Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Mkuu,

Hembu niambie nikosoe hoja ipi hapo zaidi ya siasa tu zinazoletwa na Mwanakijiji? NSSF kosa lake liko wapi?
a. Je wamekiuka taratibu za uendeshaji?
b. Kuna ufisadi umefanyika?
c. If the problem is governance nafikiria hilo ni tatizo la nchi nzima na linatokana na mfumo wetu wa utawala wa mashirika ya umma na mifuko ya fedha. Ukisema NSSF imetawaliwa kisiasa huwezi kuwaacha PPF, PSPF, LAPF na GSPF.
d. Ukisema overinvestment wamefanya with respect to what (assets or liabilities)?

There is nothing in this thread that makes sense wakuu tatizo liko wapi hasa NSSF tukiweka katika jina moja, uongozi, utendaji au usimamizi? Mnabakia kuzungumza siasa tu ndio maana nakubaliana na zitto siasa zimezidi tanzania!!!

Tatizo ninaloona ni wewe kuwa na uelewa mdogo au kuwa Mdini!.Hakuna hoja hata moja katika michango yako hujagusia au kudondoa na kuingiza sentesi au neno lisilo husiana na harufu ya UDINI.Ningelikuwa MDS ningekwisha ku- Ban siku nyingi.
Turudi kwenye hoja.
Jaribu kusoma kwenye nyekundu na linganisha na taarifa hii hapa chini alafu tupe jibu.

Nssf Annual report 2007-2008:
  1. • There were irregularities associated with Sale of Executive Apartments at Ada Estate
    Kinondoni, including signing of disposal contract and costs linked to delayed payments by the buyer.

    • Management sold one of NSSF's landed asset namely ‘Club Oasis' without observing
    competitive disposal procedures/method. In the circumstances, there is no proof that the
    sale price was the most attractive.
    • There were cases of irregular signing of procurement contracts contrary to section 33 (h)
    of the Public Procurement Act, 2004; which gives the Chief Executive Officer exclusive
    mandates of signing procurement contracts on behalf of the procuring entity.
    • The process of procurement of services from a security company, contravened Section 65 of the PPA, 2004 and its Regulations since

Ludovick S. L. Utouh
CONTROLLER AND AUDITOR GENERAL
National Audit Office,
Dar es Salaam, Tanzania,
……… July, 2009
AUDIT REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS
 
Okay....Can you guys tell us who is better suited to take over kiwira?And why?
 
"Ooh Poor NSSF!! - What is this?"

What is so poor about that?

What do you mean about "What is this?"

If you do not know what NSSF doing, it's called, diversified investment.

Its very normal for Social Security Funds, not only in Tanzania, to invest in energy related projects.

Is there anything wrong with that?

Issue hapa ni dhuluma kwa wanachama. Usifikiri hatujui. invstment is good but with MoU ya investors.:juggle:
 
I understand,
The reason I brought up other countries is to show you that SSFs learn from each other.What is needed is shareholders participation,currently CHADEMA legislators represents majority of shareholders and they really need to push the POAC,which is steered by one of their MPs to make sure the overhaul attracts more private and informal sector just to reflect the current market system.
All over the world,SSFs are going through a lot of changes,,Europe.US...it's the same thing.But at the same time,they fought so hard not to totally privatise them.I automatically pay SS and I still have to pay for my 401K,which was a good deal till wallstreet messed it up!!
All in all,SSFs are very susceptible to the market,either privately owned or public owned.Tell them Mwanakijiji,over here the wallstreet is as political as the Chinese communist party.

Very true indeed; si umeona kuwa pamoja na ubishi wa muda mrefu wa kufanyia marekebisho the financial markets hatimaye baada ya madudu ya kina Madoff na Enron na wenzao hakukuwa na ujanja tena isipokuwa kufanyia mabadiliko tena si kidogo - kuanzia ya sheria hadi ya miundo.

Nilivyokusoma umekubaliana nami kuwa ipo haja ya kufanya mabadiliko ya msingi ili kuweza kulinda mifuko yetu hii ya Hifadhi ya Jamii. Haya ni maendeleo mazuri.
 
Nmieiona katika pita pita, hii ni kupeana habari haina uhusiano na mada inayoendelea.

Wajanja wachota mamilioni NSSF
Send to a friend Sunday, 27 March 2011 05:43
Frederick Katulanda, Geita
WAKATI shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kilifikiria kuwekeza zaidi fedha za wanachama wake katika uzalishaji wa Umeme, imebainika kuwa wajanja wamefanikiwa kupeleka vielelezo vya uongo na kuchota mamilioni kwa kulipwa mafao yao wakati wakiendelea na kazi.

Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi Jumapili kwa muda mrefu sasa umebaini kuwa tangu mwaka 2008 hadi Februari 2011 jumla ya wafanyakazi 40 wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) ambao majina yao tunayo walilipwa mafao yao kwa kupeleka vielelezo vya kughushi kuwa hawako kazini, huku wakiwa bado wanaendelea na kazi mgodini humo.

NSSF ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 8 ya mwaka 1997, sheria hiyo pamoja na mambo mengine imelenga kulinda maslahi ya mfanyakazi muda wote awapo kazini, baada ya kustaafu, baada ya kifo chake na hata maslahi ya watu wake wanaobaki pindi anapofariki dunia.

Hata hivyo, Sheria hiyo inaruhusu mfanyakazi kulipwa mafao yake pindi anaposimamishwa kazi ama kuacha kazi kulingana na muda ambao amechangia wakati akiwa kazini, jambo ambalo limetoa mwanya kwa wafanyakazi hao kughushi barua hizo na kulipwa mafao.

Akizungumza na gazeti hili Meneja wa NSSF Mkoa wa Geita Nyabuyonza Kilondera alikiri kuwepo kwa hujuma hiyo, lakini alisema kuwa hawezi kulizungumzia suala hilo kwa undani akidai kwamba anahitaji muda kupitia nyaraka mbalimbali za ofisi yake kujua ukweli wa tukio hilo.

"Mimi ndio nimefika kuchukua nafasi ya meneja hapa, nina siku tatu, pengine nipate muda wa kutosha kupitia nyaraka nilizokabidhiwa na ofisi hapo ndipo nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulizungumzia hilo," alisema.

Hata hivyo uchunguzi zaidi umebaini kuwa baadhi ya wafanyakazi wa mgodi huo kwa kushirikiana na maofisa wa ofisi ya raslimali watu (HR) na baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wamekuwa wakichota mafao yao kwa makubaliano ya kuwaachia sehemu ya fedha za mafao maofisa wa NSSF.

Habari hizo zinaonyesha kuwa watendaji hao wa NSSF huachiwa kati ya Sh 1 milioni hadi Sh 2.5 milioni na wateja hao wanaojichotea na fedha hizo huongezeka kutegemea kiasi cha mafao yanayochotwa.

Taarifa zinaonyesha kuwa wafanyakazi wa mgodi huo wamekuwa wakighushi barua za kusimamishwa kazi au kuacha kazi pamoja na barua za uthibitisho wa kuwa watumishi wa mgodi huo ambayo kwa utaratibu hutolewa na mgodi kumthibitisha mhusika kwamba alikuwa mtumishi wake na kuziwasilisha katika ofisi za NSSF Geita ambapo na huandaliwa mafao yao.

Habari zaidi zinaeleza kuwa katika mpango huo wafanyakazi hao wa GGM walikuwa wakighushi barua za mwajiri zikiwa na sahihi halali za meneja mwajiri, meneja mwajiri Utawala pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa mgodi huo na kuziwakilisha NSSF zikiwa na fomu ya madai ya mafao ya NSSF ambayo hujazwa na mwajiri kitengo cha raslimali watu na huwachukua siku 14 kuweza kujichotea mafao hayo kwa ujanja.

"GGM ni mteja mkubwa kwetu NSSF, tunao wanachama wengi toka mgodini lakini pia kwa mazingira ya kazi yao iwapo mtumishi huyo wa mgodi akiacha kazi na kuwa na vielelezo, basi humchukua wiki mbili ama tatu mpaka kukamilisha taratibu na kulipwa," alieleza mmoja wa mtumishi wa NSSF ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini.

Taarifa zaidi toka GGM ambazo pia zimethibitishwa na afisa uhusiano wa mgodi huo Ahmed Merere zimedai kuwepo kwa hujuma hiyo ambayo kwa sasa imeanza kuchunguzwa na uongozi wa mgodi huo huku wafanyakazi watatu wakisimamishwa kazi kwa ajili ya uchunguzi huo.

"Inasemekana hivyo lakini uongozi wa mgodi umeamua kulifanyia kazi kuanzisha uchunguzi wake ili kubaini ukweli wake, kwa sasa wamewasiliana na uongozi wa NSSF kuomba kupatiwa orodha ya wafanyakazi wote mgodi ambao wamekwishalipwa mafao yao katika kipindi cha miaka miwili iliyopita ili kulinganisha na rekodi zake kubaini waliohusika na hujuma hiyo," alieleza Merere bila ya kufafanua kwa kina.

Hata hivyo wakati mgodi huo ukidai kuanza uchunguzi, imedaiwa kuwa wafanyakazi ambao mpaka ndiyo wanaoongoza kunufaika na hujuma hivyo kinyume na sheria ni wale wenye ngazi ya kati ya mshahara ambao wengine ni wafanyakazi wa kawaida na wengine ni wasimamizi wa vitengo mbalimbali vya mgodi huo.

"Katika mpango huu kuna baadhi ya wafanyakazi ambao waliwasilisha termination letter wengine Resignation letter pamoja na Certificate of service, vyote hivi vilikuwa na sahihi za uongozi wa juu wa mgodi na kulipwa mafao yao." Kilieleza chanzo chetu kimoja toka NSSF
 
Nguruvi;; yamekuwa haya tena... kama hili limeweza kutokea Geita na sehemu nyingine itakuwaje?
 
NSSF hawako up to the task ya kufua umeme. Kama kazi yao ambayo ni kuona michango ya wanachama wao haigushwi na vimburu watawezaje kufua umeme kwa nchi hii? Licha ya mascandal ambayo hayaishi. Hii nchi tutakuwa na afadhali kidogo JK na RA watakapoondoka na kushitakiwa.
 
Nope!.....that was a question though!

Labda niunganishe swali jingine; bila ya kununua au kuwasha mitambo ya Dowans wakati huu unafikiri kuna njia nyingine yoyote ya kutatuta tatizo la nishati kwa wakati huu?
 
Wakati tukitakafakari maswali ya Kobello na MM nichomeke kidogo yafuatayo kuhusiana na mada.

Wakati wa mdororo wa uchumi, kuna makampuni yaliyokuwa katika makaundi tofauti. AIG na GM zote zilikuwa ni private coop. Serikali ya Marekani haikuwa na share isipokuwa wadau.

Ilipoonekana kuwa AIG inakufa Republican kwa ujeuri tu na kwa kujua kuwa itakuwa taabu kwa Obama, walisema acha ife kwani makampuni mengine yatajitokeza. 'Survival for the fittest'.
AIG ni kampuni kubwa na anguko lake lingeathiri sana huduma kama za Bima duniani na hali ingekuwa mbaya zaidi. Ikaamuliwa wapewe 'bail out' iliyoungwa mkono na wabunge na maseneta wa Republican.

GM anguko lake lisingeathiri sana hali ya kiuchumi duniani, lakini ile inachukuliwa kama 'label -made in America' na pia inaajiri watu wengi sana, kwahiyo anguko lake lingekuwa na athari za kiuchumi, kisiasa na kijamii. Serikali ikawa 'bail out'.

Ilichofanya serikali ni kuhahikikisha kuwa, kwanza, (GM)kampuni ifanye 'down size' iwe na wafanyakazi wanaolingana na mahitaji. Pili, kampuni izuie bonus na marupu rupu yasiolingana na hali halisi. Tatu, Matumizi kama ya 'private jet' kwa CEO's yafutwe na wakienda mikutanoni watumie 1st au Buisness class. Nne, Uongozi wote wa GM ukapigwa chini wakawekwa watu wenye mtazamo mpya. Tano, ukawekwa utaratibu 'monitoring' kubaini matatizo mapema.Sita, wakaambiwa wakusanye madeni yote.

