Onyo kali

Onyo kali

Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane

Mkuu tupia hapa kabisa screenshot za pm please![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heshima kwenu wakuu

Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu msiowafahamu

Iiii..wenye mapovu mnakaribishwaaaa

Au niwataje majina yenu ndo tuheshimiane
wataje
 
naona unatafta cheap popularity humu jf kwa nguvu zako zote, ww mwanaume gani akutongoze?? kwa lipi hasa ulilo nalo? umukagame
 
Dunia ina mambo[emoji15] !Hata faizafoxy nae watu wanaMpm[emoji86] .
 
Back
Top Bottom