One night stand

Mie juzi tu hapa,nimezama sehemu tena kwa stage alikuwepo Stamina,tukatoka nje kuzungumza polisi 3 wakaja et kunizingua.Niliwaambia neno moja tu wakaondoka na pikipiki zao.Demu kanielewa mara usafiri tukafika geto akadata mlivyo pendeza,et "ila mume wng yupo mbali,yani Mtwara" huh me sikumwelewa kwakwel.Akaachia mzigo na NILIVAA kama kawa sikumwamini kwa uzr na figure ya hatar kama ile.Duuu kuuuuula! kumbe fmu ndo anajianda kwa period.Shuka daaaa full blood
 
duh siez lala kwa mwanamke hata kama nna nye.ge kiasi gani...yaliyonikuta nikitekeleza fantasy yangu ya 'threesome' ndo yalonipa sheria hii. never again.

nani kaifufua sredi hii!!!?????
 
Hii one night stand ina raha zake ati,usiambiwe !!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
One night stand jambo la kawaida sana siku hizi.Kuopoa dame klabu is as easy as falling of a log. One night stands are no longer exceptions but the rule. Vipi weye!
 
Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.

Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story
NN sikujua kama wewe ni mmoja kati ya seasoned playaz!
Looood have mercy!
 
Back
Top Bottom