One night stand

Du, kijana unatukumbusha mbali, kwetu siye wengine, hizi ni kumbukumbu tuu za those good old days, one thing I'm sureof kuhusu hizi one night stand au nyingine its not even a stand, its just a one night stop, huwa there is no regret.

One night stop ni kama kwenda kwenye party, mnatoka nje, mnatafuta privacy meant for just romance, be it kwenye ngazi, summit, kwenye michongoma, uchochoroni, ukutani, au even washroom, remember the privacy is only ment for just rommance, out of rommance, nature takes over, mnaishia kumaliza kiti kitu!, na mnarudi kuendelea na party, ndipi sense na reflections zinakurudia of what you did, the risk you took na huyo dada, hakuangalii tena usoni, ni aibu! ila no regret! Ujana ni kipindi kizuri jamani!.
Duh kwa karne hii itakuwa too much risk mkuu, manake kama nimekuelewa sawa sawa itabidi upige dry chama sababu ni vigumu kuwa na kondom katika mazingira hayo. Atleast mazingira ya Nyani Ngabu yanaruhusu kutafuta zana za maangamizi.
 
uzinzi uzinzi tu.
 
Hivi Nyani Ngabu yuko wapi?
Naona mwaka unaisha habari zake hazipatikani popote
 
Niliwahi kumpata demu m1 alikuwa mtungi ile mbaya nikaenda kuegesha naye kijengoni lkn kulipokucha alishindwa kuelewa alifikaje pale kwangu na kuanza kuniuliza maswali ya kzushi kibao akaniomba physical add ya ninapofanyia kazi nikampa zilipopita cku nne akanijia na magwanda ya polisi ckuamini,akaniambia cntompata tena cku ile lilikuwa zali tu.
 
Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.

Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story

Kwani shori akija kwako naye hawezi kupigwa shaba?
 
mimi naona ni hiyo ya gari kiti cha nyuma mengine kutafuta balaa tu
Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.

Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story
 
Kumbe wanaume wengi ndivyo mlivyo hivi?mnayoyafanya and then mnajisifia. Ama kweli dunia ya leo hakuna wako peke yako. Lazima kutakuwa na mtu mna share nae.Kwa hali kama hii,nyumba ndogo maisha haziishi.

Hivi hizi ONS zinaweza zalisha nyumba ndogo au..................?

@RR
 
Back
Top Bottom