Onyo kali

Onyo kali

Alafu wewe Evelyn salt toka huko pm njoo hapa toa ya moyoni au unaogopa? Ishi maisha yako nyoko ww
 
Nawapa muda nyie wte mlonipim au nianze na ww coz una shobo sana
 
Kumbe wewe ni evelin chumvi? Wataje tu,iakini labda wengine wanataka wapeleke barua kwenu? Maana si mchezo kwa sasa,jirani na nyumba ninayoishi kuna wapangaji kama wanane hivi na kila mtu na jamaa yake, wamezaa lakini hamna ndoa,kwa hiyo hata malaika wa kheri hawaingii.
Usichukie pm,hizo barua hizo wanataka walete
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
[emoji12] [emoji95] [emoji379]

Hata ukiwataja hawakomi
Watakuja tu......

Sio watu wa mchezo mchezo haooo...

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha....dada, wachukulie poa tuu haya yote maisha. Hii pumzi tuliyonayo any time inaweza ikakata. Just make your day count, hata inbox ikifika 10000000 we kaa kimya tuu. After all we only live once so waache watume hadi alama zote kwenye keypad ziishe.
 
Tulia ww ebu weka sura yako tuione,unajikuta mzuriiii
 
Back
Top Bottom