We dogo... mbona zote umezungumzia Analogue? Sasa which is which?Hello Wanajamii.................
Nilikuwa kimya kidogo nikifanya utafiti kuhusiana na hili gonjwa hatari la ukimwi. Nimegundua kuwa kuna aina mbili za HIV/AIDs namely ANALOGY and DIGITAL.
1. ANALOGY= mwathirika anateseka sana ....ni ule wa zamani unaoambatana na madonda na kukonda.
2. ANALOGY=mwathirika huwa na afya njema mda wote na hufa akiwa gafla na afya yake.
Kwa dunia ya sasa uliopo kwa wingi ni ule wa DIGITAL.....................................
Naomba mawazo yenu kabla sija-publish utafiti wangu.
We dogo... mbona zote umezungumzia Analogue? Sasa which is which?
Mawazo yangu kabla hujapublish: Acha NGONO ZEMBE!!
Karibu bia, ngono haiongezi damu mwilini...
Mbona zote analogy
Soma vizuri basi...sijamwambia aache Ngono, manake najua hawezi ila aache NGONO ZEMBE!Mmmh babu,
Tena kwenye ndoa haya mambo ni magumu zaidi
Huwezi apia mtu anayetembea na risasi yake
Ni kuishi kwa imani tu.
Soma vizuri basi...sijamwambia aache Ngono, manake najua hawezi ila aache NGONO ZEMBE!
Kubanjuana miaka hii hakuepukiki, basi angalau tubanjuane responsibly!
Soma vizuri basi...sijamwambia aache Ngono, manake najua hawezi ila aache NGONO ZEMBE!
Kubanjuana miaka hii hakuepukiki, basi angalau tubanjuane responsibly!
basi huyo anae enda nje awe responsible, play safe!Hivi kama umeoa au kuolewa
Unaweza tumia kinga 24/7 kwa siku 366?
Ntake radhi mi sijaolewa, nimeoa! Malabuku zako!Hivi kama umeoa au kuolewa
Unaweza tumia kinga 24/7 kwa siku 366?
Nrudishie kale kabatan basi nikugongee kale kayuziful word!:closed_2:
umemaliza.
Hata mimi naona mana zote kazitaja ni analogy.Mbona zote analogy
Soma vizuri basi...sijamwambia aache Ngono, manake najua hawezi ila aache NGONO ZEMBE!
Kubanjuana miaka hii hakuepukiki, basi angalau tubanjuane responsibly!
Karibu!Ushauri kuntu babu!..
Kongosho, hiyo avatar...mashallah!!
Karibu!
Na hizo lips zako wazibusu responsibly pia LOL
We dogo... mbona zote umezungumzia Analogue? Sasa which is which?
Mawazo yangu kabla hujapublish: Acha NGONO ZEMBE!!
Karibu bia, ngono haiongezi damu mwilini...