One night stand

Oh dear. How did you get your panties in a twist so fast, NN? Second of all, you are some nasty piece of work. Repulsive and annoying. Your little tantrum here is a bit out of place. Or is it? lol

Maybe you should man-up a little and accept the rejection...And yes, NN. There is no way in friggin hell that I'd ever let my guard down and let a man like you get within a mile of me. You can bet your twisted panties on that.

and ahhhh dont u get bored of telling us how good u r while we know deep inside you are a big loser.....

Was this necessary?!...mbona issue inakuwa too personal jamani.
 
Ng'ombe hazeeki maini quickie bado nazipiga mpk leo tena kwny gari ndio tamuu....ONS ikitokea kama kawa nasimamia show uzuri wa hii kila mtu huwa anataka kuonyesha ufundi sana
 
Me!!!....love one night stand na kuna nyingne inaitwa contract fu....c..k..kwamba u guyz are intersted to one another...u gat no dreams rather plans for future...unaweza kukuta ila mmoja ana wake ila yuko mbali...so u only meet to fu... .c....k...mkimaliza mnaagana kiroho saf....mawasiliano mazur hua yanaanza kila ijumaa jion na yanaisha j2 asbh...mpk wik ijayo tena
...ts so beautifull aisee...
 
Niliwahi kumpata demu m1 alikuwa mtungi ile mbaya nikaenda kuegesha naye kijengoni lkn kulipokucha alishindwa kuelewa alifikaje pale kwangu na kuanza kuniuliza maswali ya kzushi kibao akaniomba physical add ya ninapofanyia kazi nikampa zilipopita cku nne akanijia na magwanda ya polisi ckuamini,akaniambia cntompata tena cku ile lilikuwa zali tu.

hahahahahah una bahati ulimkosha otherwise na angekuweka ndani
 
Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.

Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story

Mkuu upo sawa. mimi
Ilishatokea katika miaka yangu ya mwisho ya uplayer. Nilikutana name dem club. Tukapanga kwende kwake tukalale. Tulipofika nikaanza kuvua nguo zangu kwa ajilli ya mechi gafla demu akapokea sms kutoka kwa mchumba wake kuwa yupo njiani anakuja. Mimi nikavaa haraka haraka nikaondoka eneo la tukio. Njiani nikapishana na wajamaa wanne kwenye bodaboda wakielekea kwa dem. Niliponea chupuchupu..
 
Au hii inakaaje? Jamaa kasimamia harusi na mwanamke ambaye si mkewe. Mke wake alikuwa kajifungua hivyo hakuweza ku attend kwenye harusi na huyu mama mume wake kasafiri mkoa hivyo naye hakuweza kufika harusini. Baada ya shamrashamra wakawasindikiza maharusi mpaka hotelini kwa ajili ya honeymoon. Bila kutegemea nao wakachukua room wakajivinjari mpaka monnie.... wote wakajutia na ukawa mwisho wa mahusiano.
Angalizo hapo, sijasema kama hiyo nilifanya mimi!!:rain:
Mkuu Asprin,

Kitu kama hii iliishanikuta!.

Nilikuwa Best Man wa harusi ya a friend, matron ni best friend wa bibi harusi harusi ni Bahari Beach enzi hizo, maharusi wakachukua kile kihenge kimoja kizima, the plan ni maharusi juu, matron chini.

Ile tumemaliza sherehe na kuwasindikiza maharusi room yao, Matron anatakiwa kushuka room yake chini alale, akaogopa kulala peke yake!, kumbe Matron alipanga kuwa na mtu wake, sijui what happened, mtu hakutokea!. Bwana Harusi akaniuliza kama naweza kumcompany matron!, kwa jinsi huyo matron alivyo!, hata ningekuwa Padri wa Katoliki, upadiri, ungenishinda!, ni kama zali tuu!. Matron akanipiga beat kuwa usitegemee to do anything else zaidi ya kuni company tuu kwa sababu vyumba vya hivyo vihenge vya Bahari Beach vinaogopesha!.

That was it!, the rest ni history!.

Naomba msiniulize home nilisema nini as I was not single!.

Pasco
 
Mimi ni muumini wa night stand ila nikirudi home mpenzi wangu anagundua tu mzee katoka kupiga mzigo.

Balaa lake, utatamani usimuone tu.
 
Mkuu Asprin,

Kitu kama hii iliishanikuta!.

Nilikuwa Best Man wa harusi ya a friend, matron ni best friend wa bibi harusi harusi ni Bahari Beach enzi hizo, maharusi wakachukua kile kihenge kimoja kizima, the plan ni maharusi juu, matron chini.

Ile tumemaliza sherehe na kuwasindikiza maharusi room yao, Matron anatakiwa kushuka room yake chini alale, akaogopa kulala peke yake!, kumbe Matron alipanga kuwa na mtu wake, sijui what happened, mtu hakutokea!. Bwana Harusi akaniuliza kama naweza kumcompany matron!, kwa jinsi huyo matron alivyo!, hata ningekuwa Padri wa Katoliki, upadiri, ungenishinda!, ni kama zali tuu!. Matron akanipiga beat kuwa usitegemee to do anything else zaidi ya kuni company tuu kwa sababu vyumba vya hivyo vihenge vya Bahari Beach vinaogopesha!.

That was it!, the rest ni history!.

Naomba msiniulize home nilisema nini as I was not single!.

Pasco

Walaaaahiii nyie wanaume sijui tuwafunge kufuli?????multilock
 
Bana wakuu . Me ONS ilikuwa miaka ya 2006 pale maeneo ya kirumba . Kuna ukumbi mmoja ulikuwa ndo uko kwenye chati . Sijui siku hizi hali yake . Basi mimi na jamaa zangu tukapiga vinywaji. Sasa wakati wa dance nikamwimbisha demu mmoja na ilichukua muda sana hadi kukaribia asubuhi ndo akakubali kuondoka pamoja kwenda kwenye lodge nliyofikia . Na hii ni baada ya mvutano mkubwa kuwa niende kwake . Bwana nilipiga mzigo hadi asubuhi ya saa nne. Mpaka leo sijamwona tena. Ila nakumbuka alinidokeza kuwa anasoma saut. Yaaniiiii. It was a ONS .
 
Back
Top Bottom