Ongezeko la Posho za Wabunge ni Wizi na Dhulma dhidi ya Wafanyakazi

bila kila mtu kwenye nafasi yake kuwa mla rushwa, watanzania hawatashituka. natoa wito watoa huduma wote, wakandamizeni wananchi ili kuwafanya wafikiri other way round ya kuepuka matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Mkuu hapo kwenye Red!
1. Leo unamaanisha jana 8 Dec?
2. "Mambumbu" anamaanisha sisi wananchi au wabunge?
3. "Wenzake" unamaanisha wabunge au wananchi?

Kwa ujumla posho zote zinatakiwa kufutwa isipokuwa posho ya kujikimu basi. Ikumbukwe yeye alishasema "kwa kazi za mbunge, hata akipiwa posho ya 500,000/= ni sawa!". Ni aibu kuwa na mbunge mwenye mawazo ya namna hii akiwa anawakilisha watu maskini katika nchi maskini.

  • Leo ninamaana hizi habari nimezipata leo via RFA tuzungumze magazeti
  • Mambumbu nadhani wote wanao pinga MPs and Citizens

Nahisi Shibuda yupo bungeni kwa ajili ya kuboresha nafsi yake Ubunge kwake ni mradi " posho, fedha ya kujikimu, etc " ni vyanzo vya mapato. kifupi kwa watu maskini tunao hitaji mtu wa kutuhamisha hapa tulipo Shibuda hatufai
 
Huwezi kupata jibu moja linapokuja suala la posho kwa kuwa hata hao wabunge wa Chadema, wapo wanaoongozwa na matamanio binafsi.

Anna Makinda amekiri ongezeko la posho na ndio Zitto alipomkamata kuwa ni kinyume cha Sheria. Sasa huyo Lema na wengine wanachofanya ni kuwababaisha wananchi. Posho wanapokea na wanakula

wanasheria. Hivi mtu akipatikana kufanya mambo kinyume na sheria, nini kinatakiwa kufanyika?
 
Kama ulikuwa umeweka matarajio yako yote kwa Chadema, basi anza kutafakari njia nyengine ya kuikomboa nchi yako
Siyo siri ktk hili la uongo waliniudhi ila muda ulisha nilitaka niwajibu maana ZITTO, JANUARY wasingesema uongo na hata Spika

Sasa ni chama gani mbadala labda hadi 2020 tulitegea CDM waseme kweli daima na wakemee ufisadi wa aina yoyote ile
 
ni simple sana. kila mtu awe mpiga nyoka, ni ugumu wa maisha uliokithiri kila kona ya maisha utakaowafanya wananchi kushtuka. namaanisha, tujihalarishie ruswa, nchi iyumbe ili tukae sawa
 
Huwezi kupata jibu moja linapokuja suala la posho kwa kuwa hata hao wabunge wa Chadema, wapo wanaoongozwa na matamanio binafsi.

Anna Makinda amekiri ongezeko la posho na ndio Zitto alipomkamata kuwa ni kinyume cha Sheria. Sasa huyo Lema na wengine wanachofanya ni kuwababaisha wananchi. Posho wanapokea na wanakula

too low, what is your opinion on the posho issue?
 
Siyo siri ktk hili la uongo waliniudhi ila muda ulisha nilitaka niwajibu maana ZITTO, JANUARY wasingesema uongo na hata Spika

Sasa ni chama gani mbadala labda hadi 2020 tulitegea CDM waseme kweli daima na wakemee ufisadi wa aina yoyote ile

.....to every action, there is an equal and opposite reaction...'
 
Siyo siri ktk hili la uongo waliniudhi ila muda ulisha nilitaka niwajibu maana ZITTO, JANUARY wasingesema uongo na hata Spika

Sasa ni chama gani mbadala labda hadi 2020 tulitegea CDM waseme kweli daima na wakemee ufisadi wa aina yoyote ile

swali zuri sana kwa gaijin, hebu msaidie huyu muungwana, wewe ambaye hujaweka matarajio yako yote kwa cdm, mengine umeyaweka wapi?
Usiseme tu kwamba hapa hapafai, sema wapi panafaa.
 
ni simple sana. kila mtu awe mpiga nyoka, ni ugumu wa maisha uliokithiri kila kona ya maisha utakaowafanya wananchi kushtuka. namaanisha, tujihalarishie ruswa, nchi iyumbe ili tukae sawa
Nchi hii ikiyumba kuja kujirekebisha ni mbali sana na tutakuwa tumeumia vyakutosha la msingi tupate wapi chama mbadala cha ukweli maana siasa na mwanasiasa ndiyo wanaoendesha nchi hii naona ni bora tuwapate wa ukweli
 
swali zuri sana kwa gaijin, hebu msaidie huyu muungwana, wewe ambaye hujaweka matarajio yako yote kwa cdm, mengine umeyaweka wapi?
Usiseme tu kwamba hapa hapafai, sema wapi panafaa.

panapo faa ni kurudisha madaraka kwa wananchi. tukifanikiwa hili, kila kitu shwari mkuu
 
swali zuri sana kwa gaijin, hebu msaidie huyu muungwana, wewe ambaye hujaweka matarajio yako yote kwa cdm, mengine umeyaweka wapi?
Usiseme tu kwamba hapa hapafai, sema wapi panafaa.

Matarajio yangu yapo kwangu mwenyewe. Siwezi kumtarajia Chadema wala CCM wala chama chengine chochote cha kisiasa kunifikisha nitakapo.

Tunisia, Misri wameweza, nguvu ya umma haimaanishi vyama vya siasa.
 
Mkuu tatizo langu kwa nini wasiwe wakweli kuliko kutudanganya kama wanavyo fanya wanapata 70,000/= au 200,000/= lakini wanasema tunachukua 50,000/= Chadema tunatarajia wawe wakweli daima uongo ni Sumu mbaya mno

Mimi nafikiri inawezekana walizungumzia posho ya mafuta maana ni TSh 50,000.
 
Nchi hii ikiyumba kuja kujirekebisha ni mbali sana na tutakuwa tumeumia vyakutosha la msingi tupate wapi chama mbadala cha ukweli maana siasa na mwanasiasa ndiyo wanaoendesha nchi hii naona ni bora tuwapate wa ukweli

mkuu, historia inathibitisha, nchi ikiyumba, matokeo yake ni kuwa na nchi safi. mifano ipo mingi sana, ingawa kuna nchi zimeyumba lakini mambo yao bado ni upogoupogo
 
Back
Top Bottom