Mwisho serikali ikatumbukiza Billion of dollars.Miaka miwili sasa GM inatoa faida, wamerudisha pesa za 'bail' na sasa wanaanza kukua, kwa kutumia 'infrastructure' zile zile za GM zilizokuwepo.

Ingawa GM na AIG ni private Org. kuna watch dog wa serikali bila kuingilia utendaji. Ninatamani sana kama Tanesco ingepewa fursa kama ya GM, na NSSF wakawekeza madolari kama serikali ya US, halafu kukawa na watch dog wa kuangalia wote wawili. Ikumbukwe huwezi kuwa watch dog ukiwa mmiliki pia.
Ni mtazamo tu katika mada.
 
Nope!...lakini maji si yamerudi?...kama hayjarudi,wawashe tuu!!
 
Tatizo ninaloona ni wewe kuwa na uelewa mdogo au kuwa Mdini!.Hakuna hoja hata moja katika michango yako hujagusia au kudondoa na kuingiza sentesi au neno lisilo husiana na harufu ya UDINI.Ningelikuwa MDS ningekwisha ku- Ban siku nyingi.
Turudi kwenye hoja.
Jaribu kusoma kwenye nyekundu na linganisha na taarifa hii hapa chini alafu tupe jibu.

Nssf Annual report 2007-2008:

  1. • There were irregularities associated with Sale of Executive Apartments at Ada Estate
    Kinondoni, including signing of disposal contract and costs linked to delayed payments by the buyer.

    • Management sold one of NSSF's landed asset namely ‘Club Oasis' without observing
    competitive disposal procedures/method. In the circumstances, there is no proof that the
    sale price was the most attractive.
    • There were cases of irregular signing of procurement contracts contrary to section 33 (h)
    of the Public Procurement Act, 2004; which gives the Chief Executive Officer exclusive
    mandates of signing procurement contracts on behalf of the procuring entity.
    • The process of procurement of services from a security company, contravened Section 65 of the PPA, 2004 and its Regulations since

Ludovick S. L. Utouh
CONTROLLER AND AUDITOR GENERAL
National Audit Office,
Dar es Salaam, Tanzania,
……… July, 2009
AUDIT REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS

Wewe na wenzako ndio wadini kazi yenu kuchonoa NSSF huku mkiiacha PPF mnajidai eti PPF aanze mwengine. Aanzishe mwengine my foot kazi kuzungumza siasa zisizo na maana yeyote wala faida ya msingi. Msijidai kutudanganya bure hapa hoja yenu ni udini tu kumuandama Dr Dau wakati ndugu zenu kule PPF na CRDB wanavurunda lakini mnayaona ya NSSF upuuzi mtupu humu kwenye hii thread....

Na kwa kujibu hoja ya hiyo taarifa ya CAG inasema na nanukuu:-

  1. • There were irregularities associated with Sale of Executive Apartments at Ada Estate
    Kinondoni, including signing of disposal contract and costs linked to delayed payments by the buyer.

    • Management sold one of NSSF's landed asset namely ‘Club Oasis' without observing
    competitive disposal procedures/method. In the circumstances, there is no proof that the
    sale price was the most attractive.
    • There were cases of irregular signing of procurement contracts contrary to section 33 (h)
    of the Public Procurement Act, 2004; which gives the Chief Executive Officer exclusive
    mandates of signing procurement contracts on behalf of the procuring entity.
    • The process of procurement of services from a security company, contravened Section 65 of the PPA, 2004 and its Regulations since

Je nikuulize irregularities ndio maana ya uvunjaji wa sheria? Kama irregularities ilitokana na kwamba wanunuzi hawakuwa na karatasi husika je tusemeje? Na hiyo inahusiana vp na uwekezaji wa NSSF nionyeshe wapi wamevunja sheria za nchi katika uwekezaji? Jisafisheni nyie kwanza ndio muende NSSF. Acheni ubaguzi wenu wa kidini!!!
 
