Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Mbona ni kawaida ya biashara?
Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.
Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.
Thanks
Jamani unajua biashara ni maelewano sasa kama wewe unaona kitu na bei unaipenda unakagua unaridhika unanunua hauridhiki aununui tatizo liko wapi?? Za madukani pia zipo feki na mbovu.
Sasa hapo kuna shida gani, ndivyo biashara inavyofanyika, tayari ulijua simu ni used toka mwanzo!
mmekubali kukubaliana, sioni tatizo hapo hakuna utapeli ni njia genuine za ufanyaji bashara!
sasa kama wewe sio muhusika mbona unatokwa povu?
Nilifanya biashara ya simu na Mwana JF Mathematics. Simu iko fresh mpaka leo na inapiga kazi vizuri tu kwa hiyo kuna wengine wana uza simu poa kabisa..
Biashara ni makubaliano.ni kweli,mi mwenyewe nishakutana na wauzaji makini mf.Godfrey electronics,ila penye wengi pana mengi pia
Biashara ni makubaliano.
Kuna vimeo vingi tu madukani, na kuna simu nzuri mitaani and vice versa. Ila kama uliikagua na kuiona haifai, sioni kwanini unalalamika. Ingekuwa umeagiza gari kimeo, hapo labda ningeelewa malalamiko yako.
Lakini ume-inspect mwenyewe .... sioni kwanini unalalamika.

tumia akili kidogo,mtoa uzi katoa kwa faida ya wengi kwani hatupo sawa!
Yeye aliweza kukagua mwingine hawezi angenunua sasa haijala kwake?
Halafu nyinyi munaotetea mambo haya ndo wahusika wa hii michezo nishawastukia,
sasa dawa yenu inachemka!
Munauza vimeo vyenu kwa utapeli hata jf wengine hawachangii hata mia mbovu japo ndiyo inayowaweka mjini na familia zenu kwa biashara zenu za kupiga kiujanja,matapeli wakubwa
Sasa mimi nilikuwa na mpango wa kuuza note 2 yangu imetumika kiduchuuu!! Na nyie mnachafua hali ya hewa mpaka nimesitta kuiuza.
We ndo Great Thinker wa ukweli Lidaku kumbe simu ulikagua ya nn ulalamike na kuchafua jukwaa hili
Mimi nilifikiri alikufanyia home delivery afu hakukuta na akaondoka au alikutumia kwa posta...LOL!!!!
Matapeli kivipi?tumia akili kidogo,mtoa uzi katoa kwa faida ya wengi kwani hatupo sawa!
Yeye aliweza kukagua mwingine hawezi angenunua sasa haijala kwake?
Halafu nyinyi munaotetea mambo haya ndo wahusika wa hii michezo nishawastukia,
sasa dawa yenu inachemka!
Munauza vimeo vyenu kwa utapeli hata jf wengine hawachangii hata mia mbovu japo ndiyo inayowaweka mjini na familia zenu kwa biashara zenu za kupiga kiujanja,matapeli wakubwa
nimesoma maelezo yako ktk comments zako zote,
ww utakuwa tapeli haiwezkn ukawa unatetea hv bana...aah!