Onyo: Usimwoe mwanamke anayejipost mitandaoni

Onyo: Usimwoe mwanamke anayejipost mitandaoni

Nitake attention nimekuwa wewe😀😀😀😀
Au sawa ninataka attention vipi umepata nafuu?
Huu ndio ukweli, wanawake wanaopenda kujipost mitandaoni mara Kwa mara wengi ni malaya na ushaidi ninao sababu nshawagonga kwa sababu hiyo
 
Fuatilieni kwa ukaribu mabinti wadogo ambao wanajiposti hovyo mitandaoni 98% ni waliyozalia majumbani na wengine wamepata mimba wakiwa shuleni. Ukikagua picha zake wee lazima ukutane na moja ya katoto au kapiga naye
Huja kosea kabisa Mkuu...
Hawa viumbe huwa hawana cha kupoteza maana tayari wamesha kuwa second hand
 
Asilimia 99.94% ya wanawake wote ni malaya sema wametofautiana MITINDO YA UMALAYA TU ...KAMA UNABISHA MUULIZE HATA MAMA YAKO AU BINTI YAKO.
Ukweli mkuu ndiyo huu hapa sasa na ngumu kuupokea .
 
Ishu kama hii wanawake wengi wataona kama fedheha kwao, ila kwa ME ni muhimu kuangalia privacy ya familia kama unaitaji kupunguza atention zisizo za msingi.
Mbona kuna wanaume nao huwa wanajipost sana....hao tunawafanyaje?
 
Huja kosea kabisa Mkuu...
Hawa viumbe huwa hawana cha kupoteza maana tayari wamesha kuwa second hand
Second hand ni mwanamke ambaye si bikra alishtumika anaweza kuwa na hali nzuri maisha yakasonga , hawa ni spana mkononi
 
Kujipost huwa ni nyavu za kimkakati kunasa madanga..

Danga: halloo, umependeza mno aisee!
Ke: asante sana kaka
Danga: upo wapi muda huu?
Ke: hapa ofsini, ila nimechoka sana natamani hata kulala ila ndo hivo hakuna kitanda hapa.
Danga: pole sana mrembo, hivi watoka saa ngapi leo?
Ke: 11 jioni
Danga: nikupitie muda huo?
Ke: eeh..

Danga wa kwanza tayari ana appointment mkononi ya kwenda kuichapa leo.

Wengi tu wakiona kajipost watamtafuta. Wengine watapangwa siku zingine, na wengine watachunwa maokoto
Kama ukweli fulani hivi
 
Back
Top Bottom