Ooh my kumbe leo ni 19.09

Asante baba wa mbinguni kwa kuifikisha hii siku tena .ni exactly tarehe kama ya leo jembe maganga mkweli alizaliwa shukrani kwa mama na baba mzazi walionileta duniani , much respect kwa all jf members kwa michango na mawazo yenu ... Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa tufurahi sote na wapenda wote ...
God bless me god bless jf
aluta continua...............................
Hongera Kamanda
 
Happy bitrhday lakini jiulize umeifanyia nini dunia usiulize dunia imekufanyia nini. Watu wengine inawezekana mmekuja duniani kuleta hasara tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom