Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.
Huu ni umbeya tu. Unataka kumchafua kamanda sugu. Umeshindwa. Lete vielelezo vya ushahidi.
sheikh Yahya alitabiri atakateyempinga JK atakufa ila chakushangaza akafa yeye.
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.
vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!
inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..
inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..
Sugu mkuu umechemka.Kubali umekosea mambo yendelee.Dharau mbaya ndugu
then u should not comment wait for the further notice..
🙂 mbona bann nyingi nimefanyaje jamani
sheikh Yahya alitabiri atakateyempinga JK atakufa ila chakushangaza akafa yeye.
Ila nyie wapenzi wa CDM huku mkiangalia ndio mnaowapa matatizo viongozi wenu yaani mmekaa ndio mzee mpaka mnaboa aisee. Kwingineko mpige kimiya basi alafu mtoe ushauri. Duh mnatetea sana mpaka mnajipotezea hadhi jamani, tuweni GT, Sugu kakosea kama aliona haifai hiyo date si angewashauri waiamishe ili akawauzishe sura vijana wenzake?
Mleta uzi ndio mpuuzi!!! Kutaka kumpigia debe mzee wa tanganyika na zimbabwe.