Online forex trading

Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
Ndugu kama hutajali hebu tuambie elimu yako kwanza..maana naona iko shida mahali. Asante
 
Nina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......

Kuna risk kubwa sana. Watu waingie ila wajipange

Nami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M ila si kama akina Ontario wanavyoenda
Ahaaa..nimekupata sasa..kumbe utanzania umekukaba kooo...dah
 
Wataalam wenyewe ukiingia tu wataanza kukwambia usome mavitabu, unaweza ingia ukapata ukichaa, u can lose all kabisaa
Vitabu, websites za forex, kufuatilia fundamentals na zinavyoingilia bei za fedha .

Mfano, bei ya mafuta inaingiliana sana na bei ya dola kwa sababu mafuta yananunuliwa kwa dola, lakini nchi za kiarabu zinazouza mafuta nyingi baada ya kupata dola hufanya biashara ya kununua vitu kutoka Europe kwa kutumia Euro, bei ya mafuta ikishuka hilo linaweza kumaanisha nini kwa uwiano wa Euro/Dollar?

Kufuatilia ma gavana wa benki kuu za nchi muhimu wanahosema kuhusu mwenendo wa hela, interest rates etc.

Kitu kama "Economic Calendar" ya Wall Street Journal ni muhimu sana kusoma ili kujua vitu vilivyokuwa scheduled kwa wiki.

Nasoma Wall Street Journal la jana hapa, kuna story moja inaelezea USD itaendelea kupata pressure, pia nasoma Economic Calendar Jumatano kuna Minutes za Federal Reserve ya US, hizi zinaweza ku move markets, Alhamisi kuna ripoti ya Wizara ya Biashara ya Marekani kwa mwezi wa May, hii nayo inaweza ku move markets itakapotoka. Ijumaa kuna ripoti ya Wizara ya Kazi ya Marekani, watu wataangalia mishahara ilivyoongezeka na ripoti ya unemployment kwa mwezi wa June.

Hizi habari zote mtu akitaka kufanya forex inabidi azijue.

WSJ la July 03 attached, kuna article "Dollar is Getting Squeezed From All Angles" inaongelea dollar na kuna economic calendar ya week. Those are must reads.
 

Attachments

  • wallstreetjournaleurope_20170703_The_Wall_Street_Journal___Europe.pdf
    3 MB · Views: 284
Hapa kweli umakini unatakiwa sasa wakuu bongo ndiyo CRDB inaendana na masharti ya forex vp kuhusu bank nyingine
 
Hivi ndiyo vitabu 7 ambavyo ukivisoma na kuvielewa kwa umakini kabisa nakuhakikishia huezi fall kirahisi kwenye biashara ya Forex.ila vinapatikana amazon na vinauzwa
1:Forex for Beginners by Anna coulling

2:Thirty Days of forex Trading by Raghae Harner

3:Currency Trading and intermarket Analysis by Ashraf Laidi

4:Day Trading the currency by Kathy Lien

5:A complete Guide to volume price Analysis by Anna coulling

6:The Forex "set and Forget" profit system by Mark Boardman

7:Trading in the zone by Mark Douglas

Na waandishi wa hivi vitabu karibia wote wanafanya na washawai fanya Forex Trading
 
Leo ukijipindua kidogo tu ku order position unayoona iko low ukasema niende msalani narudi baada ya dakika chache, unakuta position yako ishakubaliwa halapu USD/JPY imeshuka zaidi.

Inabidi mpaka chooni unaenda na simu halafu una control mc
hezo. Kama una safari ya kuendesha gari kutoka kazini mpaka nyumbani kimbembe. Volatility kubwa sana.

Mchezo hu hautaki hasira.
faida unayoipata unaichukuaje/ unalipwaje
 
Kujifunza vizuri zaidi ni kufungua live account lakini udiposit pesa kidogo kalafu stop loss uweke kidogo na ptofit imagine pia uweke kidogo utaanza kupiga hela polepole au muda mwingine unapata hasara kidogo .hapo ndio umakini na ufwatiliaji utakuwa mzuri .na pia kama unataka upige hela fanya hii kazi jumanne na jumatano saa tatu mpaka saa sita halafu endelea na mambo mengine.hu muda uwezekano wa kupata faida ni mkubwa zaidi

hii ni kweli mkuu, nipo katika demo kuanzia saa tano nimona faida yake. nazidi kujifunza . mpaka nina asilimia 1 tu kufahamu hii biashara. mwezi ujao naingia live.
 
Kwa NADEX -which is an options trading exchange- hela zako zote, si faida tu, hela zozote zilizoko katika account yako unaweza kuzirudisha katika bank account yako kwa kubonyeza kitufe tu.

Kitu kimoja ninachowapendea NADEX ni kwamba wako regulated under US laws kwa hiyo ujinga ujinga unaoweza kuuona sehemu nyigine hawa watu hawawezi kuufanya hata kama wanataka kwa sababu regulators wa US wamewashikia fimbo kubwa sana

Regulated & Legal for US Residents


Kabla ya kuingia NADEX na kwenye options - which is not exactly forex exchange- inabidi ujue haya

Options: Advantages and Disadvantages

Advantages and Disadvantages of Options
nimejaribu kujiunga na nadex lakini Tanzania haipo nafanyaje hapo
 
nimejaribu kujiunga na nadex lakini Tanzania haipo nafanyaje hapo
Inawezekana hawajajisajili kisheria kufanya kazi Tanzania. Unaweza kuwatumia email customerservice@nadex.com. Kawaida wako sharp sana katika kujibu.

Ila leo ni sikukuu Marekani na hakuna kazi ofisi nyingi na hakuna major trading kwa hiyo wanaweza kuchukua mpaka kesho kukujibu.

Pia NADEX ni platform ya options trading yenye forex ndani pamoja na commodities, indices etc, siyo straight up forex trading platform.

The Advantages & Disadvantages of Binary Options Trading
 
Ndugu kama hutajali hebu tuambie elimu yako kwanza..maana naona iko shida mahali. Asante

40e1ed6cf0ce1ac27358e9a2c66ded66.jpg
 
Inawezekana hawajajisajili kisheria kufanya kazi Tanzania. Unaweza kuwatumia email customerservice@nadex.com. Kawaida wako sharp sana katika kujibu.

Ila leo ni sikukuu Marekani na hakuna kazi ofisi nyingi na hakuna major trading kwa hiyo wanaweza kuchukua mpaka kesho kukujibu.

Pia NADEX ni platform ya options trading yenye forex ndani pamoja na commodities, indices etc, siyo straight up forex trading platform.

The Advantages & Disadvantages of Binary Options Trading
Al-watan any feedback about recent trading.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Al-watan any feedback about recent trading.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
I am doing options trading on NADEX, which is a bit different than unadulterated forex.

Last week I was riding the wave of the NASDAQ 100, multiple records, made good money, got cocky, put down too much, got panicky due to the swings and sold my positions (NASDAQ actually ended on my side). That ate into my profits a bit.the lesson learned is we are supposed to be vigilant all the time, even when we are winning.It can be very easy to make a mistake when you are winning, because you feel like you know your stuff.

This week I am watching closely some pairs, the SP 500 and the NASDAQ 100.

The plan is to turn $2,000 into $10,000 in the shortest possible time without risking losing my shirt.

I may want to study if the NASDAQ 100 peaks during the week and do my best trades on Friday.
It depends on how this animal rolls.

I have been doing some readings and listening to some options gurus, there are a few things I have been doing wrong that I could improve. More about options and not so much about forex, I am not sure that there are options people here.
 
Back
Top Bottom