Don't waste your time arguing with this Mohammedan moron "Mdondoaji". He's always the first to blame others of "udini" as you can see in his many postings, but you don't need to be an expert in Psychoanalysis to figure out that waht he's really doing is project his own "udini' feelings, and specifically his deep-seated hatred of "Wakatoliki" on otherwise very innocent people.

The other thing is, dude always tends to move the goal posts everytime he realizes he's cornered in an argument. Nobody ever stated that irregularities = illegallity/unlawfulness. On the contrary, I've read that somebody above made the connection that irregularities = "ukiukwaji utaratibu": which legally per se, could potentially lead to annulment of any legally binding agreement as null and void.
 
On the contrary, I've read that somebody above made the connection that irregularities = "ukiukwaji utaratibu": which legally per se, could potentially lead to annulment of any legally binding agreement as null and void.
Not neccessarily,irregularity doesn't render a contract void ab initio.
 
TANPOWER/STAMICO....70/30.It looks like you guys dont have a solution.

mzee.. hata tukiwa na solution it doesn't matter.. hili siyo suala la kutegeana kuona nani ana "suluhisho". Maana ya brain storming ni kuweza kutoa mawazo mbalimbali kuweza kupata suluhisho bora zaidi.
 
Wewe na wenzako ndio wadini kazi yenu kuchonoa NSSF huku mkiiacha PPF mnajidai eti PPF aanze mwengine. Aanzishe mwengine my foot kazi kuzungumza siasa zisizo na maana yeyote wala faida ya msingi. Msijidai kutudanganya bure hapa hoja yenu ni udini tu kumuandama Dr Dau wakati ndugu zenu kule PPF na CRDB wanavurunda lakini mnayaona ya NSSF upuuzi mtupu humu kwenye hii thread....

Na kwa kujibu hoja ya hiyo taarifa ya CAG inasema na nanukuu:-

  1. • There were irregularities associated with Sale of Executive Apartments at Ada Estate
    Kinondoni, including signing of disposal contract and costs linked to delayed payments by the buyer.

    • Management sold one of NSSF's landed asset namely ‘Club Oasis' without observing
    competitive disposal procedures/method. In the circumstances, there is no proof that the
    sale price was the most attractive.
    • There were cases of irregular signing of procurement contracts contrary to section 33 (h)
    of the Public Procurement Act, 2004; which gives the Chief Executive Officer exclusive
    mandates of signing procurement contracts on behalf of the procuring entity.
    • The process of procurement of services from a security company, contravened Section 65 of the PPA, 2004 and its Regulations since

Je nikuulize irregularities ndio maana ya uvunjaji wa sheria? Kama irregularities ilitokana na kwamba wanunuzi hawakuwa na karatasi husika je tusemeje? Na hiyo inahusiana vp na uwekezaji wa NSSF nionyeshe wapi wamevunja sheria za nchi katika uwekezaji? Jisafisheni nyie kwanza ndio muende NSSF. Acheni ubaguzi wenu wa kidini!!!

Hoja ya udini ilishapitwa na wakati; hamna ushahidi wowote kuwa tunaizungumzia NSSF kwa sababu ya udini; unless kuna udini ambao hamtaki tuuguse huko NSSF ndio maana mara moja kimbilio lenu ni "udini". Maana kila wakati tukigusa NSSF hamchelei kutukumbusha dini ya Dr. Dau. Kwenu Dau hawezi kufanya kosa na hata tukiamua (na uwezo upo ni muda tu) wa kuonesha ubovu wa uongozi wa Dau wala haitatutatiza. Wakati wenzetu mnaangalia dini na kwa vile mnaona ni dini moja basi hamko tayari hata kujiuliza maswali! Sasa hii hofu ya udini iko katika fikra zenu tu - you are projecting your own biases to other people.

Bahati mbaya haina nguvu tena. Kwa sababu hamna ushahidi wowote mahali popote wa hoja zetu kumlenga Dr. Dau kwa sababu ya dini. HAMNA isipokuwa hofu zenu wenyewe tu. Bahati nzuri wengine tunafahamu vizuri kwanini mnamtetea Dr. Dau kwa minajili ya dini yake.
 
Back
Top Bottom