Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya!

Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta.

Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa nikitumia wa mjini ambao hakuna shaka kuwa wanajua haswaa kuoga!

Hili ni tatizo wadau! seriously, ni tatizo. Sijajua shida ni nini kati ya vyakula, mavazi, mapambo, vinywaji au mabadiliko ya tabia nchi!

Naomba mawazo yenu wadau, simaanishi kudhalilisha it's all about stating the facts!
 
Inategemea na aina ya Wanawake unaokutana nao..

Ila kwaa upande Mwingine nahisi matumiz ya dawa za kufinya Uke.. zimewaletea shida hiy Wanawake wengi
Dawa za kufinya?!!!!:oops::oops::oops:

Nisingestuka kusikia dawa, lakini dawa za kufinyia ndani?!!!! du dunia inanipita kumbe wadau.
 
Maoni yangu ni haya;
Makungwi uchwara; kumeibuka wimbi la makungwi wenye products mbalimbali za kubana ,sijui kukata harufu mtu unaweka ukoko wa ugali, vanilla , limao , asali sijui pipi kifua wadada wengi hutumia na kuishia kupata magonjwa ambayo hata hayajulikani.

Mavazi ; unakuta mdada anashinda nguo za ndani kutwa nzima mchana jeans,tyt na kufuli usiku analala hivyo hivyo.

Usafi;unapoenda washroom unahitajika ujisafishe usipojisafisha harufu itajitokeza.

Magonjwa; either fungus or uti

Vyakula; unahijika kunywa maji sana ili kusafisha kibofu lakin unaweza kuta mchana mzima mtu anakunywa glass moja na soda soda nyingi.
 
mawazo mazuri sana haya mkuu. yanaibua utafiti safi kabisa!!
 
Back
Top Bottom