Mei Mosi hapa mlipongeza sana Uhuru Kenyatta kuongeza mshahara na mkafuahia kam vile nanyi ni Wakenya. Ikaja kwa Mwinyi kuongeza 15% napo mkamlaumu sana Samia.Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Hiyo formula ndio waiseme basi!Hao wengine itafuatwa formula
Ugumu haupo ila kuna UTATALile tangazo limefafanua vizuri kabisa. Serikali imesema "Rais ameridhia mapendekezoya ongezeko la mshahara kwa watumishi ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3%" sasa hapo pagumu wapi kueleweka?
Rais wa TUCTA, Nyamhokya alifafanua jana TBC1 kuwa asilimia inashuka kadri mshahara unavyoongezeka.
Wewe hujasoma, hufanyikazi za umma unataka ufafanuzi iweje.Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Taarifa ya ikulu ipo sawa kwa upande wangu ila uelewa wa watu wengi umekuwa tofauti kidogo kwenye hii issue ya ongezeko la mshahara.Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Taarifa ya ikulu ipo sawa kwa upande wangu ila uelewa wa watu wengi umekuwa tofauti kidogo kwenye hii issue ya ongezeko la mshahara.
Taarifa inasema wazi kabisa,ongeza la 23.3% kwa watu wa kima cha chini,na wengine wameongezezwa pia ila hawajasema wazi wazi wameongezewa kwa asilimia ngapi. Issue ya hapo siyo 23.3%,issue ni watu wengine wameongezwa kwa asilimia ngapi.
Ninaamini hoja ya mleta Uzi imekupita kushoto.Lile tangazo limefafanua vizuri kabisa. Serikali imesema "Rais ameridhia mapendekezoya ongezeko la mshahara kwa watumishi ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3%" sasa hapo pagumu wapi kueleweka?
Umeandika nini sasa?Taarifa ya ikulu ipo sawa kwa upande wangu ila uelewa wa watu wengi umekuwa tofauti kidogo kwenye hii issue ya ongezeko la mshahara.
Taarifa inasema wazi kabisa,ongeza la 23.3% kwa watu wa kima cha chini,na wengine wameongezezwa pia ila hawajasema wazi wazi wameongezewa kwa asilimia ngapi. Issue ya hapo siyo 23.3%,issue ni watu wengine wameongezwa kwa asilimia ngapi.
Hakuna haja ya kupongeza maana kapandisha kila kitu no faida ya kuwa na hela inayoishia Kula tuHata hivyo kwakweli Awamu ya 6 Chini Rais Mama Samia inapaswa ipongezwe sana kwa hatua hii ya kuwaongezea masilahi watumishi wa Umma.
kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kwa ndgu zetu watumishi.
Mama kaaamua
Siku hizi mishahara haianikwi wazi kama zamani. Sasahivi mshahara ni Siri ya mwajiriwa na mwajiri wakeMiaka yote tangia nimeanza kuliona jua na kufuatilia upandishwaji wa mishahara hasa wakati ule ikitangazwa wakati wa sherehe za May Day, sijawahi kusikia mtangazaji akidadavua kupandisha mshahara kuanzia kima cha chini hadi cha juu. Siku zooooote huwa inasemwa tunapandisha kima cha chini kutoka shilingi kadhaa hadi shilingi kadhaa ama tunapandisha kima cha chini kwa asilimia kadhaa. Baada ya hapa watu wa utumishi wanaenda kufanya ukokotozi kulingana na taratibu zao na kutoa mkeka wa mishahara mipya kulingana na salary scales.
kwa hiyo ulitaka awapunguziwe au?Hakuna haja ya kupongeza maana kapandisha kila kitu no faida ya kuwa na hela inayoishia Kula tu
Huwa wanajipangia wenyewe mishahara na kupiga kuraHivi na wabunge wameongezewa ?
Ila una mzigo. UshanichanganyaInatosha ivoivo