Onyo la mwisho unanisikia wewe?

Onyo la mwisho unanisikia wewe?

mbwa mwizi.

JF burudani tosha huyu atakuwa aliiba nyama

Wote mmekosa ushahidi huu hapa 1416769949943.jpg
 
Hilo dume, linavyoonekana kila ikifika usiku linaenda kilomita kadhaa kw ademu wake na kuacha lindo. Halafu asubuhi linawahi nyumbani kudai chai.....
 
jamaa: Kwanini kila siku unaiba

mbwa: sio mimi unanisingizia

jamaa: Hizi video nilizokuonyesha za nani ??

mbwa: Sio zangu wameedit

jamaa: wiki iliyopita nzima umeiba kuku wa mama mwanakombo Juzi umeiba mboga ya mama mwajuma jana umekula chakula cha chausiku zote nimekutetea na wakanielewa.
Sasa leo umeiba fungu langu la dagaa nilionunua mia tano kwa ajili ya ugali na kachumbali ugali wenyewe kilo bora ungekuwa nusu ningekunywa na maji ningelala

Mbwa: Nisamehe sirudii tena

jamaa: Sasa hili ni "Onyo la mwisho unanisikia"

Mbwa:Ndio

jamaa: Sasa ukirudia tena nakupeleka Iringa

Cc mshana jr
Khantwe

Hahaaaaa hapo pakupelekwa iringa lazima mbwa abadilike kitabia
 
Last edited by a moderator:
Asipoelewa hapo basi ila mna tabia ya uchokozi na watu wa iringa

teh teh teh teh teh
hahaha!!! uchokozi gani tena!!? kama upo ni weye ndo umelianzisha. :bolt:
 
jamaa: Kwanini kila siku unaiba

mbwa: sio mimi unanisingizia

jamaa: Hizi video nilizokuonyesha za nani ??

mbwa: Sio zangu wameedit

jamaa: wiki iliyopita nzima umeiba kuku wa mama mwanakombo Juzi umeiba mboga ya mama mwajuma jana umekula chakula cha chausiku zote nimekutetea na wakanielewa.
Sasa leo umeiba fungu langu la dagaa nilionunua mia tano kwa ajili ya ugali na kachumbali ugali wenyewe kilo bora ungekuwa nusu ningekunywa na maji ningelala

Mbwa: Nisamehe sirudii tena

jamaa: Sasa hili ni "Onyo la mwisho unanisikia"

Mbwa:Ndio

jamaa: Sasa ukirudia tena nakupeleka Iringa

Cc mshana jr
Khantwe

Dah... Nimecheka mpaka machozi, thanks for made my day!
 
Last edited by a moderator:
Kwa sura tuu haka kadog kanaonekana kazee kavi date sana achilia mbali udokozi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom