Only a genius can attempt this

Malizia virai vyako katika sentensi. Mfano, "the unique few".

Haujaeleweka sababu hakuna jina linalovumishwa na adjectives mbili za "unique" na "few" (adjective phrase) ambazo zimetanguliwa na determiner " the".
Acha kukurupuka yuko sahihi. Naona unavamia feni zawatu.
The small beautiful girl.
Hapo the ni determiner imetana na adjective.

Sio kujifanya mjuaji. She is right kusema the unique few.
Alaf soma predication utelewa
 
Determiners can premodify adjectives of general, age, colour, participle, origin, then noun. Example, The famous young black Tanzanian girl has arrived.

Wewe unasema adjectives mbili hazifuatani na determiner. Zinaweza kufika hadi kumi. Upoooo
 
Alama Mohamed Said, si umeona, baada ya kumpa na ufafanuzi akarudi tena kuponda, tazama post namba 16.

Huwa siwashangai hawa ndugu zetu.

Leo kuna uzi mtu kajidai kesi sijuwi inamngoja Dr. Dau nikamuwekea picha ya ndugu yangu Dr. Dau anakaguwa gwaride la kifalme la heshima huko aliko pelekwa, wamekimbia.

Umeiona?
 
Acha kukurupuka yuko sahihi. Naona unavamia feni zawatu.
The small beautiful girl.
Hapo the ni determiner imetana na adjective.

Sio kujifanya mjuaji. She is right kusema the unique few.
Alaf soma predication utelewa
Safi sana kwa kujaribu, naimani ukiendelea na mazoezi mengi utaelewa.

Naomba uelewe kuwa katika kifungu chake cha maneno (alikusudia karai nomino) kilipungukiwa jina "noun" lililopaswa kuvumishwa na hicho kirai kivumishi (adjective phrase) ambacho kinajengwa na vivumishi viwili ambavyo ni "Unique few" ambacho hata chenyewe kimekosewa mpangilio wake nabadala yake kilipaswa kuwa "few unique".

Sasa ili hicho kifungu chake cha maneno kipate fisa ya kuwa kirai nomino (noun phrase) kilipaswa kuwa hivi "the few unique person" au "the few unique boy" au "the few unique girl" etc.

Hivyo, neno "person", boy na girl" katika mifano hiyo ndio zinakamilisha kifungu hicho kuwa na sifa ya kirai nomino (noun phrase). Mfano mwingine umeutoa wewe mwenyewe kuwa "the small beautiful girl" unadhilisha ukamilifi wa kirai nomino, lakini katika mfano wako huo huo ungekosa jina la "girl" kama katika kifungu hiki (the unique few", kifungu hicho cha maneno kingekosa sifa ya kuwa kirai namino, yaani kingekuwa hivi "the small beautiful" na hapa kifungu hiki kisingekuwa na maana tena kwasabu hakuna jina linalovumishwa.

Karibu tena!
 
Determiners can premodify adjectives of general, age, colour, participle, origin, then noun. Example, The famous young black Tanzanian girl has arrived.

Wewe unasema adjectives mbili hazifuatani na determiner. Zinaweza kufika hadi kumi. Upoooo
Jifunze utamaduni wa kusoma zaidi ya mara moja ili uelewe vizuri kabla hujajibu comment.

Kifupi hukuelewa nilicho andika, soma tena na tena maana wengine (na wewe) huwa wanauelewa wa mbali.
 
Ma sha Allah, nimeipenda avatar yako na hizo chupa. Simply beautiful.

Hawapendi hawa watu, nilimpa jibu moja akajifanya silo, hakutegemea. Ndiyo nikamfafanulia.
"Simply beautiful"
Naona hili ni tatizo lako, haumalizi virai vyako. Kwanini isiwe "a simply beautiful avatar"
 
Jifunze utamaduni wa kusoma zaidi ya mara moja ili uelewe vizuri kabla hujajibu comment.

Kifupi hukuelewa nilicho andika, soma tena na tena maana wengine (na wewe) huwa wanauelewa wa mbali.
Nimekwelewa vizur sana hiyo sio figurative language useme mpaka urudie maranyingi. Shida ujuaji plus sifa times ushamba vinakwandama. So I took it personal wareva case it might be

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom