Uzii huu nilipousoma nilijiuliza maswali mawili ya harakaharaka.
1:Kwanini kama Sugu aligoma kwenda kuhudhuria aalikwe Mulugo?---inamaana Mulugo anaendeleza Bifu na Sugu.
2:Nilitegemea Mulugo kama yuko mbeya ,angekua Jimboni,then alipopewa mualiko ,aliweza vipi kuwahi kufika mby mjini kwa wakati, maana ni zaidi ya saa moja na nusu,kumbuka pia atakua aikuwa na ratiba zake.aliweza vipi kuji adjust mapema hivyo?
3; Kama Mulugo alikuwepo mby mjini, hawa watu waliweza vipi kumpata kwa haraka namna hiyo, na akajiadjust mapema hivyo?
5.kama Sugu alipewa mualiko ,ulikua officially au wa mdomo,kama ni wa mdomo then huoni kuna uwezekano Sugu alitegemea atumiwe ratiba ya hiyo sherehe.Kwani ninavyofahamu,Mualiko wa mdomo hutangulia ilikuweza kujua kama mtu atakua available then akikubali,unampelekea official letter.then kilichofanyika ni kumpa wa mdomo, halafu wa maandishi kupelekewa Mulugo?au Mulugo akapewahuo wa Mdomo kuonekana ni wa dharula ,huku Sugu akinyimwa taarifa sahihi za huo mualiko?
Kiufupi huu mchezo umechezwa na Mulugo kutaka kumuangusha Sugu,na kwa mtizamo wangu Mulugo ndio amepewa jukumu la kupambana na Sugu.Lakini kwa ushauri wangu Mulugo akae pembeni na hizi siasa za maji taka,ana mapungufu mengi sana ,ambayo akicheza hawezi rudi tena kwenye ulingo,Uwezo wake tunaufahamu sana,pia alisaidiwa sana na vyombo kufika hapo,ijapokua baada ya kufika hapo amejiona mjanja hata waliomsaidia kufika hapo alipo amewatosa kwa kujifanya yuko busy,sasa wanamsubiri 2015.