Online forex trading

Anybody bearish on the AUD/USD trend. Looks like the AUD is going down.
 
Nimejaribu kutumia expertoption.com naona kama inaoption nyingi na rahisi kutumia pia tofauti na forex.com na iqoption.com. Nipo bado kwenye demo site karibuni kwenye demo
 
Attachments

  • expertoption.jpg
    expertoption.jpg
    54.4 KB · Views: 86
How low will it go Monday do you reckon mate?
I made $5,000 USD on Friday by betting early on a small AUD/USD upswing.

The bummer is this was on my demo account.

On my live Friday I was more conservative and I made about $500 on a small FTSE 100 upswing.

How I wish my demo was my live!
 
haahhaah ni muda sasa uingie achana na demo...
 
Nami nipo makini kujifunza kila kitu before take off. Jana niliweka $1000, na hadi naondoka kwenye laptop nilishatengeneza $4600 in my binaryoption demo account. Tuendelee kujifunza. Nimejipa miezi sita before take off.

Jana na leo $27,965.50 demo account - Brent Oil
 
haahhaah ni muda sasa uingie achana na demo...
Nimeingia. Nimetengeneza $500 kwenye live Friday. Ila nilikuwa bullish kwenye demo zaidi ya kwenye live nikatengeneza $5,000 kwenye demo.

Nilinyolewa vizuri sana miaka ya nyuma (financial crisis ya 2007-2010) nikawa magutu sana.

Si unajua ukiingia kichwa kichwa unanyolewa mpaka ngozi halafu unapoteza mpaka shati.

Hii wiki inayoanza between the FTSE 100 and the Aussie target kupiga angalau USD 5,000 in profit.

Of course mtu anaweza kulizwa $ 5,000. Ni kujiandaa kisaikolojia tu kabla. Na kuusoma mchezo.

Ama sivyo unaweza ku bet mpaka mkeo kama Mzee Suchak.
 
Nimeingia. Ila nilikuwa bullish kwenye demo zaidi ya kwenye live.

Si unajua ukiingia kichwa kichwa unanyolewa mpaka ngozi halafu unapoteza mpaka shati.

Hii wiki inayoanza between the FTSE 100 and the Aussie target kupiga angalau USD 5,000 in profit.

Of course mtu anaweza kulizwa $ 5,000. Ni kujiandaa kisaikolojia tu kabla. Na kuusoma mchezo.

Ama sivyo unaweza ku bet mpaka mkeo kama Mzee Suchak.
Unatumia bank gani kutransact? Paypal haihusiki? naomba kidogo elimu hapa
 
Mimi natumia account yangu ya Citibank North America. Niko Marekani.

Nafikiri account zenye Mastercard/ Visa zinakubalika kwa Tanzania nafikiri CRDB wana hizi services, right?

Kwa walio Tanzania kingine najua Citibank wana tawi Dar. Angalia kama dollar account yao inaweza kukubalika na masharti ya forex kutoka Tanzania yakoje.
 
Asante kwa elimu hii
 
Hahahaha Forex trading and binary option izi nibiashara pacha naweza sema na zina envolve high risk kwa watu ambao mnaingia kwa kukurupuka mtaria sana yan ......

Ni biashara ambayo haijawai kumuacha mtu salama yani kiukweli na ndio maana ata Ontario himself alitoa onyo na alikill kuwa aliwahi kuchoma account yake iliyokuwa na pasa mingi sana ......

Kila broker ambayo utaingia lazima ukutane na onyo na taadhari ya hali ya juu sana ni kiashiria kabisa siyo simple business like watu wanaichukulia sasahivi na ndio maana ata wenyewe uwa wanakusii na kukupigia hadi simu kwa baadhi ya broker ili kujua dhumuni na ujuzi wako katika biashara hii ili usipoteze pesa zako ukapata kifo cha presha ya gafra......

Uzuri wake , uzuri wa hii biashara ni kwamba inaweza kukufanya utajilike haraka ,kupata pesa ambayo watu amabao wanaipata kwa mwezi we kuipata kwa siku tu but ni razima uwe mtaarambu sana uwe umesoma sana umeelewa sana umefanya mazoezi kwenye demo sana umesoma indicator na kuzielewa sana, kama unatumia line au candlestick uzisome sana na uelewe tabia zake , yan ukave kwelikweli ili usiwe unapata loss za kijinga na nashauri kama unaweza tafuta mentor wa kukufundisha practically kama Ontario anavyotaka kufanya iyo ndio usaidia kwa mtu kumaster kwa araka zaid .

Muanzisha uzi alikua anaitaji kufaamu broker yupi ni mzuri kwa mtu ambaye ni begginer kuanza nayo Mamentor wengi ambao ni magwiji ushauri begginer kuanza na broker uyu ambaye ni XM broker hawa xm ukifungua account tu wanakupa ile bonus ambayo ni no deposit account ambayo ni $30 nakushauri anza na iyo pesa kuikuza mbaka kufikia mamilion na Uzuri wake minimum deposit ni $5 only ivyo ni nzuri

Ushauri usikurupuke kutrade kwa pesa kubwa wakati huna ujualo na ujuzi wako wa kuunga unga utaishia kilio kikubwa ........

Kila raheli traders
Note: Fx or Binary trading haijawaigi kumuacha treder salama
Sent by Me
 
Nimependa sana ushauri huu. Kiukweli inahitaji muda na masomo ya kutosha kabisa ili uweze kufanya hii biashara. Ndio maana mie nimejipa miezi sita ya kujifunza kwa bidii, najua na kutambua kuwa once ukisha master hizi trends, unakuwa tajiri kwa haraka sana. Tuendelee kuelimishana na kuonyana ili tusiikimbilie hii biashara kwa pupa tukafa na presha
 
Back
Top Bottom