Ooh my kumbe leo ni 19.09

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
828
Asante baba wa mbinguni kwa kuifikisha hii siku tena .ni exactly tarehe kama ya leo jembe maganga mkweli alizaliwa shukrani kwa mama na baba mzazi walionileta duniani , much respect kwa all jf members kwa michango na mawazo yenu ... Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa tufurahi sote na wapenda wote ...
God bless me god bless jf
aluta continua...............................
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom