One night stand | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

One night stand

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Jul 21, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Umeshawahi kuwa na one night stand? Nahisi wengi wenu huenda mkajishaua lakini idadi kubwa ya watu walau huwa na moja maishani mwao.

  Usiambiwe bana..one night stand kwa meni ni kitu kinacho piga jeki kujiamini na kujiona bingwa flani hivi.

  Hebu fikiria kidogo...Ijumaa imewadia wewe na machizi wako mmeamua kwenda kiwanja. Mnafika kiwanja mnakamata vinywaji mnaanza kunywa polepole. Kadiri muda unavyozidi kwenda hamu ya kucheza muziki na yenyewe inaongezeka. Mnaamua na nyinyi mjiunge kwenye kuchezea muziki.

  Unakutana na shori unaanza kucheza naye. Mara kidogo kidogo mzee unaanza kubambia....mnacheza miziki miwili mitatu shori kachoka anataka kwenda kuketi. Mnaenda kuketi mnaanza mazungumzo....taratiiibu mzee unaanza kutema sumu. Shori anaanza kuwa na kisebusebu....mwishowe unamshawishi muondoke wote.

  Muda wa kuondoka unafika. Mnatoka nje ya klabu na shori bado anakuwa hana uhakika kama aondoke na wewe au aondoke na rafiki zake aliokuja nao. Mazee unazidisha mashambulizi...sasa unaanza kudondosha sumu zenye maangamizi makubwa. Shori anakubali lakini kwa sharti la wewe kwenda nyumbani kwake. Na hujiulizi mara mbili wala nini unawasha gari na kwenda naye kwake.

  Unalala usiku uliobakia hapo kwake na unamega. Kesho asubuhi yake mnaamka anakutengenezea kifungua kinywa, mzee unatia ndani halafu unatimua.

  Njiani mwenyewe unajiona biiingwa...unaanza kutabasamu tu peke yako. Baadaye mnawasiliana wasiliana lakini mwasiliano yanakuwa hafifu mwishowe mnaacha kabisa kuwasiliana. Baadaye miaka kadhaa mnakuja mnakutana....mwenzio keshamaliza shule ya udaktari na sasa ni resident doctor kwenye hospitali kubwa tu. Unajisemea kimoyomoyo....duh! nimemega pale...it was a one night stand...

  Wadau mmeshawahi kuwa na one night stand?
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Duuh Nyani Ngabu...Naomba nikutwange swali kwenye hiyo One night stand huwa mnajisikiaje pale mnapomega demu ulieyekutana nae sehemu kama hiyo..Unakuwa salama kabisa home kwake...Comfortable :A S 101: and ?????
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  Du, kijana unatukumbusha mbali, kwetu siye wengine, hizi ni kumbukumbu tuu za those good old days, one thing I'm sureof kuhusu hizi one night stand au nyingine its not even a stand, its just a one night stop, huwa there is no regret.

  One night stop ni kama kwenda kwenye party, mnatoka nje, mnatafuta privacy meant for just romance, be it kwenye ngazi, summit, kwenye michongoma, uchochoroni, ukutani, au even washroom, remember the privacy is only ment for just rommance, out of rommance, nature takes over, mnaishia kumaliza kiti kitu!, na mnarudi kuendelea na party, ndipi sense na reflections zinakurudia of what you did, the risk you took na huyo dada, hakuangalii tena usoni, ni aibu! ila no regret! Ujana ni kipindi kizuri jamani!.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.

  Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mmhhh hatatri iyo jsmsn msifanye ivo tena
  mungu apendi ata mwandosya pia ataki
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mwandosya ndio nani na kaingiaje hapa?
   
 7. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu NN ......... huyo ni mtu mzito sana Bongo. Jitahidi kupata habari za Bongo sometimes maana ni vizuri kujua nchi inaendaje.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Bana eeh kwani bongo nzima kuna Mwandosya mmoja tu?

  Kama wewe unamzungumzia Mark Mwandosya...huyo huenda mimi nimemjua kabla yako tokea akiwa chuo kikuu...na wanawe wamesoma Aga Khan Mzizima....niendelee?

  Do you think I'm out of touch of something?

  Sasa hebu jaribu kuunganisha Mwandosya na one night stand....kuna uhusiano gani hapo? Unless uniambie Mark Mwandosya anahusika na one night stand....is that so?
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Au hii inakaaje? Jamaa kasimamia harusi na mwanamke ambaye si mkewe. Mke wake alikuwa kajifungua hivyo hakuweza ku attend kwenye harusi na huyu mama mume wake kasafiri mkoa hivyo naye hakuweza kufika harusini. Baada ya shamrashamra wakawasindikiza maharusi mpaka hotelini kwa ajili ya honeymoon. Bila kutegemea nao wakachukua room wakajivinjari mpaka monnie.... wote wakajutia na ukawa mwisho wa mahusiano.

  Angalizo hapo, sijasema kama hiyo nilifanya mimi!!:rain:
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani tukisema Clinton kimazoea watu tutamchukulia Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton. Kwa hyo japokuwa cna hakika na uhusiano uliopo baina ya Mark Mwandosya na 1 night stand lakini bado ninaamini msemaji alikuwa na maana ya Mark Mwandosya. Labda sasa tumuulize msemaji ana maana gani au kuna uhusiano gani kati ya Mwandosya na hiyo ishu yetu ya one night stand.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Simple!

  Alishakuwa na one night stand na Mwandosya. Mkuu soma katikati ya mistari hapo. Dada zetu huwa hawapendi kuwa straight forward!!
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hapana bana...kuna Bill Clinton...kuna Hilary Clinton....kuna George Clinton....n.k. Ni vyema angalau kuangalia muktadha uliotumika ili kujua ni Clinton gani au Mwandosya gani anazungumzia. Rosie yeye kamtaja Mwandosya na mungu....I'm lost....

  Vipi maoni yako kuhusu one night stand?
   
 13. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Zile bwana mara nyingi zinapotokea damu huwa inatembea zaidi kwenye kichwa kdogo kuliko kikubwa.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  We Noname nakuona hapo chini...what say you?
   
 15. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  NN u need help...
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  :hug:
   
 17. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I am not a fan....
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jul 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  I sure do...why won't you come help me?

  Btw, I lo u Noname.....
   
 19. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hiyo ina raha yake na machungu yake mi mwenyewe yalisha nikuta na naumia sana jmaa aliye muoa ni jirani yangu! na mchango niltoa kufika kwenye harusi sikuamini macho yangu ninacho kiona mbele,maana nakumbuku nilimtafuta sana, kwa mchezo aliumudu vema na mpaka leo jmaa namuonea wivu sana maana najua anfaidi sana.
   
 20. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Sinema ya kinaijeria hiyo, matukio wayapitiayo wandamu watundu... shori wako ameishakuwa dakitari mkazi wa sehemu fulani. Mkumbushe uone km memory bado ipo...
   
Loading...