Online forex trading

Kuna mtu yeyote hapa nchini (TANZANIA) aliyewahi kufanya biashara ya fedha za kigeni online????
kama yupo please tupe ujuzI........

Unatakiwa usome basics zake kwanza.
Hivihivi utakuwa unatwanga maji kwenye kinu.
Ingia mtandaoni ujifunze kuhusu currency trading na the best strategies involved.
Ila kwa kuanzia unaweza kutumia trading brokers kama fxcm au etoro.
Unajiandikisha na kuweka mpunga huko baadae ndo utaanza kununua na kuuza.
Ukiingia kichwakichwa utapata panic attacks.
 
poa poa mkuu.............but wewe ulishawahi kujaribu au una mtu ambaye unamfahamu ambaye amewahi fanya (reguardless of the LOSS/PROFIT he/she made.
nia yangu ni kutaka kujua ulitumia broker yupi coz si unajua most of them are from outside
 
Ngoja nikueleze hii kitu. Hii mtu yoyote anaweza kufanya kama unaweza kucreate account. Tatizo kubwa la hii biashara kuna watu wanabaatisha na watu wanatumia model kupredict currency behaviour. Lakini model si lazima zifanye kazi maana dhana nzima ya efficiency market haitakuwepo.
Sasa currency hata commodity or stock tends to be volatile. Kwahiyo you need powerful computer, specialised software na pia internet inayoweza kudetermine trend very fast in case you need to take a certain position.
 
poa poa mkuu.............but wewe ulishawahi kujaribu au una mtu ambaye unamfahamu ambaye amewahi fanya (reguardless of the LOSS/PROFIT he/she made.
nia yangu ni kutaka kujua ulitumia broker yupi coz si unajua most of them are from outside

Forex.com na fxcm

Platform ya forex.com ni rahisi zaidi.
Loss? Big loss km hauko makini.
 
N
Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
Ndiyo nini hii.
 
Duuuhhhh pole sana mkuu, ulitoa changamoto kubwa sana nini.....

Uzi ule watu wana comment as if kesho wanakuwa akina Mengi kwa utajiri
 
hahahaha wewe shuwaini ndio umekuja kufia humu? hahaha na ukome kuchafua nzuzi za wenzako wahedi mkubwa wewe mbona hapa umetulia kimya? kweli nimeamini ulikuwa umetumwa si bure.
 
Duuuhhhh pole sana mkuu, ulitoa changamoto kubwa sana nini.....

Uzi ule watu wana comment as if kesho wanakuwa akina Mengi kwa utajiri
Watu njaa zinawasumbua wanafikiria easy money. Wamenifungia sababu nilikuwa nawafanyia maudhi ili watambue katika maisha hamna shortcut, hile Forex trading ni highly risk, sasa kuna watu wanaanzisha ubroker ili wao wanufaike wawatie watu umasikini. Lazima watu wanalezwe ukweli hawaelewi! Wabongo wengine wanapupa sana ndiyo maana wanadanganywa kama ilivyokuwa mchezo DECI.
 
umesema kweli mkuu,mie nawacheki tu wanavyobabaikaga
 
Watu njaa zinawasumbua wanafikiria easy money. Wamenifungia sababu nilikuwa nawafanyia maudhi ili watambue katika maisha hamna shortcut, hile Forex trading ni highly risk, sasa kuna watu wanaanzisha ubroker ili wao wanufaike wawatie watu umasikini. Lazima watu wanalezwe ukweli hawaelewi! Wabongo wengine wanapupa sana ndiyo maana wanadanganywa kama ilivyokuwa mchezo DECI.
Nina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......

Kuna risk kubwa sana. Watu waingie ila wajipange

Nami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M ila si kama akina Ontario wanavyoenda
 
mkuu ukweli upoje huko,ni kweli unaweza kutengeneza faida kubwa kwa kipindi kifupi?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom