Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

Barick Samwel

New Member
Apr 8, 2020
4
4
Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu akakufanyia kwa niaba yako kwa malipo mtakayo kubaliana.

Nimejiunga Sproutsgigs mwezi mmoja nyuma na kuweza kujikusanyia zaidi ya $700 sio ndogo kwenye maisha yetu ya hapa nchini.

F07nN0TWYAYxAjB.jpg

Hii ndio account yangu. Jiunge hapa ili uweze pata account yako pia CLICK HERE
 
View attachment 2695730
Hii ndio account yangu. Jiunge hapa ili uweze pata account yako pia CLICK HERE
Maelezo Yako ayajashiba kwa ufanisi wajambo inauwezekano Kuna kitu Fulani hakiko sawa
 
Kwa bongo hii, unapoteza muda. Nimeshawah kumiliki platform nzuri sana kama hiyo. ila wabongo hawaelewi kitu wanahitaji elimu kama ndo wameanza shule, na hata mwenye elimy haya amini duh. hiyo ni kuwaste time maybe uwe unafanya kama fun
 
😂😂😂

Ni uongo! Hiyo screenshot mara ya kwanza niliiona Twitter na hata yule aliye-post kule simuamini (yeye anasema ni ya demu wake 😁). Kupata $700 Sproutgigs siyo rahisi hivyo.

Nimeitumia kipindi hicho inaitwa Picoworkers. Acheni kudanganya watu, hiyo link (sijaifungua) uliyoweka huenda ndiyo inakupa pesa kupitia clicks ila hiyo Sproutgigs unatumia kuvutia watu tu.
 
Kuna kitu kinaitwa "educational marketing".. hiki ndio wajasiriamal wengi hasa tunao deal na digital platforms/softwares tunakwama.
Mkuu uli give up mapema sana.
Was it really your thing???
 
Ningekomaa ila gharama za uendeshaji alafu niliona wabongo wanahitaji Elimu. nikajipima nikaona bado nina safari ya kuelimisha watu.ningefanya hvyo ila gharama za uendeshaji. maybe ningekuwa na sehemu nyingjne alafu hiyi nafanya for fun..

Nilitengeneza platform ya kurequest mtoa huduma. mfano: kinyoze aje nyumbani kwako. au unataka mtahalamu wa kutengeneza jiko,nk..

Mtu alipaswa ajilisali kama mtahalamu au mteja au zote katika moja.

Ukiwa na account ya mteja. unaweza kurequest kama vile uber na mtu anakufuata ulipo eneo la tukio na kutoa huduma na kusepa.

Ukiwa mtahalam eleza nini unafanya na unapatika sehemu gani, na maelezo mengine……
 
Kwa bongo hii, unapoteza muda. Nimeshawah kumiliki platform nzuri sana kama hiyo. ila wabongo hawaelewi kitu wanahitaji elimu kama ndo wameanza shule, na hata mwenye elimy haya amini duh. hiyo ni kuwaste time maybe uwe unafanya kama fun
Unless hii Kampuni ni wezi lakini anachosema mleta uzi na wewe ni tofauti....

Wewe unaongelea kuanzisha platform ili kuwaunganisha wahitaji (watoa huduma na wahitaji huduma) hio kwa bongo ni mtihani...

Mleta uzi anaongelea kujiunga na platform kama uliyoanzisha wewe ili afanye huduma ambazo watoa huduma wanazihitaji... (ingawa na hapo unaweza ukakuta kazi ni cumbersome kuliko ujira na pia huenda kama ni za marketing mfano hizo za youtube ku-watch video ili watu wapate click huenda watazamaji wa demographic ya huku sio valuable)

Anyway tunakoelekea mtu hata kama una blog hauna content unaweza kuwafuata watu kama hawa kwenye platform wakufanyie kazi au unataka translation / coding n.k.

Ila ndio hivyo as with anything kwenye mchele na pumba ni nyingi hivyo mwisho wa siku ni upon you kuchuja as takataka ni nyingi online
 
Nilizani ni kampuni ya kibongo ndomana sikuangaika sana kusoma. nisamehe bure.
 
😂😂😂

Ni uongo! Hiyo screenshot mara ya kwanza niliiona Twitter na hata yule aliye-post kule simuamini (yeye anasema ni ya demu wake 😁). Kupata $700 Sproutgigs siyo rahisi hivyo.

Nimeitumia kipindi hicho inaitwa Picoworkers. Acheni kudanganya watu, hiyo link (sijaifungua) uliyoweka huenda ndiyo inakupa pesa kupitia clicks ila hiyo Sproutgigs unatumia kuvutia watu tu.
Hata mimi nlitaka kusema hivi ila ikabidi nikae kimya. Haiwezekani kutengeneza hata dollar 400 kwa mwaka mzima huko. Tasks zake zina ela ndogo sana kama mtu anavyoona hapo. Ila ni vile watu wanataka earn via referrals walau wapate kidogo cha kutoa
 
Ningekomaa ila gharama za uendeshaji alafu niliona wabongo wanahitaji Elimu. nikajipima nikaona bado nina safari ya kuelimisha watu.ningefanya hvyo ila gharama za uendeshaji. maybe ningekuwa na sehemu nyingjne alafu hiyi nafanya for fun..

Nilitengeneza platform ya kurequest mtoa huduma. mfano: kinyoze aje nyumbani kwako. au unataka mtahalamu wa kutengeneza jiko,nk..

Mtu alipaswa ajilisali kama mtahalamu au mteja au zote katika moja.

Ukiwa na account ya mteja. unaweza kurequest kama vile uber na mtu anakufuata ulipo eneo la tukio na kutoa huduma na kusepa.

Ukiwa mtahalam eleza nini unafanya na unapatika sehemu gani, na maelezo mengine……
yah ..u gave it up so early...i have 3 years sticking in a single software project..it is not easy, u need guts to sustain😂
 
Unapiga kazi zipi sana??
Nilikuwa napigaga zile za seo ,telegram ,sign up.
Kupata hela ndefu huko upige kazi nyingi sana
 
Ni uongo! Hiyo screenshot mara ya kwanza niliiona Twitter na hata yule aliye-post kule simuamini (yeye anasema ni ya demu wake ). Kupata $700 Sproutgigs siyo rahisi hivyo.

Nimeitumia kipindi hicho inaitwa Picoworkers. Acheni kudanganya watu, hiyo link (sijaifungua) uliyoweka huenda ndiyo inakupa pesa kupitia clicks ila hiyo Sproutgigs unatumia kuvutia watu tu.
Ndo maana nimeshangaa,kule kazi unapiga malipo kidogo.unakuta unalipwa 0.02 kwa kazi,sasa piga hesabu mpaka ufikishe dollar 10 umepiga kazi ngapi.

Ila zipo kazi ambazo zina pay parefu sema ni kubwa sana
 
Kwa bongo hii, unapoteza muda. Nimeshawah kumiliki platform nzuri sana kama hiyo. ila wabongo hawaelewi kitu wanahitaji elimu kama ndo wameanza shule, na hata mwenye elimy haya amini duh. hiyo ni kuwaste time maybe uwe unafanya kama fun
We ndiye ulikuwa unamiliki ile platform ya freelancers ambayo mlifanya baraka ambasador?
 
Back
Top Bottom