Onyo kali

Onyo kali

Wanaume wa JF majasiri sana.. unamtongoza mtu PM hujui yukoje kama jini je? Mi ukija PM na swagga za mtongozo nacheka nakaa kimya maana naweza kukuentertain kumbe ndo danga linaloniweka mjini nikakosa kulelewa usawa wenyewe huu ntaishije na mtoto mie. Kufunga sijui wakija nawachek tu basi
 
Hahaha....dada, wachukulie poa tuu haya yote maisha. Hii pumzi tuliyonayo any time inaweza ikakata. Just make your day count, hata inbox ikifika 10000000 we kaa kimya tuu. After all we only live once so waache watume hadi alama zote kwenye keypad ziishe.

Asante mkuu
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
Dah....haya kachukue buku 7 pale Lumumba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
Mwezi mchanga.
 
Ni sawa na utongozwe mtaani halafu upite barabarani unaanza kutangaza..."jamanieee mnaonitongoza nitawatajaaa..."

Milembe itakuhusu...Chelsea hoyeeeee
 
Back
Top Bottom