Onyo la mwisho unanisikia wewe?

Onyo la mwisho unanisikia wewe?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1416723494752.jpg
 
Hawa wanyama ni wa ajabu sana hapo anajua kosa lake na akinusurika kipondo harudii tena
 
jamaa: Kwanini kila siku unaiba

mbwa: sio mimi unanisingizia

jamaa: Hizi video nilizokuonyesha za nani ??

mbwa: Sio zangu wameedit

jamaa: wiki iliyopita nzima umeiba kuku wa mama mwanakombo Juzi umeiba mboga ya mama mwajuma jana umekula chakula cha chausiku zote nimekutetea na wakanielewa.
Sasa leo umeiba fungu langu la dagaa nilionunua mia tano kwa ajili ya ugali na kachumbali ugali wenyewe kilo bora ungekuwa nusu ningekunywa na maji ningelala

Mbwa: Nisamehe sirudii tena

jamaa: Sasa hili ni "Onyo la mwisho unanisikia"

Mbwa:Ndio

jamaa: Sasa ukirudia tena nakupeleka Iringa

Cc mshana jr
Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Jamani utafiti punguza hasira duh sasa mbwa ana kosa gani?Kama arsenal kufungwa na man u ni uzembe wenu
 
Hahahahaaa niko engo wewe MO11 nimecheka mpaka walevi/walipa kodi wa nchi hii wananishanga
 
Last edited by a moderator:
jamaa: Kwanini kila siku unaiba

mbwa: sio mimi unanisingizia

jamaa: Hizi video nilizokuonyesha za nani ??

mbwa: Sio zangu wameedit

jamaa: wiki iliyopita nzima umeiba kuku wa mama mwanakombo Juzi umeiba mboga ya mama mwajuma jana umekula chakula cha chausiku zote nimekutetea na wakanielewa.
Sasa leo umeiba fungu langu la dagaa nilionunua mia tano kwa ajili ya ugali na kachumbali ugali wenyewe kilo bora ungekuwa nusu ningekunywa na maji ningelala

Mbwa: Nisamehe sirudii tena

jamaa: Sasa hili ni "Onyo la mwisho unanisikia"

Mbwa:Ndio

jamaa: Sasa ukirudia tena nakupeleka Iringa

Cc mshana jr
Khantwe

Hahahahaaa una utani na majirani weye
 
Chonde chonde Mkuu Iringa asiende wajukuu zangu kule watambanika
 
Last edited by a moderator:
Jamani utafiti punguza hasira duh sasa mbwa ana kosa gani?Kama arsenal kufungwa na man u ni uzembe wenu

Yaani wewe....
Siku man u mkifungwa huo mtaa wenu naleta yamoto band wanakuja kuimba mpaka asubuhi...
 
Last edited by a moderator:
JF burudani tosha huyu atakuwa aliiba nyama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom