohusika kupata mkopo wa NSSF.
“Taarifa zinadai kuwa fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni 10 (wakati huo) zilitumika kulipa madeni ya benki ya Citi, ambayo hayafahamiki, badala ya kufufua kiwanda kama ilivyokuwa imeazimiwa awali….mpaka leo kiwanda hakifanyi kazi, kuna wafanyakazi wengi hawajaweza kulipwa mafao yao na kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wafanyakazi hao,” inaeleza sehemu ya maelezo ya Lema.
Anaongeza Lema katika maelezo yake: “Nyaraka zinaonyehsa kuwa katika mkopo huo pia kiasi cha shilingi bilioni moja zilitumika kuilipa kampuni ya ukaguzi ya DAI Consulting ya Afrika ya Kusini. Kampuni hiyo ililipwa na NSSF kama malipo ya gharama za ushauri kwa General Tyre, malipo hayo ni fedha nyingi sana zikilinganishwa na kazi iliyofanyika.”
Katika maoni yake, Lema anasema ya kuwa taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa kampuni ya matairi ya General Tyre haikuwa na njia nyingine kupinga malipo hayo kwa kuwa ilikuwa sehemu ya mkataba wa kupewa fedha hizo na NSSF na katika mazingira ya kushangaza DAI Consulting ilipewa kazi na NSSF wenyewe.
Anaongeza Mbunge huyo: “Katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2007 kiwanda hicho kilikuwa kinadaiwa kiasi cha shilingi 13,817,191,814 mpaka Agusti 2005; hivyo ufafanuzi wa kina unahitajika kufahamu fedha zilizotolewa na Serikali kupitia NSSF zimekwenda wapi? Na kama zilitumika zilitumikaje?”
Habari za kufa kwa General Tyre ni za muda mrefu; katika moja ya habari hizo Raia Mwema ilipata kuandika katika toleo lake la Agosti 5, mwaka 2009 (toleo namba 93) juu ya ufisadi uliofanywa na menejimenti ya kiwanda hicho na hasa meneja wake Devendra Lohani aliyekuwa anatuhumiwa kufuja fedha za mkopo wa NSSF badala ya kufufua kiwanda ili uzalishaji uanze.
Baada ya kiwanda kupata fedha hizo menejimenti ililipa madeni katika benki kadhaa na kiasi cha shilingi bilioni 3.5 zilitumika bila idhini ya Bodi, nyingi zikiwa ni matumizi binafsi ya meneja huyo.
Baadhi ya matumizi hayo ni pamoja na kuwaleta ndugu zake kutoka Nepal na mmoja wa wana wa mfalme wa nchi hiyo nchini kutembelea mbuga za wanyama za Serengeti, Ngorongoro na Manyara kwa gharama za kiwanda hicho.
Mbunge Lema anahitimisha kuwa kuna manung’uniko mengi juu ya ufisadi mkubwa uliokuwa ukifanyika katika kiwanda hicho cha matairi, hivyo Serikali inapaswa kufuatilia kwa makini ili kuupata ukweli kwani watu wengi waliofanya kazi katika kiwanda hicho bado wako hai na wanaweza kuisadia kutoa taarifa kuhusu uhalifu huo.
Lema anaeleza kuwa kiwanda hicho kilikuwa ni moja ya nguzo muhimu za uchumi wa mji wa Arusha na Serikali kwa ujumla, na kwamba pamoja na kuzalisha matairi kiwanda hicho kilikuwa chanzo cha ajira kwa wananchi zaidi ya 500 lakini pia mzunguko huo wa ajira haukuishia kiwandani tu bali hata katika mashamba ya zao la mpira katika Mikoa ya Tanga na Morogoro.
Anasema kufungwa kwa kiwanda hicho kumekuwa ni chanzo cha matatizo mengi kwa wananchi wa kawaida wengi kuendelea kuwa masikini kutokana na ukosefu wa ajira na pia ajali nyingi za barabarani kutokana na viwango hafifu vya matiri ya kutoka nje ya nchi. Lema alipoulizwa mwishoni mwa wiki na Raia Mwema kwa njia simu alithibitisha kuwa ni kweli ameandaa nyaraka hizo na tayari alikuwa ameziwasilisha katika Ofisi ya Spika ili hoja hiyo ijadiliwe katika kikao cha Bunge cha mwezi ujao.
“Ni kweli nimewasilisha hoja binafsi ya kumwomba Spika akubali kuundwa kwa kamati teule kuchunguza mchakato mzima wa uendeshaji, ubinafsishaji na ufisili wa kiwanda hicho…..nikikana jambo hilo nitakuwa mnafiki, na kawaida yangu siogopi kusema ukweli,” alisema Mbunge huyo.

Aliongeza: “Ni matumaini yangu Spika atalichukulia jambo hilo kwa umakini mkubwa kutokana na suala hilo kugusa maslahi ya Watanzania wote na ni matumaini yangu pia kuwa kamati itakayoundwa itafichua mambo mengi ambayo kwa sasa yanahitaji majibu kwa wananchi”. Kufungwa kwa kiwanda cha General Tyre East Africa Ltd ni hitimisho la kuwapo kwa viwanda vya umma vilivyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere kati ya miaka ya 1970 na 1980 na vingi vilibinafsishwa wakati wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tatu kwa bei ya kutupa kwa wawekezaji mbalimbali. Vingine vimetelekezwa, vikibakia kuwa magofu.

Viwanda vilivyoufanya Mkoa wa Arusha kuwa moja ya mikoa iliyokuwa inaoongoza nchini kwa kuwa na uchumi mzuri ni pamoja na Kiwanda cha Bia ambacho kilinunuliwa na wawekezaji kutoka Afrika ya Kusini, Kiwanda cha madawa cha TPA, kiwanda cha kusindika nafaka cha NMC, kiwanda cha nguo cha Kiltex, kiwanda cha sabuni cha EMCO na kiwanda cha mbao cha Fibreboard. Ukiondoa Kiwanda cha Bia, vingine vyote vimeshindwa kufanya kazi kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na wawekezaji waliopewa kutokuwa na uwezo na mitaji ya kutosha, huku vingine kama kiwanda cha nguo cha Kiltex kikiwa kimetelekezwa kabisa.

My take: Majadiliano ya suala hili yalichochewa na kamati ya Zitto kumtuhumu MMKJ kupotosha umma. Wengine wakaunga mkono kwa hoja kuwa mifuko ya umma iwekeze katika sekata mbali mabali. Wengine wakaonyesha wasi wasi kuwa mifuko kama NSSF ina pesa za umma, na uwekezaji usio na umakini unaweza kuumiza wananchi. Wapo wenzetu waliopeleka mjadala katika suala la udini hata pale ilipodhihiri kuwa hakuna agenda ya namna hiyo.

Wiki iliyopita tumeona mamilioni yakipotea kiujanja tena kule kichochoroni Geita. Sasa tunashuhudia mapesa yalivyozama general tyre. Hizi ni pesa zetu si za mtu wala taasisi ya kidini au NGO. Haya ni machache tu, hatujui chini ya kapeti kuna nini.

Nina shangaa ni Zitto huyu huyu alimshambulia MMKJ na leo anashuhudia madudu ya NSFF kwa macho yake. Sijui anatushauri vipi kuhusu uwekezaji wa Kiwira, na je kutakuwa na tofauti gani na huko nyuma. Sijui yupo tayari kuomba radhi kwa yaliyosemwa na kamati yake kupitia mbunge Filikunjombe!!
 
Back
Top Bottom