NINA SIKITIKA SANA KUSIKIA POSHO ZA WABUNGE KUPANDISHWA
WAKATI SISI WANAO TUONGOZA TUNA KUFA KWA KUKOSA DAWA,
BADALA YA KUTU FIKIRIA SISI WAPIGA KURA WAO WANA JIFIKIRIA
WAO KWANZA NAOMBA TURIFIKIRIE JAMBO ILI.:shock::shock:
Kwa maelezo yako ina maana moja tu kwangu. Kuwa wale wote wanaozunguka kwenye vile viti vyekundu wana dhamira zao kufikia malengo yao wanawatumia wananchi/wapiga kura kama ngazi kuyafikia malengo yao, na kwa kuwa sisi hatuna uwezo wa kufikiri na ng'amua tutaendelea kuwa ngazi mpaka kiama.
nadhani kuna umuhimu mambo yote yanayohusu masuala ya maslahi ya viongozi wetu kuwekwa bayana kwenye katiba mpya ili kuepuka ubinafsi wa watu wachache.watu wana hasira lkn ndo hivyo tena imetoka hiyo na mwisho watasahau
Kibonde mnafiki
wivu wa kiume ni upi?kama unanionea wivu basi nitoke mie kitandani uje kuchukua nafasi yangu
Acha wivu wa kike kama na ww unataka kuajiriwa Clouds si useme tu